huduma

Huduma Kenya Programme is a Kenya Vision 2030 flagship project captured under the Mid Term plan for 2013 – 2017. The Programme was launched by H.E Uhuru Kenyatta, President of the Republic of Kenya, on 7 November 2013 which coincided with the launch of the first Huduma Centre in Kenya at GPO Nairobi.
The aim of the Huduma Kenya program is to enhance the access and delivery of Government Services to all Kenyans. Ministry of Public Service, Youth and Gender Affairs is coordinating implementation of the Programme.c.Through the Huduma Kenya initiative, Kenya has been able to launch a Huduma Namba, which is equivalent to the US's Social Security Number (SSN).

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Video: Walipa kodi wanavyoteseka na huduma za jamii

  2. JamiiForums Tanzania Kukosa au kucheleweshwa huduma kila mara katika taasisi za serikali kwa sababu mtandao hakuna au uko chini ni jambo la hovyo sana

    Hakuna jambo linakera kama unafika katika taasisi fulani hasa za serikali na benki unaambiwa huwezi kupata huduma au huduma itachelewa kwa sababu sijui mtandao hakuna au uko chini, duniani huko kwa watu wenye akili sasa hivi wanafikiria kwenda kwenye network ya 6G sisi bado tunambwelambwa na...
  3. JamiiForums Tanzania Angalia maajabu tuliyofanya katika hii mansion ya mteja wetu. Tuli-design, then tukaingia site tukatoa kitu matata sana

    MANSION DESIGN AND BUILD SERVICES CALL/WHATSAP US +255624004650 INSTAGRAM mkuzibuilders TUNAPATIKANA SINZA DAR ES SALAAM
  4. JamiiForums Tanzania Huduma za mwendokasi

    Salaam wakuu, kama kichwa kinavyojieleza,kiukweli mimi binafsi nilikuwa na matumaini makubwa na huduma ya mwendokasi kwamba atakuwa mkombozi wahuduma za usafirishaji jijini Dar. Miaka ya nyuma nilikuwa naishi Maeneo ya Tabata kwa hiyo sikuwa mtumiaji wa huduma hii,lakini niliamini itasaidia sana...
  5. JamiiForums Tanzania Wakazi wa Mbagala wakoshwa na huduma za Kibingwa za MOI

    Wakazi wa Mbagala wamefurahishwa na huduma za kibingwa na kibobezi zilizotolewa na wataalam wa Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) katika kambi maalum ya matibabu iliyoandaliwa na Wanataaluma na Wajasiriamali wa Kanisa la Wa Adiventista Wasabato Tanzania (ATAPE). Wakazi...
  6. JamiiForums Tanzania Bajeti ya TAMISEMI 2025/26 yaongezeka kwa asilimia 16.38, yatengwa trilioni 11.783 kuboresha huduma na miundombinu

    Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wamepitisha kwa kauli bajeti ya TAMISEMI shilingi trilioni 11.783 kwa mwaka 2025/26, ikiwa ni ongezeko kutoka trilioni 10.125 mwaka 2024/25 imeongezeka kwa takribani asilimia 16.38 ikilinganishwa na mwaka wa fedha uliopita. Bajeti hii inalenga...
  7. JamiiForums Tanzania Mansion siyo lazima iwe ghorofa angalia hii alafu ukihitaji huduma call us +255624004650

    MANSION 5BEDROOMS PLOT SIZE 30X40M ALL ROOMS WITH POOL VIEW CALL/WHATSAP +255624004650
  8. M

    JamiiForums Tanzania Je, Unahitaji Spare Parts Bora na Huduma za Kuaminika? Jerry Spare Parts and Services Ndiyo suluisho

    Je, umewahi kuhitaji spare parts za magari na kutafuta sehemu za ubora? Au pengine unahitaji huduma za kutunza gari lako ili likuweke kwenye hali nzuri? Jerry Spare Parts and Services inakuletea suluhisho bora! Kuhusu Jerry Spare Parts and Services:Jerry Spare Parts ni duka la kuaminika...
  9. JamiiForums Tanzania HUDUMA YA AFYA MTANDAONI

    Karibu Dr'sonline polyclinic Online Clinic – Huduma za Afya Mtandaoni, Haraka na Salama Karibu kwenye kliniki ya kisasa ya mtandaoni inayokupa huduma bora za afya ukiwa popote ulipo. Kupitia simu au mtandao, unapata ushauri wa kitabibu, vipimo, na dawa bila kulazimika kufika hospitalini...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Kwa uhitaji wakung’oa visiki shambani kwakutumia kifaa maalumu.

