hotuba ya rais samia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Waufukweni

    Mwigulu: Hotuba ya Rais Samia hapa Bungeni ilikuwa nzito, inayoonesha umakini, umahiri na kutoa mwelekeo na dira

  2. The Palm Beach

    Hotuba ya Rais Samia kuuaga mwaka 2025 yazua mjadala. Aendelea kukebehi maelfu ya waliouawa. Yadaiwa si halisi, imetengenezwa kwa Akili Mnemba (AI)

    https://youtube.com/shorts/d-gVWuklw7Y?si=zpWedEOCcjWkGVC9 Pamoja na kuendelea kukebehi maelfu ya wananchi waliouwawa na vyombo vya usalama vya serikali yake, hotuba ya Rais Samia ya tarehe 31/12/2025 masaa machache kabla ya kuingia mwaka mpya 2026 imezua balaa na mjadala makubwa kuhusu uhalisia...
  3. L

    Hotuba ya Rais Samia ilijaa unyenyekevu na hisia kali sana. Imeonesha kuwa alistahili kukalia kiti cha Urais

    Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu Ameonyesha Kuumizwa sana na Kifo cha Marehemu Jenista Mhagama Aliye tangulia mbele za Haki kwa kifo cha Ghafla kilichotokea siku chache zilizopita. Rais wetu ametoa hotuba yake kwa namna ya kipekee sana ,namna iliyogusa Mioyo ya watu wengi sana waliokuwa...
  4. L

    Hotuba Ya Rais Samia kwa Wazee wa Dar es salaam Ndio Iliyolituliza Taifa na Kuzima Maandamano

    Ndugu zangu Watanzania, Hotuba iliyotolewa na Rais Samia kwa Taifa kupitia wazee wa Dar es salaam ndio Iliyolituliza Taifa na kuzima kabisa habari za maandamano yaliyokuwa yamepangwa na kuchochewa na wajinga wachache walio nje ya Nchi. Ambao inaonyesha wazi wanapokea vijisenti vya mabeberu na...
  5. Mafyangula

    PostGE2025 CCM Kilimanjaro: Hotuba ya Rais Samia Kwa Wazee Imejaa Matumaini na Uzalendo

    Kutuchamba kwote kule hadi kushika kiuno ndio matumaini yenyewe nini bwana Tibwa? ============== Chama cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Kilimanjaro, kimesema Hotuba ya Rais Samia Kwa Wazee Imejaa Matumaini na Uzalendo huku kikitoa wito kwa viongozi kukemea vitendo vya uvunjifu wa amani...
  6. uhuruborn

    Hotuba ya Rais Samis: Uchambuzi wa Kisiasa, Kiburi Kinazungumza Zaidi Kuliko Hekima

    Desemba 2, 2025 - Dar es Salaam "Kiburi hutangulia maanguko, na roho ya kutukuza hutangulia maanguko." — Mithali 16:18 Leo, Rais Samia Suluhu Hassan alitoa hotuba kwa wazee wa Dar es Salaam - si kuomba msamaha kwa vifo vya Watanzania, bali kujitetea. Badala ya kulilia familia zilizopoteza...
  7. uhuruborn

    Taifa katika kivuli cha kiburi: Hotuba ya rais Samia, ukweli uliofichwa na hatari ya anguko la kisiasa

    Desemba 2, 2025 – Dar es Salaam Katika ukumbi mkubwa wa Julius Nyerere International Convention Centre, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, alikutana na wazee wa Dar es Salaam katika hotuba iliyoelezwa kuwa ya “kuliponya Taifa” baada ya ghasia zilizotanda kufuatia...
  8. L

    PostGE2025 Hotuba ya Rais Samia yawakosha Watanzania. Waomba irudiwe kwenye vyombo vya habari kwa mwezi mzima mfululizo

    Ndugu zangu Watanzania, Kwa hakika tumepata Rais ,tumepata kiongozi imara,tumepata nahodha hodari,tumepata jemedari shupavu. Watanzania Tumepata Amiri Jeshi Mkuu Shupavu , Madhubuti na Shujaa kwelikweli. Tuna kila sababu ya kujivunia kuwa Na Rais Samia kitini. Tuna kila sababu ya kusema asante...
  9. Parabolic

    PostGE2025 Kwa hotuba ya Rais Samia bado Tume ya Jaji Chande ina kazi gani iliyobaki?

    Rais Samia Suluhu Hassan amewahutubia wazee wa Dar es Salaam leo Desemba 2. Kiini cha ujumbe wake kilikuwa ni maandamano yaliyofanyika Oktoba 29, 2025. Kwa kiasi kikubwa hotuba yake ni kama alikuja kutema nyongo iliyomjaa kifuani pake. Ameeleza chanzo cha maandamano na vurugu zilizoanza Oktoba...
  10. M

    PostGE2025 Hiki nachosikia ndio 'Hotuba ya Kuponya majeraha na kuunganisha taifa" kutoka kwa Rais aliyotuahidi RC Chalamila?

    Sijaona hotuba ya kuponya nchi zaidi ya kiburi, jeuri na ulevi wa madaraka kutoka kwa Rais Samia. Huyu mama sijui amekuja kuwaje. Amedhihirisha ukatili alionao, huyu hatufai kabisa, vinginevyo tutafika Ni jambo la kusikitisha kuona kiburi na dharau vikichukua nafasi ya uongozi wa kusikiliza...
  11. BigTall

    PostGE2025 Hotuba ya Rais Samia: "Nani wa kumfunga paka kengele?"

