The Strait of Hormuz ( Persian: تنگهٔ هُرمُز Tangeh-ye Hormoz , Arabic: مَضيق هُرمُز Maḍīq Hurmuz) is a strait between the Persian Gulf and the Gulf of Oman. It provides the only sea passage from the Persian Gulf to the open ocean and is one of the world's most strategically important choke points. On the north coast lies Iran, and on the south coast lies the Musandam peninsula, shared by the United Arab Emirates and the Musandam Governorate, an exclave of Oman. The strait is about 90 nautical miles (167 km) long, with a width varying from about 52 nmi (96 km) to 21 nmi (39 km).
A third of the world's liquefied natural gas and almost 25% of total global oil consumption passes through the strait, making it a highly important strategic location for international trade. It has been so for centuries; its vast hinterlands were rich in luxury trade goods with no easy access to lucrative trading ports. Babur's memoirs recount how almonds had to be carried from the distant Ferghana region to Hormuz to reach markets.
On 22 June, 2025, the Iranian parliament voted to close the Strait of Hormuz, in response to recent U.S. strikes on Iranian nuclear facilities. The decision is pending approval by the Islamic Republic’s Supreme National Security Council.
Wabongo wanapenda sana kuzipa biashara zao majina ya vitu maarufu, tutegemee siku za hivi karibuni kuona Hormuz Cafe, Hormuz Barbershop, Hormuz general store, Mgahawa wa Hormuz, Hormuz Bar n.k
Nigeria tayari wameshatembea na upepo
Jeshi la Anga la Israeli lilifanya shambulio sahihi huko Bandar Abbas ambapo Alireza Tangsiri, ambaye alikuwa kamanda wa Jeshi la Wanamaji la IRGC kwa miaka minane iliyopita aliondolewa.
Tangsiri alihudumu katika nafasi kadhaa muhimu ndani ya Jeshi la Wanamaji la IRGC, ambapo alisimamia...
Saudi Arabia imeongeza mauzo yake ya mafuta hadi zaidi ya nusu ya viwango vya kawaida licha ya usumbufu kutoka kwa vita vya Iran.
Ufalme huo unasafirisha mafuta kupitia bomba hadi bandari ya magharibi ya Yanbu, huku usafirishaji kutoka Yanbu ukiwa na wastani wa mapipa milioni 4.19 kwa siku...
Uingereza, Ufaransa, Ujerumani, Italia, Uholanzi na Japani zimesema zitachukua hatua za kuimarisha utulivu wa masoko ya nishati, na ziko tayari kushiriki katika “juhudi stahiki” ili kuhakikisha usalama wa upitishaji katika Mlango wa Hormuz.
Dkt. Anwar Gargash, ambaye ni mshauri wa kidiplomasia wa Rais wa UAE, amethibitisha leo (Jumanne, Machi 17, 2026) kuwa UAE inaweza kujiunga na juhudi za kimataifa zinazoongozwa na Marekani ili kulinda usalama wa njia ya maji ya Strait of Hormuz.
Gargash alitoa kauli hiyo wakati akizungumza...
Waziri wa Hazina wa Marekani, Scott Bessent, ameviambia vyombo vya habari kuwa; Marekani imekubali kwa makusudi kuruhusu meli za mafuta za Iran kupita katika Mlango wa Hormuz bila kuzuiliwa kijeshi kwa sasa.
Hatua hii imechukuliwa ili kudhibiti bei ya mafuta duniani isipae zaidi (baada ya...
Wakati mvutano wa kisiasa na kijeshi ukiendelea kuongezeka katika eneo la Strait of Hormuz, Wataalamu wa sekta ya mafuta anaonya kuwa dunia inaweza kukabiliwa na msukosuko mkubwa wa nishati iwapo njia hiyo muhimu ya usafirishaji wa mafuta itavurugika.
Kutokana na changamoto hizo, wataalamu...
Wadau wa JF,
Kutokana na mgogoro unaoendelea Iran na umuhimu wa Mlango wa Bahari wa Hormuz katika usafirishaji wa mafuta duniani, kumekuwa na mjadala mkubwa kuhusu kama kuna njia mbadala ya kupitisha mafuta bila kutegemea njia hiyo.
Swali kubwa lililojadiliwa ni:
Je, mabomba ya mafuta...
Wanaukumbi.
Waziri wa Nishati wa Marekani Chris Wright anasema kuwa jeshi la wanamaji la nchi yake haliko tayari kusindikiza meli za mafuta kupitia Mlango wa bahari wa Hormuz.
Hakuwa akisema hivyo Jumanne. Kwa hakika, saa 48 zilizopita, alitangaza kwenye mitandao ya kijamii kwamba Jeshi la...
Mvutano katika Mashariki ya Kati umeshika kasi zaidi leo baada ya meli ya mizigo kushika moto kwenye Mlango-bahari wa Hormuz, kufuatia shambulio lililohusisha "vitu vya kurushwa visivyojulikana."
Mamlaka zimethibitisha kuwa meli tatu za kibiashara zimeharibiwa katika njia hiyo muhimu ya maji...
Wanaukumbi.
Msemaji wa Walinzi wa Mapinduzi ya Iran:
-Tunasubiri uwepo wa majeshi ya Marekani kusindikiza meli za mafuta kupitia Mlango wa bahari wa Hormuz
- Tunawakumbusha Wamarekani juu ya kuchomwa kwa meli ya mafuta ya Amerika Bridgeton mnamo 1987…
================
BREAKING: IRAN...
Makampuni kadhaa makubwa ya mafuta pamoja na makampuni ya usambazaji wa mafuta na petroli yamesitisha kwa muda usafirishaji wa mafuta, petroli na bidhaa kupitia Strait of Hormuz kutokana na mashambulizi ya Marekani dhidi ya Iran kwa mujibu wa ripoti kutoka Reuters.
Kwanza nataka nikiri kuwa wazungu ni wajanja. Wao huwa wanaact kwa mtindo wa good cop vs bad cop. Safari hii Marekani na Israel walikuwa bad cops huku Uingereza, Ufaransa na Ujerumani zikijifanya kama ziko mbali lakini behind the scenes wako pamoja.
Leo Trump ametangaza ceasefire kati ya Israel...
Analojia rahisi kwenye hili ni kufananisha Strait ya Hormuz kama mto mdogo wa kijijini ambao 30% ya maji tunapata hapo. Maji haya ndio kiungo muhimu katika shughuri za kila siku za kijiji chetu. Sasa, kuna bwana anyekaa huko kwenye chanzo cha mto aliweka bayana kabisa kuwa ataufunga mto kama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.