hizi

Hizi Koyke (1902 – September 1991), born Koike Hisako, was a Japanese singer based in the United States.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Kama huamini kwamba Yesu alikufa Msalabani, unapitwa na baraka hizi

    Wasioamini kwamba Yesu alikufa msalabani kwa ajili yetu, wanakosa baraka nyingi ambazo Mungu ametupatia kupitia mateso, kifo na kufufuka kwa Yesu Kristo. Zifuatazo ni baadhi ya baraka hizo kuu: 1. WOKOVU WA ROHO ZETU Biblia inasema wazi: "Kwa maana Mungu aliupenda ulimwengu hata akamtoa Mwanawe...
  2. JamiiForums Tanzania Mapenzi ya siku hizi ni ya ajabu sana, mtu unamuacha baada asononeke ndiyo kwanza anaenjoy tu

    Sasa sijui ni dharau au nini yaani mtu unamwambia muachane anakwambia sawa, anakukaushia na hata hasononeki wala kukuomba msiachane. Ndiyo kwanza yuko bize anapost tu mastutus kila siku, ina maana watu wamekuwa sugu hawaumizwi tena na mapenzi? au wanakuwa kwenye mahusiano na wapenzi wengi...
  3. JamiiForums Tanzania Kwanini dhambi hizi zimepewa majina mazuri?

    Siku hizi kuna dhambi nyingi zilizopachikwa majina mazuri au ya kisasa. Kwanini? Hii ni hila ya shetani ya kuzipunguzia uzito au kuzipa uhalali katika jamii. Kwa njia hiyo shetani anawafanya watu waone kuwa dhambi ni kitu cha kawaida, cha kuvutia, au cha kupendeza na hivyo wanavutwa kutenda...
  4. JamiiForums Tanzania Hizi Nukuu zina lengo gani kwa Serikali yetu?

    NUKUU ZA LEO A). "Chama kinachohitaji polisi na magereza ili kushinda uchaguzi tayari kimeshashindwa kabla ya uchaguzi" Nelson Mandela. 😎. "Uhalali wa kiongozi haupimwi kwa nguvu ya silaha bali kwa nguvu ya hoja na uwezo wa kuwaunganisha anaowaongoza" Mahatma Ghandhi. C). "Uhaini si kuzuia...
  5. JamiiForums Tanzania Hizi hapa ndizo jezi mpya za simba msimu huu unaoanza 2025

    Kazi kwenu wachawi toka utoporo
  6. JamiiForums Tanzania Wale tunao struggle kila mmoja amuulize "dingi" yake kua alikua wapi hizi royal families za nchi zikiwa zinaandaa mazingira ya kula keki ya taifa

    Niko hapa naangalia hii mikeka ya chama Cha tawala forever, halafu wakati naangalia hapa huku nikiwa nacheka kwa uchungu naskia nyimbo ya mwamba Profesa Jay na Stamina Embu kila mtu anae struggle amuulize mzee wake leo na kila mtu aweke jibu hapa, kwamba wakati ule Hawa wanawekwa mazingira ya...
  7. JamiiForums Tanzania Biashara hizi zimezuiwa kufanywa na wafanyabiashara wa kigeni

    Jana Waziri wa Viwanda na Biashara ametunga amri inayozuia wageni kutoka mataifa ya kigeni kufanya baadhi ya biashara kama zilivyoainishwa kwenye amri hiyo. Amri hiyo imetungwa kupitia kifungu Cha 14A(2) Cha Sheria ya Leseni za Biashara yaani Business Licencing (Prohibition of Business...
  8. JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa hizi Sura za watu wa video za AI ni Sura halisi?

    Kuna hizi video zina trend Sana mitandaoni zimetengenzwa kwa AI me sio mtalaam Sana wa mambo ya computer ila Niko interested kujua hizi Sura za watu ni kwamba kweli ni Sura za watu zipo kiuhalisia au wame generate automatically kabisa na kwamba katika ulimwengu huu hazipo
  9. JamiiForums Tanzania Hizi habari kuhusu Makonda ni za kweli??

    Nasikia raisi wa wadudu kafyekwa ( kachinjiwa mbali ) je ni kweli?
  10. JamiiForums Tanzania Hiki ndicho msingi wa mabishano kati ya Godbless Lema na Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe kuhusu bei ya hizi ndege

    Nimeshindwa kuweka link ya bei za ndege hizi kutoka kiwandani. Bei ya kiwandani huko USA zinakotengenezwa ni USD 1.7 million. Tatizo letu ni kununua kwa middle men kwa njia ya kushindanisha middle men kwenye tender badala ya kununua direct kutoka kiwandani. Hivyo middle man anainunua kwa US...
  11. JamiiForums Tanzania Watu wa kimara mjitahidi kutunza mwendo kasi hizi zikifika nchini

    https://youtu.be/_9wsgnE2KJg
  12. JamiiForums Tanzania Kwa hizi meseji wazazi wa sasa kazi mnayo tena kubwa sana!

