hizi

Hizi Koyke (1902 – September 1991), born Koike Hisako, was a Japanese singer based in the United States.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Emil Mpanzu kwa Upuuzi ulioko Simba SC nakushauri kwa hizi Timu tatu kubwa ambazo zimeleta Ofa Kwako nenda na usibaki Simba SC kwani unapoteza muda tu

    Hizi ndizo Timu tatu ambazo tayari zimeshaonyesha Nia ya Kumsajili Mchezaji Emil Mpanzu tena kwa Fedha nono sana.... 1. KRC Genk 2. Brest FC 3. RS Berkane Ila Mimi kama GENTAMYCINE mwenye Jicho la USHAURI na kuona mbali kama Ndege Tai nakushauri uende KRC Genk ok?
  2. JamiiForums Tanzania SUV kali za kichina hizi hapa

    Hii hapa orodha ya SUV 3 za kifahari kutoka China,nmechagua chache zilizonivutia zaidi mchina anakuja vizuri sana kwenye tech gari zipo kisasa sn aisee pia zinavutia sana ndani na zinafeatures nyingi, kuna Aito M9, Li Auto L9, na Denza N9 zikiwa na bei kwa TZS. 🚙 1. Aito M9 🇨🇳 Brand: AITO...
  3. JamiiForums Tanzania Hizi ndo silaha nne za CCM za kuitawala Tanzania

    Simba na Yanga - hii inatumika kupumbaza Watanzania Taasisi za dini Kama Mwamposa , Shekh kishiki , n.k Bodaboda - hii inajulikana kazi yake ni kuua Viloba na Sungura - hii inajulikana Kazi yake ni kuua uwezo wa Vijana kufikiri vizuri.
  4. JamiiForums Tanzania Hizi tuhuma ni nzito sana, au ndo funika kombe mwanaharamu apite?

    Wasalaam. Kwa mujibu wa kumbukumbu kutoka maktaba inasemekana mzee kikwete alihusika kuuza migodi yote ya madini kwa mikataba mibovu ambayo inalitafuna taifa mpaka leo. Sikiliza mwenyewe kutoka bungeni kisha angalia leo hii mh alivyokaribu na madam, je tutapona? au ndo tunaenda kupigwa bei sisi...
  5. JamiiForums Tanzania Ukiona dalili hizi, ujue tayari kuna mtu ameishamuiba mke wako!

    01. Angalia mabadiliko ya haraka kwa mkeo: Kila wikiendi jioni, anavaa vizuri na kuondoka nyumbani. Ukimuuliza anasema: "Kinamama tuna maombi ya kufunga na kuomba mwezi mzima kanisani, ntarudi baada ya masaa mawili." Tambua anaenda kufunga ndoa nyingine! 02. Chunguza matumizi ya perfume: Mke...
  6. W

    JamiiForums Tanzania Alionywa akakaidi: Hizi hapa post zilizomuingiza SirJeff kwenye 18 za System, kesi ya uhaini au uhujumu inanukia, Cruiser Nyeupe ilikuwa inamfuata

    POST YAKE YA MWISHO NI JUZI, KUNA TETESI AMEKAMATWA ANAKOISHI NA KUFANYA SHUGHUI ZAKE MAFINGA MKOANI IRINGA, AMESAFIRISHWA KWA SASA YUPO DSM
  7. JamiiForums Tanzania Hizi tabia hazivumiliki

    Mke akiamka hakuna zaidi ya kukaa koridorni wakipiga stori habari za familia yao, na umbea wa kutosha. Kuna Huyu kijana ana 35+ hana kazi, hataki kazi. Mama yao ni mkulima kijijini, akiteseka kwa ajili ya watoto watu wazima kama huyu, wavivu. Chai inakuwa shida kuipata kwa wakati, kuna muda...
  8. L

    JamiiForums Tanzania Picha kuna post kama hizi zenye kuchochea ukabila

    Aliyetoa uzi anasema ni kutoka kagera kanda ya ziwa anahoji inawezekana vipi mtu baye sio mchaga akapata uongozi uchagani . Ameenda mbali anasema kaskazini inapwaya akatolea mfano arusha sakata la gambo na makonda kwamba zio wazawa lakini wanagombea kisa tu wameoa maeneo hayo . Nyerere...
  9. JamiiForums Tanzania Kwa Nini Wallace Karia Hastahili Kuwa Rais wa TFF?!, hizi hapa Sababu kuu

    Wallace Karia, ambaye amehudumu kama Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) kwa vipindi kadhaa, amekuwa akitajwa mara kwa mara kama kiongozi aliyeshindwa kuleta mabadiliko makubwa katika soka la Tanzania. Kuna sababu kadhaa ambazo zinamfanya kuonekana hastahili kuendelea kushikilia...
  10. Q

    JamiiForums Tanzania Ina maana hizi barua zote Samia na Serikali yake hawazioni au wanazipuuza

    Marekani imeonya. Nchi za Ulaya zinaonya. DUA-Africa inaonya. IDU-The International Democracy Union ilionya. Kwamba sisi ni special sana duniani au ni kibri na jeuri tu tuone watafanya nini. Yetu macho, Ila aonywaye mara nyingi huvunjika shingo.
  11. JamiiForums Tanzania Hivi siku hizi wako wapi wale waliosema Iran haiwezi kurusha hata jiwe ndani ya ardhi ya Israel?

