hukumu

Kokborok tei Hukumu Mission was formed on 10 August 1993, in Agartala, Tripura, India as a non-political, non-religious organization whose sole mission is to serve to promote to develop and to preserve the Tripuri literature, culture, tradition and its heritage.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Majaji wasitishwe wala kushawishiwa katika kufanya hukumu!

    MAJAJI WASITISHWE WALA KUSHAWISHIWA!! Iwapo itathibitika uhaini umefanyika na watu 500+ wakafariki adhabu stahiki itolewe bila woga na bila ushawishi. Kinyume na hapo tutajikuta na maafa mengine wakati mwingine chini ya ushawishi wa wahaini wengine.
  2. JamiiForums Tanzania Hukumu haipo mnavyodhani

    Taarifa zinazosambaa kuhusu hukumu ya Lissu nashangaa sana ! Itakuwa Tofauti kabisa Britanicca
  3. JamiiForums Tanzania Hukumu kesi ya Lissu inashikilia hatma ya usalama wetu kama nchi. Tutajifunza nini?

    Hukumu ya kesi moja inahukumu kesi nyingine inayofanana nayo. Watanzania, wanasiasa, wazee, wanaume, wanawake, vijana, watoto, waislam, wakristo, diaspora na majirani zetu watajifunza nini kutokana na hukumu ya kessi ya Lissu kwa vyovyote vile itakavyohukumiwa?
  4. R

    JamiiForums Tanzania Tumelogwa na nani? Rais wa Camerron Anategemea kuitembelea Caméroon kutoka Geneva anakoishi!

    Rais wa Cameroon Paul Biya, anategemea kuitembelea Cameroon kwa ziara ya wiki mbili kabla ya kurejea Geneva anakoishi.
  5. JamiiForums Tanzania Mahakama kuu kutoa hukumu kesi ya mawakili wa Tundu Lissu dhidi ya jeshi la Magereza

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimetangaza kuwa Mahakama Kuu ya Tanzania, inatarajiwa kutoa hukumu katika Kesi ya Kikatiba inayohusu haki ya mawakili kukutana kwa faragha na mteja wao, Tundu Antipas Lissu, akiwa gerezani bila kusikilizwa au kuingiliwa na maafisa wa magereza. Kwa...
  6. JamiiForums Tanzania Marekani wanapinga nchi zinazotoa hukumu ya kifo huku na wao wanatekeleza kunyonga watuhumiwa wao.

    Chanzo cha picha,Bell County Sheriff's Office/Reuters Umma utaweza kushuhudia utekelezaji wa hukumu ya kifo kwa njia ya kikosi cha risasi dhidi ya aliyekuwa meja wa Jeshi la Marekani, amesema Waziri wa Ulinzi wa Marekani, Pete Hegseth. Afisa wa Idara ya Ulinzi ya Marekani ameiambia BBC kuwa...
  7. JamiiForums Tanzania Huenda viongozi wengi zaidi wa CHADEMA wa kanda, mikoa na wilaya mbalimbali nchini wakajuzulu kabla na mara tu baada ya hukumu ya Mwenyekiti wao Taifa

    My friends, ladies and gentleman, Kuna gharika ya viongozi wa chadema kuachia ngazi inaendelea... In fact, sote ni mashahidi wa wimbi hilo la viongozi wa chadema wa kanda mbalimbali, mikoa na wilaya mbalimbali nchini, wakistaafu siasa, kuomba kupumzika uongozi wa chadema na wengine wakijiuzulu...
  8. 5

    JamiiForums Tanzania Kumejiri nini kesi ya Tundu Lisu? Tumeambiwa leo ni hukumu

    Wadau nimepitia pitia vyanzo vyangu vyote naona kuna ukimya kote, leo tarehe 6 tumeambiwa itasomwa hukumu kwa kiongozi wa Upinzani Tundulisu nini kimejiri huko? Natanguliza shukurani
  9. JamiiForums Tanzania HECHE anangojea hukumu kwa kukosea, anaingilia hukumu.

    Hata baada ya kesi kufikia hapo ilipofikia kusubiri hukumu bado Heche anawaandaa wafuasi wake waigomee hukumu kama haitakuwa kama anavyotaka yeye iwe. Nadhani anakoelekea hakuna mwanga na hewa ya kutosha kiafya. Anaibagaza mahakama ionekane haitendi haki na haikutenda haki. Anachochea wananchi...
  10. JamiiForums Tanzania Hivi mtuhumiwa wa uhaini, yoyote yule duniani alie korokoroni, anaweza kua anatafakari au kuwaza nini hasa kabla ya siku yake ya hukumu?

    Au atakua anajutia kilichomfikisha hapo alipo sasa, na kujutia kushindwa kutimiza ndoto zake za kisiasa kidemokrasia lakini pia kimapinduzi? Au anaweza kua amekata tamaa kabisa ya maisha na anajiskia changanyikiwa? Najaribu kuwaza kisiasa tu, na ninatamani kuona maoni yako kwenye hili...
  11. JamiiForums Tanzania Unadhani ni kwanini Tanzania bado haijapata tena mpinzani mwenye nguvu ya kiuchumi na ushawishi wa kisiasa kama hayati Edward Ngowai Lowasa?

