Nipo kwenye jiji la Daresalama, napita na kuvivinjari viunga vyake.
Kitu kilichonishangaza ni jinsi Siraha mbalimbali zinavyouzwa kiholela, maeneo ya Kariakoo (soko kuu) nimeona uuzwaji holela wa siraha aina ya visu, mapanga, mundu, shoka, hata vile visu vya kininja. Kwa mujibu wa sheria hizi...