humphrey polepole

Humphrey Polepole is a Young Tanzanian politician presently serving as the Chama Cha Mapinduzi's Ideology and Publicity Secretary. Before being appointed Humphrey Polepole was a District Commissioner for Ubungo district

View More On Wikipedia.org
  1. Mama Polepole afika Mahakama Kuu ya Tanzania Masijala Ndogo ya Dar es salaam

    Anna Mary ambaye ni Mama Mzazi wa Mwanasiasa Humphrey Polepole amefika katika Mahakama Kuu ya Tanzania Masijala Ndogo ya Dar es salaam asubuhi hii ambako inatarajiwa kuanza kusikilizwa kwa maombi ya kesi juu ya kutekwa kwake maombi ambayo yalipelekwa na Wakili Peter Kibatala kuiomba Mahakama Kuu...
  2. Prayer Alter for Humphrey Polepole

    Calling all the watchman, The intercessors, The chosen one, Prayer warriors, Seers, Teachers of the word, wailing women Let's raise an alter of prayers for Humphrey Polepole at 12 am all time zone. We are sending prayer petition to the court of Heaven. Remove all legal rights that the enemy is...
  3. A

    Humphrey Polepole na Magufuli, Wazalendo wa kwelikweli. Kama Taifa tumepoteza pakubwa sana

    Ndani ya muda mfupi wa miaka takribani 4, tumewapoteza Polepole na Magufuli kama viongozi wazalendo na wapiganaji hodari wa taifa hili la Tanzania. Lakini nataka kujadili zaidi kuhusu mzalendo Polepole na utata wa kutoweka kwake hadi sasa. Mpaka sasa najiuliza maswali mengi kuhusu kupotea...
  4. Ni kweli anavyodai SATIVA kuwa Mtandao wa Simu (Halotel) umehusika 'kumuuza' Humphrey Polepole?

    Stori ya Humphrey Polepole kutekwa naona inazidi kushika kazi ndugu zangu, kuna sehemu nimekuta hii screenshot, je inawezekana ni kati ya vitu vilivyomfanya akanaswa? Namba ya simu inayotajwa kutumika ni ya Mtandao wa Halotel na imesajiliwa kwa jina la Humphrey Herson Polepole. Kampuni ya...
  5. Utabiri wa Mchungaji Fadhili Juu Ya Humphrey Polepole Watimia

  6. Mama Polepole: Nirudishieni mwanangu akiwa hai au amekufa, alikuwa mtoto wa kipekee

    BBC imezungumza na mama mzazi wa aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Cuba, Humphrey Polepole katika mahojiano maalum. AnnaMary Polepole amesisitzakatika mahojiano hay kuwa arudishiwe mtoto wake- Humphrey Polepole akiwa hai au amekufa. Hata hivyo mapema leo, jeshi la polisi lilisema kuwa...
  7. Akaunti za mitandao ya kijamii (FB & IG) ya Humphrey Polepole haipatikani tena

    Kwa hiyo sasa hivi jamaa atakuwa amezungukwa na watu 6 mmoja kakaa kwenye kiti kama nilivyoota jana huku yeye kapiga magoti anatoa password na email watu wanafuta tu account zake zote, halafu baaada ya hapo sijui hatua gani itafuata
  8. HumphreyHumphrey Polepole amefikisha saa 27 tangu adaiwe kutekwa ndo tunamsahau taratibu kama Mdude, why?

    Ndg watanzania, mtanzania mwenzetu ambaye alitekwa jana ameshaafikisha takriban masaa 27 tangu tulipopata taarifa hapo jana saa 3 asubuhi sawa na dakika 1,620, sekunde 97,200, mamalaka zipo kimya ndo umeshaakuwa utaratibu wa kawaida sasa watu kupotea ipi solution kama sio IGP Wambura kujiuzulu...
  9. L

    Jeshi la Polisi limkamate pia mwenye nyumba inayodaiwa alikuwa anaishi Humphrey Polepole ili aeleze ni lini alimpokea na amekaa kwa muda gani?

    Ndugu zangu Watanzania, Nafikiri polisi wangemkamata pia mwenye nyumba inayodaiwa alikuwa akiishi Humphrey Polepole ili aweze kulisaidia jeshi la polisi katika uchunguzi wake. Aeleze ni lini alimpokea na mkataba wake ulianza lini na amekaa kwa muda gani na walionana lini na kama walikuwa na...
  10. Polisi: Tunamtafuta Augustino Polepole kutoa ushahidi juu ya shutuma za kutekwa Humphrey Polepole

    Jeshi la Polisi kama lilivyotoa taarifa yake jana Oktoba 6,2025 kwamba, limeanza uchunguzi wa tuhuma zilizo tolewa na Augustino Polepole kuwa, ndugu yao Humphrey Polepole ametekwa, jalada la uchunguzi lilifunguliwa jana hiyo hiyo. Pamoja na kukusanya taarifa mbalimbali, Jeshi la Polisi...
  11. Appreciation post kwa Ndg. Humphrey Polepole

    Hii ni post yangu ya ku -appreciate movement zako unazofanya kuhusu taifa letu. Polepole anaipenda Tanzania. Polepole anaipigania Tanzania. Polepole sio mwizi. Polepole sio mroho wa madaraka. Polepole ana nia njema na ya dhati kwa Tanzania. Nilipoona damu yako inachuruzika kwa ajili ya...
  12. Watu tumekosa usingizi kutokana na uchungu wa kutekwa Polepole, Gen Z msipotoka kuandamana mtakuwa mmeliangusha taifa!