    Mambo mazito Yanayosubiri Majibu Baada ya kutangazwa katika vyombo vya habari kuwa Rais Samia Suluhu Hassan atazungumza na wazee wa Mkoa wa Dar es Salaam na kuliutubia Taifa, mijadala mikubwa imeibuka kwenye mitandao ya kijamii. Baadhi wanatarajia hotuba itakayofungua ukurasa mpya wa matumaini...
  12. Doctor Mama Amon

    Tahakiki ya hotuba ya Rais Samia Bungeni, 14 Novemba 2025: Mazingira, Madhumuni, Muundo, Mazuri, Mabaya, Mapengo na Mapendekezo

    Tahakiki ya hotuba ya Rais Samia Bungeni, 14 Novemba 2025: Mazingira, Madhumuni, Muundo, Mazuri, Mabaya, Mapengo na Mapendekezo 1. Utangulizi Mnamo tarehe 14 Novemba 2025, Rais Samia alitoa hotuba ya kufungua Bunge la 13, akiwa bungeni Dodoma. Hivyo, hapa chini najadili muundo, maudhuo...
  13. L

    PostGE2025 Hotuba ya Rais Samia yawabubujisha Machozi ya Furaha watanzania

    Ndugu zangu Watanzania, Kwa hakika Rais Samia amegusa Mioyo ya watanzania, Amewapa Tabasamu,amewapa furaha . Ni hotuba ya Matumaini,ni hotuba iliyotoa Dira yenye matumaini,ni hotuba iliyounganisha Taifa ,ni hotuba ya kizalendo,ni hotuba iliyoonyesha Uwezo mkubwa wa kiuongozi alionao Rais wetu...
  14. 888I

    UCHAMBUZI WANGU: Hotuba ya Rais Bungeni - Mkono wa Maridhiano na Ahadi za Mabilioni ,Je ni Kuisifia ama Kuikosoa?

    Hotuba ya Rais ya kufungua Bunge la 13 siku chache baada ya uchaguzi mkuu uliogubikwa na maandamano/"vurugu," vifo, na uharibifu wa mali, hotuba hii ilikuwa na kazi mbili kuu: -Kuponya (kisiasa) na Kujenga Matumaini (kiuchumi). Aligawa hotuba yake katika maeneo makuu matatu: Ukiri wa tatizo...
  15. ngara23

    Tathmini na uchambuzi wangu wa hotuba ya Rais Samia Leo bungeni Dodoma

    Binafsi Kwa hotuba ya Rais Samia naona ni yule yule wa Jana na Sasa situation itakuwa worse 1. Hotuba ya Rais Kwa maksudi haijakemea ufisadi na Rushwa. Nadhani Cancer kubwa ya taifa hili ni ufisadi, Matumizi mabaya ya pesa za umma zinaliwa na wachache. Hii inasababisha hospital hazina madawa...
  16. Dr Adam Francis

    Hotuba ya Rais Samia ni Nyota njema iliyoonekana ahsubuhi!

    Rais Samia leo ametoa hotuba ya kufungua Bunge la 13. Hii ni hutuba iliyosubiriwa na wengi kutoa mwelekeo mpya wa kipindi cha pili cha serikali ya awamu ya sita ambayo kwakweli imepitia kipindi kigumu cha uchaguzi. Rais Samia ametambua uwepo wa maandamano na vurugu October 29, aidha ameliongoza...
  17. ngara23

    PostGE2025 Tutajarajie nini kwenye hotuba ya Rais Samia leo akifungua bunge na kumwapisha waziri mkuu mpya

    Leo Novemba 13, 2025 inatarajiwa Rais Samia atahutubia bunge na Watanzania baada ya uchaguzi mkuu na kuapishwa kwake Uchaguzi uligubikwa na matukio mengi ikiwa ni pamoja na mchakato wenyewe kuwa kiini macho wa wizi wa kura, maandamano, mauaji ya halaiki yaliyofanywa na police, Vyombo vya...
  18. Doctor Mama Amon

    GE2025 Tahakiki ya hotuba ya Rais Samia, 03 Novemba 2025: Muhtsari, Mazuri, Mabaya, Mapengo, Uwongo na Ubatili

    Tahakiki ya tukio la Uapisho na hotuba ya Rais Samia, 03 Novemba 2025: Muhtsari, Mazuri, Mabaya, Mapengo, Uwongo na Ubatili wa Kiapo 1. Muhtasari wa hotuba Leo tarehe 03 Novemba 2025, akiwa Jijini Dodoma, katika uwanja wa Jeshi wa Nishani, Rais Samia ameapishwa kama Rais mpya wa Tanzania, na...
  19. L

    GE2025 Hotuba ya Rais Samia Yaitetemesha Dunia Nzima. Wazungu Wakoshwa Na Uwezo Wake

    Ndugu zangu Watanzania, Kwa hakika usishindane na aliyebarikiwa na Mungu. Usishindane na aliyepewa kibali na Mungu. Usishindane na aliyeinuliwa na Mungu. Rais Samia ni Mbarikiwa . Rais wetu Mpendwa ni chaguo la Mungu. Mama yetu kipenzi ni Mpango wa Mungu Mwenyewe. Jemedari wetu hodari amepewa...
  20. M

    Natabiri: Hotuba ya Rais Samia atalazimika kuitataja No reforms mara nyingi kushinda hata uchache wa alichofanya kwa awamu yake hii!

    Tega masikio utaniambia niko paleee!
Back
Top Bottom