hongera

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Heci

    Umeua ili kutamalaki, hongera sana. Baada ya kichambo sinagogini ndio unajidai unatenda matendo ya huruma?

    Kuna vitu vinafanana sana lakini viko mbali kabisa. Hekima imefanana sana busara lakini ni vitu viwili tofauti. Hekima ni karma ya Roho Mtakatifu, inatoka kwa Mungu. Busara ni akili ya kibinadamu iliyojaa maneno matamu na ya kilaghai ili kuufarahisha umma, busara haina suluhisho la kudumu Bali...
  2. M

    Hongera Prof. Makenya Abraham – Mwenyekiti Mpya wa TCU

    Hongera sana Prof. Makenya Abraham kwa kuteuliwa kuwa Mwenyekiti wa TCU. Tunakupongeza kwa uteuzi huo na tunakuombea Mungu akupe hekima katika kuliongoza jukumu hili muhimu. Hata hivyo, kwa muda fulani kumekuwa na changamoto katika namna TCU inavyofanya maamuzi yanayogusa vyuo vikuu. Wakati...
  3. G

    Hongera Pascal Mayalla kwa kumtembelea mweyekiti Lissu mahakamani amua sasa kusimama upande wa haki

    Hongera Pascal Mayalla kwa kumtembelea mweyekiti Lissu mahakamani amau sasa kusimama upande wa haki
  4. The only

    Hongera sana Heche umejua kumchezesha bolingo Chawa Mbowe na CCM

    Asee Heche ni mwamba . Baada ya msiba huu mzito ni wazi Ccm wakishirikiana na watu wao Hususan Mbowe na zitto kuwatumia kuhakikisha msiba hauwapi Milage Chadema kwa mbinu mbali mbali .naomba mtililiko ya yaliyojiri - Kipenga kilipigwa kwa mbowe kutumia umkwe kuwa msemaji wa familia ,sisi...
  5. Q

    Hongera GenZ, Simba na Yanga kwisha Wasanii kwisha, tuendelee hivi hivi hadi wote tuongee lugha moja.

    Hatuna budi kuwapongeza GenZ kwa kufanikisha zoezi hili, ilikuwa huwezi kuongea chochote vijiweni zaidi ya simba na yanga au diamond na kondeboy leo ni tofati kabisa. Kiuhalisia huwezi kuishi bila siasa, huwezi kuukuza mpira ukaiacha siasa inayoendesha huo mpira, kuwa mimi ni Simba damu damu...
  6. ELI COHEN

    Hapa mashabiki wa kongo walimtendea haki patrice lumumba. HONGERA SANA BANA CONGOO!

  7. appoh

    Hongera Samatta kwa rekodi ya miaka minne bila kuifungia timu ya taifa

    Leo umetimiza miaka minne bila kufunga goli timu ya taifa hongera kwa rekod ya kipekee
  8. Kimbesa11

    Chief Hangaya ameonyesha uhodari wake wa kuilinda himaya yake

    Chief Hangaya ameidhirishua Dunia kuwa chief hodari mwanamke wa Karne hii ya 21, ameionyesha Dunia kuwa ni chief mwanamke mwenye uwezo mkubwa wa kuilinda himaya yake na watu wake. Huu uhodari ushuke Hadi chini kwa machifu wenzake wadogo wadogo katika kusimamia maadili ya watu wao, ili ifikie...
  9. Kizibo

    PostGE2025 Hongera kwa JWTZ kwa kutuliza nchi. Lakini Nina ushauri huu

    Moja kwa moja kwenye mada. Najua viongozi wa jwtz wako humu. Jwtz wenyewe (askari wenyewe) wako humu. Nawapongeza sana kwa kutuliza hali ya nchi. Ni wazi, bila jwtz kuwa deployed mitaani kwa wingi, polisi peke yao wasingeweza kutuliza hali ikawa vile ilivyokuwa jana D9. Pamoja na hayo...
  10. ubongokid

    Hongera Samia, umezungumza kama RAIS, AMIRI JESHI na MZALENDO

    Sisemi mengi; Kwa kauli yako mwenyewe umethibitisha kwamba Taifa letu liko imara na hakuna atakayeleta nywinywi,nywinywi wala nywinywinywi. Sasa nafikiri Tuendelee kuijenga nchi. Bila kujali iwapo umeingia kwa njia ya kura halali au haramu wewe ndio Mkuu wa nchi kwa sasa.Hata kama wewe ni...
  11. stakehigh

    Hongera Clement Mzize kushinda Goli bora (CAF)