    Leo katika pita pita zangu , nilienda msalimia Dada mmoja age 38 ana mtoto wake wa kike umri 14 yupo secondary. Huyu Dada ana shida ya macho kwahiyo maandishi ya kwenye simu hawezi kuyasoma hivyo huwa anamtumia mtoto wake kumuangalizia mambo mawili matatu. Sasa iliingia Meseji akanipa nimsomee...
  13. K

    JamiiForums Tanzania GE2025 CCM isimpe Mgombea huyu Jimbo la Sikonge, sababu ni hizi

    Wakati vuguvugu la mchujo wa wagombea ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) likizidi kupamba moto, mgombea ubunge wa Jimbo la Sikonge, amejikuta katika hali ngumu baada ya kufichuliwa kwa tuhuma nzito kuhusu mienendo yake, zilizotolewa na watu wa karibu. Akizungumza na mwandishi wetu, mmoja wa...
  14. JamiiForums Tanzania Hamas wakionesha Utaalamu wa hali ya juu katika nyanja hizi. Gaza wanateswa na wao wenyewe.

    Hamas wanaiba chakula na kwenda uza na kingine kutumia kwa majidai makubwa kabisa bila kujali wenzao.
  15. M

    JamiiForums Tanzania Hizi ni nyakati za mwisho. Manabii wa uongo wanahubiri kuwa ikiwezekana Wakristo wasilimu ili mradi wapate mahala pa kusali.

    Waislamu huwaita Wakristo makafiri na kuwa Mungu wao sio wa ukweli hii ni kwa mujibu wa imani yao. Wakristo nao kwa mujibu wa imani yao wanaamini kuwa kuna Mungu mmoja tu. Nae ni Mungu wa Yakobo. Sasa ina kuwaje manabii hawa kushauri watu kwenda kusali misikitini kisa tu wapate mahala pa...
  16. JamiiForums Tanzania Kwa zama hizi kupata msichana bikra ni kubahatisha

    Sababu ni hizi ☆ Tamthilia za kimapenzi zinachoche watoto wa kike kuanza kujiingiza kwenye mapenzi wakiwa kwenye umwili mdogo. ☆ Miziki ya kizazi kipya hii ya kinazuchu😁 na nyingine kibao unakuta mziki unascene za chumbani chumbani unafiki mtoto wa kike akiona atashindwa kutamani? ☆ Social...
  17. JamiiForums Tanzania Nichukue simu ipi kati ya hizi

    Redmi 13C. Redmi 14C Aquos sense 7 plus (used) Natanguliza shukrani🙏🙏🙏
  18. JamiiForums Tanzania Air bnb,ni nini?,nawezaje kuanzisha biashara hii,inayoshika kasi kwa nyakati hizi.

    Wenye uelewa watujuze hii kitu,inafanywaje?,mazingira gani mazuri kwa biashara hii?, vyumba vya aina hufaa kwa biashara hii?je banda zuri la manyasi linafaa kwa biashara hii?vibali vyake vinapatikanaje?,jinsi gani utafawafanyia wateja bookings kutoka nje ya nchi,na mengineyo, Kwani,MH.Rais wetu...
  19. JamiiForums Tanzania Kwa hizi ngumi zinavyotupwa, Nkane na Kibwana watakuwa na Bifu la kweli

    Nimecheki mkono hapa nilidhani masihara Kumbe jamaa wapo serious kweli
  20. M

    JamiiForums Tanzania GE2025 Samia kataa hizi aibu, Ripoti ya Uchunguzi: Hitilafu na Utofauti Kati ya Matokeo ya Wilaya/Mikoa na Tangazo la Kitaifa la CCM, Mkutano wa Mtandaoni

    “Ogopa Mungu na teknolojia,” na tena: “Siku ya kufa nyani, miti yote huteleza.” Katika mazingira ambayo upatikanaji wa intaneti si wa uhakika—hata simu za kawaida hupata shida ya mtandao.lengo liliikiwa kunyima haki ya mawazo mbadala na kuendeleza hofu ya watawala. Matokeo yake yamekuwa aibu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…