hospitalini

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. O

    Siasa Zafika Hospitalini? Chair wa The Nairobi Hospital Asummoniwa Harambee House Kuunda 3 Board Vacancies!

    Kuna mvutano mkubwa ndani ya board ya The Nairobi Hospital baada ya madai kuwa baadhi ya maafisa wa serikali wanajaribu kuingilia uongozi wa hospitali hiyo ya kifahari. Ripoti zinaonyesha kuwa mwenyekiti wa board, Dr. Barcley Onyambu, aliitwa katika ofisi za serikali na kupewa majina ya watu wa...
  2. H

    Waziri mkuu aagiza uchunguzi wa mfumo wa upatikanaji wa dawa hospitalini

    WAZIRI MKUU AAGIZA UCHUNGUZI WA MFUMO WA UPATIKANAJI WA DAWA HOSPITALINI ▪️Akemea watumishi wanaowaelekeza wananchi kununua dawa nje ya hospitali ▪️Aonya utapeli wa ardhi za vijiji ▪️Akemea wakandarasi wanaolipwa fedha za miradi lakini hawawalipi mafundi WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba...
  3. DuaZaMama

    GE2025 Nchimbi: Tutafuta kuzuia miili hospitalini kisa deni

    Mgombea mwenza wa Urais kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Emmanuel Nchimbi ameahidi kufutwa kwa utaratibu wa kuzuia miili ya Marehemu Hospitalini kwa sababu ya deni la matibabu. Dkt. Nchimbi amesema haya leo Septemba 25 katika mkutano wa kampeni uliofanyika jimbo la Kilolo, Iringa kwa...
  4. MK254

    Video: Kule Iran Mwanamke amfumania mwanaume wa kidini akimchukua video hospitalini kisa hajasitiri nywele

    Hawa watu kwenye hii dini ya muarabu sijui nywele za wanawake huwapa mzuka au nyege au nini, yaani jamaa bila aibu na likanzu sijui lijoho lake anazurura hospitalini akichukua video ya kila mwanamke ambaye hajasitiri nywele. https://www.youtube.com/shorts/1PpnRkoqkqU
  5. H

    Polepole akumbusha Wosia wa Hayati Nyerere Akiwa Hospitalini, Kuwa Tusikubali Nchi Yetu Itekwe, Tutajuta. Nchi Inaelekea Kutekwa

    Polepole, leo kwenye wasilisho lake live, ameeleza mambo mengi mazito juu ya hatari ambayo Taifa linapitia. Katika kufikisha ujumbe wake, ameelezea majadiliano mbalimbali aliyoyafanya na watu mbalimbali wenye uzalendo wa hali ya juu kama Mzee Warioba, Butiku na hayati Mkapa hapo mwaka 2015. Na...
  6. Dr PL

    Je ulishawahi kusitisha au kumsitishia ndugu yako matibabu hospitalini?

    Kuna wakati mgonjwa aliyelazwa hospitalini au ndugu zake huamua kwa hiari yake/yao kusitisha/kumsitishia matibabu bila ridhaa ya daktari kutokana na sababu mbalimbali. Je wewe mdau ushawahi kulazwa hospitalini ukasitisha kuendelea na matibabu? Au ulishiriki kumsitishia ndugu yako matibabu? Je...
  7. GENTAMYCINE

    Siyo kila anayekuja Kukuangalia Wodini Hospitalini ukiwa Hoi / Mahututi anakupenda kwani wengine hutaka Upone ili Wao waje Kukumalizia kabisa

    Nadhani wote hapa tumeelewana kabisa na kama haujauelewa huu Uzi wa GENTAMYCINE mtafute Genius akufafanulie.
  8. B

    Kwanini CCM inatumia pesa nyingi sana kwenye chaguzi wakati wananchi wake ni maskini sana, dawa hospitalini hakuna, madawati hakuna na ajira hazipo?

    Niende moja kwa moja kwenye mada Fedha za CCM zinatumika zaidi na zaidi kwenye uchaguzi mkuu 1. Ina lipa zaidi ya TSH 5B kununua wapinzani(Kuna tetesi kuwa G55 wamepewa fedha za kutosha ) 2. Ina lipa zaidi ya tsh 1B kulipa wasanii(Kwenye kampeni zao zote hata sizizo na ushawishi na ulazima...
  9. W

    SI KWELI Padre Kitima amewazuia watumishi wa serikali wasiende kumtembelea hospitalini

  10. Waufukweni

    Video: Papa Francis aonekana kwa mara ya kwanza hadharani kupitia dirisha hospitalini

    Papa Francis (88) amejitokeza kwa mara ya kwanza hadharani baada ya kulazwa kwa wiki tano kutokana na nimonia kali iliyohatarisha maisha yake. Kiongozi huyo wa Kanisa Katoliki atatoa baraka kutoka Hospitali ya Gemelli, Rome, kabla ya kurejea Vatican kwa mapumziko ya miezi miwili. Daktari...
  11. excel

    Watu wa Hospitalini mbona hamtuambii tiba mbadala za magonjwa mbalimbali?

