hizi

Hizi Koyke (1902 – September 1991), born Koike Hisako, was a Japanese singer based in the United States.

View More On Wikipedia.org
  1. F

    Hizi teua-tangua za awamu ya sita zinaonesha ukosefu wa umakini katika maamuzi ya kitaifa

    Ni udhaifu mkubwa sana kuteua viongozi wa kitaifa halafu kuwatengua muda mfupi baadaye na kuwateua tena. Haya yote yanadhihirisha ukosefu wa umakini katika kufanya maamuzi mazito kwa maslahi ya Taifa. Nafikiri teuzi na tangua nyingi hufanywa kwa mihemko. Ninapendekeza teuzi na tanguzi za...
  2. Hizi message za Kizimkazi vipi tena, mbona kama kero sasa?

    Wiki hii zinaingia tu kila siku Angalie wenyewe
  3. Hizi JBL underseat subwoofer ni og ama copy, hata kama ni copy je zinagonga mziki vizuri?

    wakuu kuna hizi subwoofer za jbl underseat za kwenye gari ambazo hapa mjini dar es salaam zinauzwa laki mbili, hivi kweli hizi ni jbl Original ama fake? bas hata kama sio original je zinagonga mziki vizuri, bass nzito? wajuzi wa mambo tafadhali
  4. M

    Utapeli kwenye dini ni sawa na utapeli kwenye shule hizi za english medium, wazazi stukeni dunia imebadilika,

    Jinsi watu wanavopigwa kwenye hayo makanisa, ndio hizo shule nazo wanavotupiga pesa ndefu, Shule hizo nyingi tofauti na majengo na kumiliki magari ya njano hawana ule ubora ambao dunia ya sasa inahitaji, Dunia iko kasi inahitaji sio kiingereza tu, inataka fani, ubunifu na vipaji ili maisha...
  5. Kama ni kweli haya yameandikwa kwenye Quran basi ifike point wanadamu tujinasue katika itikadi hizi. Sio mkristo, sio muislam tuamke.

    Amkeni wanangu, tunachofanya ni kufaidisha kwa kuenzi misingi ya watu waliokuwa nayo kutokana na imani na mtazamo waliokuwa nao. Uko wapi mtazamo wako, ni kipi unachoamini? Yani chuki za mtu binafsi ndio uzienzi na wewe hadi hii leo karne ya 21. Mfia dini au mfia duni.
  6. Mpaka muda huu hizi ndizo nchi za Afrika Mashariki zilizochukua medal ya Gold kwenye Olympic 2024

    Olympics Gold Medal tally Tanzania: 0 Kenya: 4 Ethiopia: 1 Uganda: 1 Burundi: 0 Rwanda:0 DRC: 0 S. Sudan: 0
  7. Na hizi ndio sadaka zetu za siku ya leo..!!!

    INTRODUCTION: Ndugu moderators naomba uzi huu usipelekwe kwenye Forum ya Dini. Natumaini nimeeleweka. SCENARIO: Mistari ya Machungaji/Padre kwenye ibada/misa moja ... 1. Tutaanza na sadaka ya ujenzi wa kanisa ..... 2. Jamani kanisa linampango wa kutembelea wajane na mayatima, tafadhali tutoa...
  8. R

    Hizi pingamizi kwa wachezaji wa Simba maana yake ni nini?

    Kwa mujibu wa taarifa ya Kamati ya Hadhi ya Wachezaji, wachezaji watatu wa Simba wamewekewa Pingamizi na vilabu tofauti. Yusuph Kagoma, Awesu Awesu na Valentino. Pingamizi la Kagoma ni Yanga kudai Singida fountain gate hawajarudisha pesa zao baada ya kuwalipa lakini mchezaji walishindwana naye...
  9. Hizi ndoa zitakuja kuua watu… dah!

    Niko hapa kituo flan cha daladala Basi pembeni yangu Amekaa mkaka nadhifu sanaaa anaonekana mwenye sura ya HeLa na hata hapo kituoni sijui hata anafanya nini.... Ila anaonekana mwenye stress Sana hadi anaongea kama mtu anayekaribia kutoa machozi. Kaka huyu mrefu maji ya kunde nzuri, mwenye...
  10. Nitumie njia Gani kati ya hizi

    Kuna ishu nataka nifix mtandaoni Sasa nimekuta Wana hii type of payment naomba mnielekeze nitumie hipi ambayo inasupport apa bongo
  11. Sehemu za kwenda kutafuta maisha kwa vijana ni hizi hapa Tanzania

    Habari ya 8 8 viongozi, Njooni tupeane connection ya sehemu ambazo zina potential kwa sisi vijana kwenda kujipambania. Nitaanza kama ifuatavyo. 1. Dar es Salaam na viunga vyake Ebhana hii sehemu ukiwa na nidhamu ya pesa ukaweza kucontrol matumizi vizuri Basi Mwenyezimungu anaweza kukunyooshea...
  12. M

    Hizi online companies za kukopesha pesa!