    Mshambuliaji wa Yanga Clement Mzize amefanikiwa kushinda goli bora la mwaka Afrika
  12. THE BIG SHOW

    Hongera sana serikali kwa kuanzisha mkakati wa kuwasaka vinara wa machafuko

    Friends and Our Enemies... La mgambo limeliaaa,La mgambo limeliaa.. Serikali sasa imetangaza msako,dhidi ya wale wezi,walanguzi,wahaini na wanaohujumu miundombinu ya taifaa... Lilikuwa ni suala la muda tuh kabla ya mkono wa sheria kuwafikia hawa vibaka na wahamasishaji wao wa fujo na wizi kwa...
  13. K

    Hongera Mama umekuwa kichekesho na kituko Duniani

    Hongera Mama umekuwa kichekesho na kituko Duniani kura fake 98% na video za wezi wa kura. Kusema chaguzi zilikuwa za haki Mama amekuwa ni kituko na kichekesho. Juzi nilikuwa Texas wanauliza kama nimetokea Tanzania au Kenya nikasema Tanzania kila mtu akacheka! Wanasema walikuwa wanaona video...
  14. The Father of All

    Pongezi Samia na hongera Kikwete ila mmejua kututenda.

    Sina la kusema! Naamini kazi itaendelea hadi kieleweke. Kwa ujuha na uzwazwa huu, sina wasiwasi.Damu iliyomwagika itarudi na kulipiza kisasi.
  15. smarte_r

    Hongera sana Mange, Mission yako imefanikiwa. Pokea maua yako

    watu wanaweza kumbeza mange kimambi vile watakavyo, lakini kiukweli kampeni yake ya maandamano imefanikiwa kwa asilimia kubwa sana. Kwanza amefanikiwa kutengeneza awareness kwa watoto wetu hawa waliozaliwa miaka hii ya teknolojia ya dijitali. niseme tu ukweli, kizazi cha mwisho kwa ccm...
  16. The Father of All

    GE2025 Hongera Samia kwa 'ushindwe' wa kishindo hata kabla ya matokeo!

    Hongera mama Samia kwa ushindi hata kabla ya uchaguzi. Kwa vile watanzania wote wanakupenda kiasi kuwa tayari kutoa uhai wako kwa ajili yako, hapakuwa na haja ya kukuchosha na kukuaibisha kwa uchaguzi ambao uliishashinda hata kabla ya kufa Magufuli kwa vile wewe ni chaguo la Mungu.
  17. PAYE

    GE2025 Wapiga kura Zanzibar kushiriki kura ya mapema leo Jumanne

    Wapiga kura visiwani Zanzibar leo Oktoba 28, 2025 wanaanza zoezi la kupiga kura katika kile kinachofahamika kuwa ni "kura ya mapema" ya uchaguzi mkuu wa Tanzania. Vituo vya kupigia kura vimefunguliwa kuanzia saa moja asubuhi na kufungwa saa 10 jioni na matokeo ya urais yatatangazwa ndani ya saa...
  18. funaku

    GE2025 Ukiiona Mwanza imekubali ujue ushindi unakuja. Hongera Rais Samia

    Mwanza imejitokeza kumpokea mgombea Urais Samia Suluhu Hassan ikiwa ni nembo ya kukubalika nchini. Wapinzani wengi wa Samia walipambana kuitenganisha Kanda ya ziwa na Samia lakini imekuwa tofauti na kila la kheri kesho asubuhi na mapema kazi itakuwa imeisha.
  19. Mudawote

    Dr Nchimbi hongera kwa kuvumilia!

    GTs, Nimpongeze kwa dhati kabisa toka Moyoni Dkt Nchimbi kwa uvumilivu wake. Hakika huo moyo Dkt Mpango hana kabisa. Ila pia pole sana kwa wananzuoni kutoka Chuo Kikuu Mzumbe na IDM, maana ndiyo Chuo kimetoa rais wa kwanza ila ndiyo hivyo haelewi kabisa kinachoendelea na vilio vinavyoendelea...
  20. Mr Why

    Hongera sana NMB Bank kwa kuthamini utu, hakika ninyi ni bank bora kila Mtanzania ni shuhuda wa maneno haya, mnasifika kwa kuepuka dhuluma

    Hongera sana NMB Bank kwa kuthamini utu, hakika ninyi ni bank bora kila Mtanzania ni shuhuda wa maneno haya, mnasifika kwa kuepuka dhuluma kwa wateja wenu Mnaonesha uaminifu wa hali ya juu na taarifa zote za miamala kwa wateja wenu ni za wazi na zenye maelezo yanayojitosheleza Tangu mtoe...
Back
Top Bottom