hosting

  1. tzhosts

    WordPress hosting training

    Je, wewe ni Kijana Mtanzania ambaye anapenda kujifunza kuhusu WordPress Hosting na namna ambavyo unaweza kujiajiri kwa kutengeneza website katika Platform ya wordPress? Kama Jibu ni ndiyo basi fursa hii inakuhusu. Utajifunza yafuatayo: Basic Introduction to Websites and Webhosting...
  2. D

    OFA: Jipatie Hosting ya Buree! Kwaajili ya Website, E-mail & System kwa mwaka 1 tu

    Offer Deal for Tanzania Hosting Buy Domain from microsafi.com for at least 1year and get a free Hosting for the first year. Our hosting plans include everything you need to start building your dream online. Web hosting is our specialty. Happy customers are the priority. Our aim is to host your...
  3. N

    INAUZWA Nauza Biashara ya Hosting

    Kama Kichwa Cha habari Kinavyojieleza. Nina Biashara ya Hosting ambayo bado ni Changa, Nimeifanya Kwa Miaka miwili na Tayari. Ina wateja ambao wako Active 10, Na Wanalipia Kila mwaka (Wanalipia kuanzia 120,000 - 160,000/yr). Kutokana Na Kupata Kazi ambayo itanibana na Kushindwa kutoa support...
  4. Geza Ulole

    Total yafikia makubaliano na Uganda, yakaribia kuanza ujenzi wa bomba la mafuta kupitia Tanzania

    Uganda na kampuni ya Total ya ufaransa zimefikia makubaliano ambayo yanaifanya kampuni hiyo ya mafuta na washirika wake kukaribia kuanza ujenzi wa bomba la mafuta kwenda nchi ya jirani ya Tanzania, kampuni hiyo ilisema Ijumaa. Uganda iligundua hifadhi ya mafuta miaka 14 iliyopita lakini...
  5. Liston Cosmas

    Natoa free hosting (kwa miezi 6) pamoja na kujenga websites na mobile apps

    Habari wadau! Kama kichwa kinavyosema, ninatoa huduma ya hosting bure kabisa kwa miezi 6 na pia kama unahitaji kua na website au mobile application (ios & android), pia utapatiwa kwa gharama nafuu sana. Napatikana kwa +255 768 55 8494.
  6. Samedi Amba

    Fahamu kuhusu SIM Card hosting kwa Tanzania

    Habari za asubuhi wanajamvi, Nimeona services nyingi mtandaoni na nikavutiwa na jinsi mambo yanavyokwenda kasi. Kuna concept mpya imeingia (actually sio mpya sana) ambayo inaitwa SIM hosting. Yaani, unaweza ukaipa kampuni fulani SIM card yako, wakaihifadhi kwenye server zao. Baada ya malipo na...
Back
Top Bottom