    Hutakaa usikie wakikwambia bamia ni dawa ya vidonda vya tumbo.. hutokaa usikie tumia unga wa ubuyu na asali utapona vidonda vya tumbo.. Hawasemi kabisa mzizi flani ukiutafuna unapona tatizo hili.. Nyie kazi zenu kutushindilia madawa ya kizungu ili mpige hela.. Badilikeni..
  12. Waufukweni

    Dkt. Deus Ndilanha apinga kupunguzwa au kuondolewa kwa gharama za kumuona Daktari Hospitalini

    Rais wa zamani wa Chama cha Madaktari Tanzania (MAT), Dkt. Deus Ndilanha amependekeza kutoondolewa wala kupunguzwa kwa gharama za kumuona daktari hospitalini, akidai kuwa kuondolewa kwa gharama hizo kunaweza kushusha mapato ya baadhi ya hospitali na kufanya baadhi ya watoa huduma kushindwa...
  13. U

    Maofisa uhamiaji Marekani sasa wapewa mamlaka kukamata wahamiaji haramu na wahalifu watakaojificha au kukimbilia makanisani, mashuleni na hospitalini

    Wadau hamjamboni nyote? Wahamiaji haramu hawana kinga tena wakijificha maeneo hayo kama ilivyokuwa zamani Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo: Guardian staff and agencies Wed 22 Jan 2025 00.51 GMT Share US immigration authorities will be able to arrest migrants at schools, churches and...
  14. Lord Denning

    Vifo vingi vinavyotokana na ajali nchini Tanzania ni kwa sababu ya ujinga na uzembe wa kutowakimbiza majeruhi hospitalini kwa haraka

    Kati ya sehemu ambayo kusema kweli ni rahisi sana kufa baada ya kupata ajali basi tuseme ni nchini Tanzania. Kwa uzoefu wangu mara nyingi ajali inapotokea nchini Tanzania ni mara chache sana watu wanashughulikia kuwakimbiza majeruhi hospitali kwa haraka. Watu huwa wanawatoa majeruhi na...
  15. L

    Hivi kweli dawa ambazo pharmacy nauziwa sh8000, nikiwa mwanachama wa NHIF sizipati hospitalini?

    Salaam kwenu, Jana nilienda kwenye kituo flani Cha afya(private) nikiwa na kesi ya vipele kwenye ngozi. Baada ya maelezo yangu daktari aliniandikia dawa za aina 3 ila akasema hawezi kunipa za siku 14 kwani Serikali hairuhusu hivyo akaniandikia siku7. Wakati anaandika akadai kuwa itabidi...
  16. Annie X6

    Kama huna huruma, utu na imani tembelea hospitalini

    Leo ni ijumaa nisalimie kwa assalam alykum Jamii. Ndg zangu hospitalini ndiko walipo wahitaji..watu wanataabika na kupata shida na taabu. Kuna wale wanaokosa imani au kukosa utu. Wapo watu wanaringa na kusaza kwa kutojali maisha ya wengine. Nitarudi baadae
  17. L

    Nesi aliyempokea Lissu Hospitalini anadai kuwa Antony Mtaka alimtukana 'Fala wewe' na akamuweka mahabusu siku tatu wakati ni Mgonjwa

    Ndugu zangu Watanzania, Nimeendelea kuisikiliza video ya muuguzi aliyedai kuwa ni miongoni mwa wauguzi waliompokea Lissu hospitalini siku alipokimbiziwa hapo baada ya kushambuliwa kwa Risasi na watu wasiojulikana 2017. Ambapo katika mazungumzo hayo na Lissu muuguzi huyo ambaye anadai...
  18. C

    Kulea wasiojiweza (Wazee na wale wanaohitaji uangalizi wa karibu) kwa walioopo Hospitalini au Nyumbani. Nipo tayari kuwahudumia

    Care Giver (Mlezi) ■Mimi ni nani? ■MAJUKUMU YANGU NI YAPI? ■Kwa sasa nipo tayari kutoa huduma mkoa wowote ndani ya Tanzania. Mawasiliano: 0683 856087 NB: Naomba share na wanaohitaji huduma hii najua watu wanamajukumu na hapo hapo wanahitajika wa watu wao wanaohitaji uangalizi wa karibu...
  19. Mjanja M1

    Ali Kamwe azimia baada ya mechi, akimbizwa hospitalini

    Kwa Habari zilizotufikia muda huu ni kwamba Afisa habari wa Yanga Sc Ali kamwe amezimia kwa Mkapa mara baada tu ya Mchezo kumalizika huku Yanga Sc ikiibuka na ushindi wa Mabao 4-0 dhdi ya CR Belouizdad. Hata hivyo, amekumbizwa Hospitali kwa ajili ya kupatiwa huduma ya kwanza. Hii inaweza kuwa...
  20. K

    Sukari, umeme na madawa hospitalini

    Mhe. Bashe SUKARI iko wapi wananchi tunateseka. Mhe. Biteko UMEME uko wapi wananchi tunateseka. Mhe. Ummy MADAWA yako wapi wananchi tunateseka hata ukiwa na Bima. Wananchi tunawaamini lakini mnatuangusha. Time will tell.
Back
Top Bottom