huduma za afya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Vifo vingi vinavyotokana na ajali nchini Tanzania ni kwa sababu ya ujinga na uzembe wa kutowakimbiza majeruhi hospitalini kwa haraka

    Kati ya sehemu ambayo kusema kweli ni rahisi sana kufa baada ya kupata ajali basi tuseme ni nchini Tanzania. Kwa uzoefu wangu mara nyingi ajali inapotokea nchini Tanzania ni mara chache sana watu wanashughulikia kuwakimbiza majeruhi hospitali kwa haraka. Watu huwa wanawatoa majeruhi na...
  2. B

    JamiiForums Tanzania EXIM BIMA FESTIVAL 2024: Burudani yenye Lengo la Kuboresha Huduma za Afya ya Akili

    Mkuu wa Idara ya Masoko na Mawasiliano, Stanley Kafu (kati) kutoka Benki ya Exim Tanzania, akizungumza wakati wa kutangaza ujio wa tamasha la Exim Bima Festival 2024, likiwa na kaulimbiu ‘Amsha Matumaini’, ambalo litafanyika terehe 28 Septemba mwaka huu katika Viwanja vya Gymkhana jijini Dar es...
  3. JamiiForums Tanzania NHIF yasitisha Mkataba na Vituo vya Hospitali ya Aga Khan

    HUZUNI KUBWA. --- YAH: TAARIFA KUHUSU KUSITISHA HUDUMA KWA VITUO VYA KUTOLEA HUDUMA ZA AFYA VYA AGA KHAN Tafadhali rejea somo tajwa hapo juu 2. Mfuko husajili vituo vya kutolea huduma za afya kuwawezesha wanufaika wake kupata huduma hizo nchi nzima. Hadi sasa Mfuko umesajili jumla ya vituo...
  4. JamiiForums Tanzania Hospitali ya Mloganzila ndiyo mfano wa utoaji wa huduma za Afya nchini

    Hii hospitali imetengenezwa kisasa kuanzia miundombinu, mpangilio na kila setting. Vifaa vya kutosha na wahudumu wanaonekana kuwa na ari nzuri tofauti na tulivyosikia hapo nyuma. Tukiachana na figisu za kisiasa hii hospitali ndo standard ya utoaji wa huduma za afya Tanzania
  5. JamiiForums Tanzania Waziri Mchengerwa akemea utendaji usioridhisha wa Watumishi wa Afya

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais - TAMISEMI Mhe. Mohamed Mchengerwa amekemea utendaji usioridhisha wa watumishi wa afya katika maeneo ya kutolea huduma nchini kwa kuwa unaenda kinyume na maadili ya utumishi. Maelekezo ya Mhe. Mchengerwa yametolewa kwa niaba na Mkurugenzi wa Afya, Ustawi wa Jamii...
  6. JamiiForums Tanzania Wananchi kuendelea kuchangia maendeleo kunawapa kiburi watawala kuendelea kutumia vibaya pesa za umma

    Kero za hii nchi zitatuliwa kwa mifumo Imara ya ufanyaji kazi na Serza nzuri. Sasa ni Vipi Mkuu wa wilaya anaweza tatua Tatizo la Ajira labda wilayani kwake bila National Policy? Mkuu wa Mkoa anaweza vipi tatua tatizo la aJira Mkoami kwake? Ana bajeti? Ni vipi huduma mbovu za Afya ziatatuliwa...
  7. JamiiForums Tanzania Bilioni 3.5 Kiteto Kukamilisha Huduma za Afya Wilaya ya Kiteto, Manyara

    Mbunge wa Jimbo la Kiteto, Mhe. Edward Ole Lekaita amefika Shule ya Sekondari Ndedo na kukabidhi Kompyuta Tano (05), Printa (Printer), Projekta (Projector) na Mashine ya Photocopy mpya kwaajili ya kufundishia na kuwataka Wanafunzi kusoma kwa bidii kujiongezea Maarifa. Mhe. Edward Ole Lekaita...
  8. S

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Hospitali ya Bugando, Mwanza ina huduma mbovu sana kwa wagonjwa

    Ndugu zangu, kama umewahi kupeleka mtu yeyote mgonjwa utaniambia hiki nilichoona mimi ni sawa ama si sawa. Nilisindikiza rafiki yangu mwaka Juzi aliuguliwa mtoto mgongo wazi kufika pale ikawa huduma mbovu huduma hadi umpatie rushwa daktari ndio ahudumiwe, bahati mbaya sana mtoto akafariki...
  9. JamiiForums Tanzania Zoezi la Huduma za Afya aliloanzisha Makonda liwekewe utaratibu kwa kila mkoa

    Nipongeze ubunifu huu wa kipekee ambao umefanywa na R.C Makonda. sasa ni muhimu ukawekwa utaratibu kwa kila Mkoa kufanya jambo hili ikibidi kwa mwaka mara moja. zoezi hili lipewe jina la "wiki ya Afya kitaifa" ambapo madaktari bingwa nchini watatoa huduma zao bure kwa wananchi . KWA HISANI YA...
  10. I

    JamiiForums Tanzania SoC04 TANZANIA TUITAKAYO: Kuboresha Huduma za Afya kwa kutumia Vitengo vya Afya Vinavyotembea (Mobile Health Units)

    Utangulizi Katika kuiona Tanzania ya baadae yenye wananchi wenye nguvu na afya ni lazima tuweke kipaumbele cha upatikanaji wa huduma za afya kwa wananchi wote. Wazo moja la kiubunifu ambalo linaweza kuboresha kwa kiasi kikubwa huduma za afya, hasa katika maeneo yasiyo na huduma za kutosha...
  11. JamiiForums Tanzania SoC04 Mikakati ya kuboresha huduma za afya ya uzazi ili kupunguza vifo vya mama na mtoto na kuifikia Tanzania tuitakayo yenye afya njema