    Habari wanajamii ninatoa huduma yakungoa visiki mashambani.Huduma hii naifanya kwakutumia kinafaa maalumu, ambapo kwa siku moja nauwezo wakungoa visiki 30 hadi 40. Visiki vikubwa @3,500 vidogo @2,000. Karibuni sana. Mawasiliano: 0719789087
  11. E

    JamiiForums Tanzania Usajili wa Kampuni na Biashara (e-services)

    🔹 Tuwasiliane leo: 📲 WhatsApp: +255674916323 📞 Piga: +255674916323 🌐 Tembelea: Huduma Zetu: 🚀 USAJILI wa Kampuni, Jina la Biashara,Vikundi na NGOs - Kwa muda mfupi! ✅ Tax Clearance ✅ Leseni za Biashara 🔥 Company/NGOs Profile 🎨 Usajili wa Alama za Biashara na Huduma 🌐 Blog na Website, na...
  12. K

    JamiiForums Tanzania Huduma ya kung'oa visiki kwa mashine maalumu

    Kwa uhitaji wakung’oa visiki shambani kwakutumia kifaa maalumu. Habari wanajamii ninatoa huduma yakungoa visiki mashambani.Huduma hii naifanya kwakutumia kinafaa maalumu, ambapo kwa siku moja nauwezo wakungoa visiki 30 hadi 40. Visiki vikubwa @3,500 vidogo @2,000. Karibuni sana. Mawasiliano...
  13. JamiiForums Tanzania MOI yanadi huduma zake za Kibobezi katika Wiki ya Afya Zanzibar

    Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) inashiriki maonesho ya Wiki ya Afya Zanzibar yaliyoanza Mei 4,na yatafikia tamati Mei 10, 2025 katika Hoteli ya Golden Tulip, Zanzibar. Akizungumza katika maonesho hayo leo Mei 5, 2025 Meneja Uhusiano wa MOI, Bw. Patrick Mvungi amesema...
  14. JamiiForums Tanzania Huduma ya dialysis kuwa bure

    Nikiwa Rais moja ya mambo ntakayoyafanya ni kuhakikisha huduma ya dialysis inakua bure Mfano mashine moja ya dialysis ni sh 200,000,000 haya ni makadirio 200,000,000 × 184= 36,000,000,000 (184 ni jumla ya wilaya zote zilizopo Tanzania) ukizidisha mara mbili ni sh billion 72,000,000,000 kila...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Mada maalumu ya magari, ufundi, garage, spareparts na kufahamu aina ya magari na huduma zake

    Habari za leo wadau wa JamiiForums! Kama unamiliki gari na unahitaji huduma bora, salama na za kuaminika, basi JERRY SPARE PARTS AND SERVICES ni sehemu sahihi kwako. Tunajivunia kutoa huduma bora zinazojumuisha uuzaji wa spea parts za magari, matengenezo ya magari katika garage yetu ya kisasa...
  16. M

    JamiiForums Tanzania YAS RUSHA:VIJANA KWA AJILI YA KUUNGANISHA MADUKA NA HUDUMA YA YASRUSHA

    Habarini wakuu.Wanahitajika vijana kwa ajili ya kuunganisha maduka na huduma ya YAS RUSHA Malipo ni kwa Kamisheni Location ni Dar es Salaaam Tuma meseji /piga namba 0718134925 kupata maelekezo zaidi #mixxbyyass
  17. V

    JamiiForums Tanzania Je unahangaika kupata huduma ya kufunga cctv camera kwa ajili ya ulinzi wa mali zako? Karibu tukuhudumie.

    Nenda kidigitali na ishi kwa amani bila kuhofia usalama wa mali zako nyumbani au ofisini kwa kufunga Cctv camera leo. Tunazo camera nzuri za kisasa zinazoonyesha picha nzuri usiku na mchana zenye 2MP Tunao mafundi wazuri wenye uzoefu wa kutosha Tunazo brand maarufu za Dahua na HIk VISION...
  18. JamiiForums Tanzania Ni maendeleo au Huduma ?

    Mjadala kuhusu maendeleo ni mtambuka sana. Watu wamegawanyika juu ya dhana hii, wapo wanaodhani maendeleo ni upatikanaji wa huduma za kijamii kama vile hospitali, barabara, umeme, elimu nk inatosha kuwa kipimo cha maendeleo (maendeleo ya vitu). Wapo pia wanaodhani maendeleo uwezo wa watu...
  19. JamiiForums Tanzania Ongezeko la huduma za kijamii kama biashara -haki inayotakiwa kuwekewa mipaka

    Sasa ni rasmi kuwa nchi imeendelea na ustawi wa watu umeanza kuonekana. Mwalimu Nyerere na Mzee wetu Karume wanaweza kuwa wanafuraha huko walipo miaka 61 ya Muungano Serikali zote zimejitahidi kuleta maendeleo. Ikumbukwe kuwa wapo maadui watatu waliowahi kutangazwa miaka hiyo yaani ujinga...
  20. JamiiForums Tanzania Elon musk kuzindua huduma ya intaneti satellite ya Starlink nchini Uganda

    Katika kuhakikisha Mtandao wa Starlink unazidi kushika Kasi ulimwenguni Tajiri Elon Musk ameamua kuongeza nguvu zaidi kwa kuleta huduma hii nchini Uganda. Mtandao wa Starlink ambao unasifika kwa kutoa intaneti yenye Kasi na usio na wasiwasi Hatimaye wameomba leseni Rasmi ya kufanya kazi nchini...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…