    Je, ni kwasababu wapinzani waliopo sasa wameshindwa kabisa kujikomboa wao wenyewe kiuchumi na hivyo automatically wamekosa ushawishi na kuaminika kisiasa kwa wananchi? Nini kifanyike walau wawepo wanasiasa wa upinzani Tanzania, ambao hata kama ni wanyonge kiuchumi, basi walau wawe na agenda au...
  12. JamiiForums Tanzania Bid’a ya Mawlidi maana Bid’aa na ubainisho wa aina zake na hukumu yake

    ☰ بسم الله الرحمن الرحيم Shukrani zote anastahiki Allah mola mlezi wa walimwengu wote Sala na salaam zimwendee Mtume wetu Muhammad- swalla llaahu alayhi wasallam- na jamaa zake na Maswahaba zake na watakao wafuata hao mpaka siku ya mwisho. Ama ba'ad: Vipengele hivi ni katika kubainisha...
  13. JamiiForums Tanzania Kuna viashiria na uwezekano mkubwa kwamba chadema wanaandaa, kuratibu na kupanga fujo siku ya hukumu ya Tundu Lisu.

    Hii ni kutokana na hali ilivyo, baada ya maelezo ya mwisho ya mtuhumiwa wa uhaini kuibua hisia mseto, ikiwa ni pamoja na hatima maisha yake na siasa. Kutokana na hilo, huenda Chama Cha Demokrasia na Maendeleo kinapanga na kuhamisha fujo na vurugu siku ya hukumu ya Tundu Lisu. Uchochezi huu...
  14. JamiiForums Tanzania 6/11/2026 ni hukumu ya Lissu, Watanganyika, siku hiyo tujitokeze kwa wingi sana kwa ajili ya Kuandamana kupinga/Kufurahia Hukumu !Asibaki ndani Mtu

    Ni Hukumu ya Kihistori Kati ya UOVU na WEMA.!!
  15. JamiiForums Tanzania Kituko kesi ya uhaini wa Tundu Lissu: Nassoro Katuga asema, kama TAL hana hatia ya uhaini wa hukumu ya kifo, basi mahakama imfunge jela miaka kadhaa!

    Hii ndiyo nia ya hawa hayawani. Hawataki kabisa mtu huyu awe huru iwe mvua au jua. Lakini mimi nasema, Tundu Lissu si mhaini, fullstop!! ================ Kinachoendelea leo Mahakama Kuu ya Tanzania, obvious mambo si mambo kwa Jamhuri wakiongozwa na Wakili wao mkuu, Nassoro Katuga. DPP na...
  16. JamiiForums Tanzania Hukumu ya Tundu Lisu itachochea utii wa sheria na katiba ya nchi bila shuruti.

    Na, in fact, hukumu hiyo itachochea siasa za kistaarabu zaidi majukwaani miongoni mwa wanasiasa wa vyama mbalimbali vya siasa na kutokomeza kabisa siasa za uropokaji, porojo, uongo, uzushi, fujo, uchochezi, ukiukaji sharia na upotoshaji Tanzania. Huenda Tanzania ikaanza kushuhudia siasa za...
  17. JamiiForums Tanzania Hukumu kesi ya Lissu iwe kinga na zindiko

    HUkumu ya kesi hii ni mtihani kwa majaji dhidi ya Taifa na wananchi mmojammoja kwakuwa itatumika kuhukumu watu wengine watakaofanya kama alivyofanya Lissu na chadema. Itatumika pia kulikinga au kulihatarisha Taifa na uharibifu kama ule usitokee au utokee tena kwa mbinu zile.za trh 3 April 2025...
  18. JamiiForums Tanzania Mahakama ya Rufaani yabatilisha hukumu ya kifo mauaji ya 'Super Sami', Kibatala asema haki imetendeka

    Mahakama ya Rufani nchini Tanzania imewaachia huru waliokuwa wamehukumiwa adhabu ya kunyongwa hadi kufa kwa tuhuma za kumuua mfanyabiashara mashuhuri wa Mwanza, Samwel Mwang’onda, maarufu kama 'Super Sami'. Desemba 2024, jopo la majaji wa Mahakama ya Rufani lilitengua hukumu hiyo ya awali ya...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Mahakama kuu za kiisilamu na hukumu zao dhidhi ya wasiokuwa waislam na viongozi wakuu wa kiislamu

    Hii ni mifano jinsi gani mahakama kuu za kiislam zilivyokaa na kuamua kesi 1. Myahudi akapata haki mbele ya Umar رضي الله عنه Imepokelewa kwamba mtu Myahudi alikuwa na mgogoro na Muislamu mbele ya Umar ibn al-Khattab رضي الله عنه. Baada ya kusikiliza suala hilo, Umar alimhukumia Myahudi huyo...
  20. K

    JamiiForums Tanzania Mkuu WA JWTZ , IGP na mwenyewe Kingai ni wateule WA rais je kauli ya kusema wote wanataka Lisu akutwe na hatia haiwezi athiri hukumu?

    Wadau habari zenu, HIVI kauli ile ya Kingai mahakamani akimwambia lisu na lisu akaisema hadharani mahakamani mbele ya majaji hawezi kuwafanya majaji kushindwa kutoa hukumu Kwa haki wakizingatia kauli ya Kingai ndo kauli ya bosi wa mihimili yote. Au ndo hukumu tayari Wanasheria na wadau...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…