    Aloooo, Kama ulikuwa hujali wala huumizwi na matukio ya utekaji, na kuona hayajuhusu nadhani hilo limebadilika kuanzia jana. Nimepita mtandaoni maoni yanafanana, watu tumeshindwa kulala, usingizi unakuja wa mang'amung'amu, moyo unauma kama vile aliyetekwa ni mtu wako wa karibu. Unajikuta...
  13. Siku Polepole alipokagua gwaride la heshima kama Rais na sasa Rais kamsaliti!

    Kweli dunia tambara bovu na siasa ni mchezo mchafu sana. Nani alijua Polepole angeishia alipoishia. Huyu kamaliza bado Gwajima. Mwaka huu MaCCM mtamalizana. Halo halo, vita ya kunguru neema ya panzi wahenga walisema. Nadhani Tundu Lissu na familia za wahanga wa MaCCM hawana cha kuonea huruma...
  14. Kama Humphrey Polepole atabahatika kukutana na Ben Saanane na Mdude Nyagali naomba awambie yafuatayo

    Kama Humphrey Hezron Polepole atafanikiwa kuonana akina Ben Saanane na Mdude Nyagali naomba awambie yafuatayo; Mosi, kabla hujafa hujaumbika. Pili, mambo yanabadilika. Tatu, aliyeko juu mngoje chini au mpandie. Nne, aishie kwa upanga, atakufa kwa upanga. Tano, atekaji unaendelea. Sita...
  15. Je, Polepole kweli waliomteka ni watu wa serikali au maadui zake ili kukinukisha?

    Najua wengi wanafuatilia tukio chafu na la hovyo la kutekwa Humphrey Polepole mwanaCCM kindakindaki aliyeibuliwa na Magufuli. Hata hivyo, kuna mambo ya kujiuliza. Je, ni kweli kuwa Polepole alikuwa akiishi Tanzania tangu alipojiuzulu ubalozi? Je, licha ya kuwa zoba, alijiamini nini wakati...
  16. Tuko kasi: Kutoka mwenezi, katibu, mbunge, balozi, mwanaharakati mafichoni, now mtekwaji

    Hamjambo! Leo nipo kwenye kioo najitazama kweli dunia iko kasi. Leo mimi wakuitwa Babu. Kweli! Ni juzi tuu hapa nimezaliwa. Juzi tuu. Mambo yameenda prepre pre! Je Polepole atabageini ama atafika bei baada ya kichapo cha kumfunza adabu. Au ataamua kufa na kipande cha mfupa kooni? Linda nchi...
  17. Muliro: Tunafuatilia taarifa za Polepole kutekwa ila alisema hayupo nchini amerudi lini?

    Aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Cuba, na mkosoaji wa serikali ya Tanzania Humphrey Polepole, amevamiwa na kuchukuliwa na watu wasiojulikana, familia yake imethibitisha. Ndugu wa Polepole wameambia BBC kuwa tukio hilo la kuvamiwa na kutekwa kwa ndugu yao kumetokea usiku wa kuamkia leo...
  18. PICHA: Chumba ambapo Polepole alikuwa akirekodia, akionekana na Ile Black Screen nyuma

    Picha za Chumba ambapo Polepole alikuwa akirekodia na kuzungumza LIVE na Watanzania, akionekana na Ile Black Screen nyuma. Soma: Kaka yake Humphrey Polepole athibitisha kutekwa kwa ndugu yake (Polepole) na mtu anayefahamika kama Mafwele Humphrey Polepole ametekwa leo asubuhi Oktoba 6
  19. GE2025 Polepole: Watu Wanatekwa, Wachache Wanajitajirisha kwa Vyanzo Visivyojulikana

    "Watu wanatekwa watu wanauawa, watu wanaporwa mali zao kikundi cha watu wachache sana kinajenga ukwasi na utajiri mkubwa na wingi wa fedha kutoka katika vyanzo visivyojulikana ndio wamejaa mjini, mimi naunga mkono matajiri waongezeke lakini kwa njia halali" Aliyewahi kuwa balozi wa Tanzania...
  20. GE2025 Polepole: Samia alimweka pembeni Nchimbi akatishwa na CCM mtandao, ''Ukimtoa huyu na wewe unaondoka''

    Polepole Septemba 30, 2025 aliendelea kusisitiza kuwa uteuzi wa Dkt. Nchimbi kama mgombea mwenza wa Rais Samia, ulikumbwa na kashikashi ambazo zilipelekea kutaka kumtoa. Lakini wale anaowaita CCM mtandao walimtisha mama Samia kuwa hatakiwi kumtoa Emmanueli Nchimbi. Polepole anasisitiza kuwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…