    Ndugu kulikua na mtifuano humu jf baina ya waisrael wa buza na wa Iran wa yombo ila sioni fact za kutetea Israel kwa vita ya rising lion ya siku 12 nimemaliza uzi kwa kuuliza wako wapi waliosema Iran haiwezi rusha hata jiwe ?
  12. G

    JamiiForums Tanzania Hizi ni Aina nne za ugali ninazokula maisha yangu yote , na mboga zake nakuwekea

    Ugali ni Tanzania Sima ni Zambia Shima ni Zimbabwe Fufu ni nchi za afrika magharibi Bugali ni kwa wakongoman Twende moja kwa moja ugali ni chakula Changu pendwa kama ifuatavo Dona ambayo mahindi yameoshwa vyema , yakaenda kusagwa na muhogo uliokaushwa hapa naweza Kula na dagaa , nyanya...
  13. JamiiForums Tanzania Hizi teuzi za Rais Samia zinabagua na zina kasoro kubwa

    https://youtu.be/Bp5NaZ4sYY8?si=SO4lrmpVo9Qm7bQK Nimeshangazwa sana kwenye teuzi za Rais Samia uliotokea juzi. Rais anatumia vigezo gani kuteua mtu aliyestahafu tena ambaye amepitia nyadhifa kubwa kubwa na zenye heshima? Hii nchi ina raia milioni 60+ na kati ya hawa zaidi ya 40% ni VIJANA...
  14. JamiiForums Tanzania Sasa msipojenga hizi ramani nitamuuzia nani? (Bei mtelezo, Room 2 hadi 7)

    Kama unahitaji ramani ya ujenzi na hesabu za makadirio ya ujenzi usisite kunipigia simu KAMA UNAHITAJI. Ramani Hesabu ya ujenzi (BOQ) Garden design Fence na aina zake zote ninatengeneza. Namba : 0621 622 070/0744 767 175 Njoo DM tuongee kisha nifanye kazi yako. Ninatengeneza kila aina ya...
  15. JamiiForums Tanzania Kama Serikali haitachutama kukaa kimya kuhusu Utekaji kwa moyo wa dhati hizi ajali ni Gharika ya Mungu kwa Taifa za wanasiasa zinafuata

    Sina mengi ya kusema Mungu ni Mkuu kuliko vyote, nawaombea marehemu wote Mungu wa mbinguni awape pumziko la milele, inauma sana sana nasikitika sana Taifa kupitia hali hii ya ajali mbaya zenye kuumiza mioyo yetu
  16. JamiiForums Tanzania Kuipenya Law School of Tanzania (LST) – Hizi Ndizo “Code” Zilizoniokoa, Huenda Zikakuokoa Pia

    Ndugu zangu wanaojiandaa kuingia Law School of Tanzania (LST), baada ya kuona post ya mdau Koskey akiomba msaada kuhusu jinsi ya “kutoboa” Law School of Tanzania, nimeona ni vyema kuchangia kutoka kwenye uzoefu wangu binafsi nikiwa kama moja ya wanafunzi waliofanikiwa kufaulu moja kwa moja...
  17. JamiiForums Tanzania Sifa hizi zikufanye ukajitegemee

    Inatia aibu na fedheha kijana umeshamaliza shule kwa ngazi yoyote na bado unakaza chogo na komwe nyumbani kwa wazazi wako. Kwa sifa hizi beba begi au mfumo wa Jero ukapambane mbele kwa mbele; 1. Umefika umri wa miaka 25 na haupo shuleni kwa ngazi yoyote. 2. Unaona hali ya familia haiwezi...
  18. JamiiForums Tanzania Kuna Taarifa zinasema Chaz Lee amekamatwa naomba uongozi wafatilie hizi taarifa kama ni sahihi.

    Chaz Lee inasemekana amekamatwa . Naomba uongozi wa JF ufatilie hili swala. Sehemu za kufatilia ni kwa Malisa GJ n.k
  19. JamiiForums Tanzania Kwanini Wakristo wanaishabikia sana Israeli? Sababu hizi hapa

    Kwa nini Wakristo wanawasifia Waisraeli? Kwa nini wanawatetea, wanawaombea na hata kuwatakia baraka? Je, si hao hao waliomkataa Yesu na kumsulibisha? Ukweli wa kibiblia ni huu: Waisraeli ni Wakristo watarajiwa. Ingawa kwa sasa hawamkiri Yesu kuwa ni Masihi, Biblia inaonyesha kuwa watamkiri...
  20. JamiiForums Tanzania Nikiwa Rais hizi ni gharama za nyumba ambazo watauziwa wananchi hii ni proposal tu

    Nikiwa Rais moja ya mambo ntakayoyafanya ni kuhakikisha makazi ya watanzania yanakuwa mazuri na katika ubora unaotakiwa Barabara zote zitakuwa kubwa na zitapigwa lami Kukiwa na mipango miji kutakuwa ni rahisi kupigwa paving Kutakuwa na mfumo wa Sewage watu hawatachimba tena mashimo Nyumba zote...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…