hotuba ya rais samia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. L

    JamiiForums Tanzania GE2025 Hotuba ya Rais Samia Yaitetemesha Dunia Nzima. Wazungu Wakoshwa Na Uwezo Wake

    Ndugu zangu Watanzania, Kwa hakika usishindane na aliyebarikiwa na Mungu. Usishindane na aliyepewa kibali na Mungu. Usishindane na aliyeinuliwa na Mungu. Rais Samia ni Mbarikiwa . Rais wetu Mpendwa ni chaguo la Mungu. Mama yetu kipenzi ni Mpango wa Mungu Mwenyewe. Jemedari wetu hodari amepewa...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Natabiri: Hotuba ya Rais Samia atalazimika kuitataja No reforms mara nyingi kushinda hata uchache wa alichofanya kwa awamu yake hii!

    Tega masikio utaniambia niko paleee!
  3. Doctor Mama Amon

    JamiiForums Tanzania Tahakiki ya Hotuba ya Rais Samia ya Tarehe 25 Aprili 2025: Muundo, Maudhui, Mabaya, Mapengo Na Mapendekezo

    Mazingira, muundo, maudhui, mabaya, mapengo na mapendekezo kuhusu hotuba ya Rais Samia ya tarehe 25 Aprili 2025: Mazingira ya hotuba Hotuba ya Rais Samia imeandaliwa, na inapaswa kutathminiwa, katikati ya mazingira yafuatayo: Msimu wa uchaguzi mkuu wa Rais, wabunge na mwadiwani inakaribia...
  4. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya Watanzania waliposikia Rais Samia atalihutubia Taifa leo walifurahi sana. Walidhani anataka kujiuzulu

    Kwa bahati mbaya haikuwa hivyo. Wamesikitika sana Mimi niliwaambia kuwa mtu mweusi hawezi kujiuzulu kirahisi hivyo Hata Ndugai si kwamba alipenda , alilazimishwa. Cheo cha Urais Tanzania hii ni kikubwa sana hakuna IGP, CDF au mtu yeyote anaweza kuthubutu kumshauri ajiuzulu. Mimi sijasikiliza...
Back
Top Bottom