hofu

Hōfu (防府市, Hōfu-shi) is a city located in Yamaguchi Prefecture, Japan.
As of September 30, 2016, the city has an estimated population of 117,387 and a population density of 622.44 people per km². The total area is 188.59 km².

View More On Wikipedia.org
  1. secretarybird

    Eti, "natafuta mke/mume mwenye hofu ya mungu", nyambafu!

    Eti, "...mwenye hofu ya mungu..." Kwa nini mungu anaogopwa hivi? 🤔. Seran.
  2. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    Wanaume mlioaoa wanawake ambao hamkuwakuta na bikira zao je mnawezaje kuishi nao bila hofu?

    Inakuwaje umeoa mwanamke ambae yaani unagharamia ndoa (harusi) ya kifahari ya mamilio ya hela Kwanza ni lazima kabisa pasina shaka pindi tu unapokuta hana bikira utapiga hesabu kuwa huenda mimi ni mwanaume wa 37 lakini bado unaamua kufumba macho na kujitungua. Hujiulizi ni kwanini Mungu...
  3. Parabolic

    Hofu yatanda, wakimbizi wa Burundi wadaiwa ‘Kufukuzwa’ Tanzania

    Wasiwasi umeibuka kuhusu kurejeshwa kwa lazima kwa wakimbizi wa Burundi kutoka Tanzania, huku wengi wao wakisema hawataki kurudi nyumbani kutokana na hofu ya usalama na mateso ya kisiasa. Manyanyaso hayo yanaripotiwa wakati Kwa mujibu wa sheria za kimataifa za wakimbizi zikizuia wakimbizi...
  4. Mi mi

    Walichofanya Unitree Robotics kwenye Chinese New Year Gala 2025&2026 ni mabadiliko na maendeleo makubwa ya AI lakini napata hofu

    Walichofanya kampuni ya maroboti kutoka China Unitree Robotics katika sherehe za mwaka mpya wa kichina 2025 na hii ya juzi tu hapa ni kuonesha kwa namna gani haya mataifa makubwa kama China walivyo shupalia suala zima la AI na maendeleo yake. Lakini mimi hii teknolojia ya AI toka kuanza...
  5. Parabolic

    Jeshi la Polisi linaendeleza hofu ya utekaji nchini

    Tukio la kukamatwa kwa aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama cha Madereva wa Malori Tanzania (TATAMATA), Godlove Materu limerejesha hofu ya utekaji nchini, kutokana na mtindo wa ukamataji unaofanywa na Jeshi la Polisi nchini. Materu Materu (45), ambaye ni mkazi wa Chapwa, Mji wa Tunduma, Wilaya ya...
  6. R

    PostGE2025 Jinsi Vyombo vya Usalama vilivyogeuza Ulinzi kuwa chanzo cha hofu

    Tangu yalipofanyika maandamano na baadaye vurugu wakati wa uchaguzi wa Oktoba 29, 2025 na baada ya hapo, kumekuwa na hofu kubwa kwa wananchi kutokana na kuongezwa kwa ulinzi wa polisi na Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ). Maandamano yaliyokabiliwa kwa nguvu na polisi na JWTZ yalisababisha...
  7. BICHWA KOMWE -

    Hofu ya kunuka Mdomo: Ni sayansi au kichaa?

    Naenda moja kwa moja kwenye lengo kuu. Ndugu yenu BICHWA KOMWE muda wote nina hofu sana na kunuka mdomo. Licha ya usafi mkali ninaopiga mpaka koromeo linaomba poo, lakini niko makini vibaya na mdomo. Kila wakati najinusa na kujipiga mouth wash. Kuna wakati nilifukuzwa na mama mwenye nyumba...
  8. K

    PostGE2025 Kiliba: Shughuli za kiharakati lazima zisisitize amani na upendo siyo kueneza hofu na chuki kwa wanajamii

    Rais wa Jumuiya ya Wanafunzi na Taasisi za Elimu, Ndugu Geofrey Kiliba akizungumza na waandishi wa habari leo Desemba 14, 2025 akielezea shughuli za kiharakati zinazoendelea mitandaoni amesema shughuli za uharakati lazima isimamie misingi ya kudumisha amani, upendo na kuunganisha taifa na siyo...
  9. Allen Kilewella

    CCM imeparaganyika, hofu imetanda ndani yao

    Viongozi wa Ngazi za juu wa chama hicho ni kama wameshikwa na butwaa hawajui wafanye nini kukinusuru chama chao kusambaratika baada ya safu za uongozi ndani ya chama hicho kuparaganyika. Sasa hivi mambo ndani ya CCM hayafanywi tena kwa kuratibishwa kiuongozi, badala yake kila mtu anafanya...
  10. T

    Tanesco kuanza kuzima umeme ni hofu ya D9.?

    Haki na amani iwe kwenu. Je, huu mgao wa umeme wa Tanesco ulioanza leo ni moja ya hatua ya kimedani kuelekea hofu ya maandamo D9? Unarekebishaje miundombinu usiku? Unakoseje nishati hii 12hrs. TANESCO acheni uhuni, wengine umeme unamaana kubwa sana kuliko ujinga wenu wa kudhani mnahahujumu...
  11. Nyani Ngabu

    Ulishinda uchaguzi kwa kishindo cha Tsunami, hofu ya nini sasa?

