Salaam!
Kuna hospitali moja hapa mjini, hospitali hii hutibu watu special,wenye nguvu,
Kuna baadhi wamewahi kuifananiasha hospitali hii na nyumba ya kuhifadhia wafu, sababu kuu ni kuwa, wachache sana waliingia humo kutibiwa wakiwa hai, hawakurudi wakiwa hai,bali wamekufa.
Pongezi zimwendee...