Jumanne itakuwa Siku ya Mitambo ya Umeme, na Siku ya Madaraja, zote kwa pamoja nchini Iran. Hakutakuwa na siku mfano wa hiyo !!! Fungueni hiyo Mlango wa Bahari sasa hivi, enyi vichaa, la sivyo mtaishi katika Jahannamu – SUBIRINI MUONE! Atukuzwe Allah . Rais DONALD J. TRUMP.