    Habari! Hapa tunazungumzia PesaX, FiniLoan na kadhalika. Hizi ni online platforms ambazo zinajinadi kuwa zinakopesha pesa. Vigezo vyake huwa ni namba au kitambulisho cha NIDA, leseni ya udereva, kitambulisho cha mpiga kura, au cha utaifa. Nina maswali mengi sana. Hizi platforms zinapata faida...
  13. Juhudi zote hizi zipotee,hata Mimi nitakata rufaa

    Huyu Sweetbert Nkuba ana haki ya kukata rufaa sio kwa Mbwembwe kqma hizi
  14. A

    KERO Wakazi wa Mbezi Msakuzi tumeikosea nini Serikali mpaka haileti huduma ya maji na miundombinu ya barabara?

    Sisi wakazi wa Mbezi Msakuzi tumeikosea nini Serikali? Maji shida, barabara shida ni kama kuna juhudi za makusudi kabisa tukose huduma hizi. Pia, soma: √ - Dar: DAWASA yakutana na wananchi wa Msakuzi, ili kupata hatma ya huduma ya maji
  15. G

    Unawaza mnunue kiwanja mjenge mwenzako anawaza anunue kabati amtuze shoga yake kwenye shughuli, Epuka hizi type kama unajitafuta, utazeekea magetoni.

    Unamkuta binti mrembo ana shape, sura, n.k. lakini afya ya akili za kimaendeleo ni F yenye resit, epukana nao kama unajitafuta. Unamweka ndani mpo kwenye maisha ya chumba na sebule unawaza hela uliyopata kwenye mishe utafute kiwanja mjenge yeye anawaza na anaweza hata kuiba hizo pesa aende...
  16. Tujikumbushe Kauli hii ya Rais Samia Atafanya Kazi na TLS ya Aina Gani? Hizi ni Salaam kwa Mwabu,. Swali ni is He A Bow Down Type or a Stand Firm?.

    Wanabodi, Wakati tukisubiri salaam za pongezi za mihimili kwa rais mpya wa TLS, sio vibaya tujikumbushe kauli hii ya Rais Samia atafanya kazi na TLS ya aina agani! https://youtu.be/fZ7MWhPeyko?si=LtHTK8wfeAXMAtun Hizi ni kama salaam kwa rais mpya wa TLS, Wakili Boniphase Mwabukusi . Swali nI is...
  17. M

    Ibada za wakiristo mbona siku hizi zipo hivi?

    1. Utakuta baadhi ya makanisa saa 11 alfajiri yanaanza ibada kwa kutumia maspika makubwa yanayotoa sauti kubwa . kama unaishi Mitaa ya Mbabaga basi hadi Kongowe utasikia. na sio kama sauti ya mchungaji bali ni nyimbo na mziki wenye kurindima na kutikisha nyumba 2. Ukiwa kanisa lipo karibu na...
  18. Rais Injinia Hersi hizi za chini chini Mimi niliye mbali Kijiografia nilizonazo na Wewe pia unazo au?

    Kuwa kuna Mtu Kesho Citizens Day anaweza akayakoga Matusi makubwa, kutakiwa aondoke na hata Kupopolewa pia.
  19. Hizi tuzo zinaenda fasta kama vyeti vya form kwenye mahafali

    Tff waliangalie utoaji gani huu wa tuzo mbiombio kama mwenge
  20. Kwa nini Mikataba ya Wachezaji ina asili ya kikoloni nyakati hizi za uhuru wa Mwanadamu?

    Nijuavyo mie, kazi ya Mchezaji Mpira (Professional player) ni kazi ya ajira kama ilivyo kazi nyingine. Sasa, kwa ushamba wangu na kutokujua kwangu huwa nashangaa mambo haya: - Mikataba haiwapi wachezaji uhuru wa kuvunja mikataba yao wakati wowote kama ilivyo kwa waajiriwa wengine. Mikataba...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…