    Katika historia ya Tanzania hakuna mtu ambaye amewahi kushinda urais kwa asilimia 97.6 za kura zote zilizopigwa. Na katika hiyo hiyo historia yetu, hakuna mtu ambaye amewahi kuchaguliwa kwa kura nyingi sana zaidi yako wewe. Umechaguliwa kwa kura zaidi ya milioni 31. Idadi hiyo ni takriban...
  12. The Burning Spear

    Kuelekea D9 hofu yazidi kuongezeka watu wanatest mitambo

    Maandamano ya amani yanawezekana. Mbezi sijui yaliyoanza na.kuisha
  13. The Burning Spear

    Ukweli ni kwamba Serikali ina hofu na D9 Kuliko raia

    GT Sikilizeni watawala huko waliko wana bet hawajui kesho itakuwaje. Siri kubwa ni kwamba you can't defeat the mass. Nguvu ya umma ni hatari sana. Ikumbukwe M029 waliua na kuuwawa sana. Swali ni je wataua tena? Jibu ni Hapana wamechanyikiwa mkandamizo ni mkubwa sana. . Kwa sasa wamebaki...
  14. October 2pm

    Redcross wafurahishwa na hutuba ya Samia. Hofu yake hakuificha

    Hehehee! Kile kionjo kidogo tuu mtu anahaha. Mwamuona? Mayii! Redcross Leo wamefurahi kumwona Jezebel akiwa anatweta heheee! Taifa zima limeshuhudia damu za watu usoni mwake Nye Nye Nye hiyo ni rasharasha mbona. Waongea wajikaza mishipa hehee. Kifua chakubana kama waumwa pumu. Na bado. Kaza...
  15. BICHWA KOMWE -

    Saikolojia ya Rais Samia inaonesha hofu badala ya ujasiri au matambo

    Sifahamu kama aliyoyasema leo kwenye mkutano wa wazee wa dar ameandikiwa ama ameyatoa kichwani mwake? Kwa vyovyote vile inaonekana aliyafanyia mazoezi ya siku kadhaa kabla ya kuzungumza. Kwa sisi wenye "jicho la tatu" ni rahisi sana kubaini hofu iliyopo katika matamshi yake. Kwa juu...
  16. covid 19

    PostGE2025 Maamuzi ya kuisimamisha nchi kwa hofu ya maandamano ni ishara ya udhaifu, si uongozi

    Kwa siku kadhaa kumekuwa na gumzo kuhusu maandamano ya Dec 9. Watanzania wengi tulitarajia baada ya kilichotokea Oct 29, serikali ingekuja na mikakati mipya, yenye hekima na inayostahili nchi yenye utulivu kama Tanzania. Lakini cha kushangaza mbinu zilezile zilizotumika mwishoni mwa Oktoba...
  17. M

    Muungano umeshapitwa na wakati; Ulishinikizwa na Wamarekani na mabepari wakiogopa kuenea kwa ushawishi wa Urusi kuigeuza Zanzibar iwe kama Cuba

    Muungano uliingiwa kwa hofu, baada ya vita vya pili vya dunia kulikuwa kunanukia vita ya tatu Maandalizi ya kimya kimya ya vita ya tatu ilikuwa na pande mbili Mabepari - nchi kama Marekani, Uingereza, Ufaransa, n.k. wasoshalisti - mataifa makubwa kama Urusi na China waliokuwa wakieneza mfumo...
  18. M

    Sijawai kumkubali Mange ila sioni anaemfikia hata robo kuconnect dots, kutumia mitandao kuingiza hofu au matumaini, kucontroll wafuasi, n.k

    Sijawahi kuwa fan wa huyu dada lakini siwezi kupuuza uwezo wake wa jinsi anavyoweza kufanya vingi kwa mpigo kwa kutumia mtandao tu lakini ninachojua kuna muda huwa anaongeza chumvi. kuconnect dots na ku analyze taarifa, kupewa taarifa ni kitu kimoja ila kukipangilia kiwe data inayoleta maana ni...
  19. M

    Wazazi wengi hawajawaruhusu watoto wao kwenda shuleni. Bado wana hofu ya vurugu

    Nimegundua kuwa Wazazi wamewazuia watoto wao kwenda shuleni. Hofu bado ni kubwa sana. Wanasikilizia kama kweli hali ya utulivu na amani imerudi
  20. DuaZaMama

    PostGE2025 RC Anthony Mtaka awatoa hofu wananchi wa mkoa wa Njombe

    Mkuu wa Mkoa wa Njombe Anthony Mtaka amewataka wananchi wa Mkoa wa Njombe kuendelea na shughuli zao bila hofu yoyote Ameyasema hayo Novemba 6,2025 wakati akizungumza na Wafanyabiashara wa Makambako Mkoa wa Njombe na kuwataka kuendelea na shughuli zao za kiuchumi bila hofu yoyote kwani vyombo...
Back
Top Bottom