    Kuboresha huduma za afya ya uzazi na kupunguza kabisa vifo vya mama na mtoto ifikapo mwaka 2035, Tanzania lazima ijikite katika mikakati muhimu sita. Mikakati hii inalenga kushughulikia changamoto kuu katika mfumo wa afya na muktadha mpana wa kijamii, lengo likiwa ni kuhakikisha kila mwanamke...
  12. M

    JamiiForums Tanzania SoC04 Nafasi ya madaktari kike na wahudumu wa kike hukatika katika utoaji wa huduma za afya

    Serikali inapaswa kuongeza idadi wa madaktari wa kike ,ili Wawa hudumie Wana wake pale wanapofika hospitalini. Kufanya hivyo kutapunguza unyanyasaji wa kijinsia na kuongeza ufanisi wa kazi. Kwani ni vyema mwanamke akihudimiwa na mwanamke mwenzie ,hasa pale mgonjwa anapotakiwa kupata...
  13. JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania Mpya: Nchi iliyofanikiwa Kukabili Tatizo la Uhaba wa Vitanda Hospitalini

    Utangulizi Sekta ya afya ni miongoni mwa sekta muhimu sana katika maendeleo ya kitaifa na ustawi wa jamii nchini Tanzania. Sekta hii hugusa maisha ya mtanzania mmoja mmoja na taifa kwa ujumla, na kwasababu hio ili kujenga taifa bora hatuna budi kuboresha sekta ya afya nchini. Miongoni mwa...
  14. JamiiForums Tanzania Kigoma: Mwanamke adaiwa kujifungua na kukosa huduma kwa zaidi ya saa moja katika Kituo cha Afya Kata ya Basanza

    Wakati wahusika wakikazana kusifia na kugeuka chawa wa viongozi, Hapa ni Jimbo la Kigoma kusini wilaya ya Uvinza kata ya Basanza Mkoani Kigoma katika zahanati ya serikali, huyo ni raia mlipa Kodi akitetea uhai wake pamoja na mwanaye baada ya kujifungua Zahanati bila kupata msaada wowote. Pia...
  15. JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania yenye urahisi wa upatikanaji wa huduma bora za afya vijijini

    Salamu; Moja ya sekta nyeti inayogusa kila mwananchi ni sekta ya Afya, lakini ndio sekta isiyojitosheleza zaidi kwa miaka mingi hususani maeneo ya vijijini.Natambua juhudi za Serikali za awamu zote katika kuongeza idadi ya vituo vya Afya vijijini na mijini pamoja na kujitahidi sana kuingiza...
  16. JamiiForums Tanzania SoC04 "Kuboresha Huduma za Afya Tanzania: Mikakati ya Kuimarisha Utendaji wa Manesi na Kurejesha Imani ya Umma"

    Utangulizi: Katika Tanzania, huduma za afya zinaendelea kuwa muhimu katika kuboresha ustawi na maendeleo ya jamii. Hospitali za umma zinachukua jukumu kubwa katika kutoa huduma hizi kwa wananchi, na manesi wanashikilia nafasi muhimu katika utoaji wa huduma za afya kwa ujumla. Hata hivyo, katika...
  17. JamiiForums Tanzania SoC04 Kuna nafasi kubwa kwenye Huduma za Afya za Kidigitali kwa Tanzania kusaidia sekta ya afya

    Maono ya Kibunifu kwa Huduma za Afya za Kidigitali kwa Tanzania: Miaka 5 hadi 25 Ijayo Utangulizi Katika dunia ya sasa inayozidi kuwa ya kidigitali, Tanzania ina fursa kubwa ya kuboresha huduma zake za afya kupitia matumizi ya teknolojia za kisasa. Huduma za afya za kidigitali zinaweza kutoa...
  18. JamiiForums Tanzania Jitihada za Kuboresha Huduma za Afya Jimbo la Igunga

    JITIHADA ZA KUBORESHA HUDUMA ZA AFYA JIMBO LA IGUNGA "... Tumekamilisha ujenzi wa Wodi ya Wagonjwa Mahututi (ICU) yenye uwezo wa kuhudumia Wagonjwa mahututi kumi kwa wakati mmoja, Tumekamilisha ujenzi wa Wodi ya Mama na Mtoto yenye uwezo wa kuhudumia kina Mama na Watoto hamsini kwa wakati...
  19. A

    JamiiForums Tanzania KERO Kaliua, Tabora: Huduma za Afya kituo za Ulyankulu zina walakini mkubwa

    Nimempeleka mke wangu Kwa ajili ya kujifungua katika kutuo cha AFYA cha serikali Ulyankulu. Na ikahitajika kufanyiwa upasuaji ila cha ajabu gharama nilizopewa nilishangaa sana. Huduma ilisuasua hadi pale nilipotoa pesa waliyohitaji. Nilijaribu kukutana na Daktari na kumuuliza kwanini fedha na...
  20. JamiiForums Tanzania Mbunge Cherehani: Boresheni Huduma za Afya kwa Wazee

    Mbunge Cherehani: Boresheni Huduma za Afya kwa Wazee Mbunge wa Jimbo la Ushetu Emmanuel Cherehani amemuomba Mganga Mkuu wa Halmashauri ya Ushetu Athuman Matindo kuboresha huduma kwa wazee ambao wanavitambulisho maalum kutoka ofisi ya serikali ya kijiji ili wapate huduma kwa wakati. Amesema...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…