Habari mjasiriamali,
Kama wewe ni mmiliki wa Kampuni nikukumbushe kua kila mwaka unatakiwa ku file annual returns.
Sasa hizi ni Documents Tatu unazohitaji kuwa nazo wakati wa ku file annual returns;
1. Form no. 128
Hii fomu inabeba taarifa zifuatazo
Wamiliki wa Kampuni ambao ni shareholders...
Hizi ni ajali ambazo hadi leo zimeniachia simanzi na kumbukumbu mbaya kichwani mwangu. Sikupoteza ndugu wala mtu yeyote wa karibu ila ziliniumiza mno.
1. Ajali ya moto kwenye bweni la wasichana Shauritanga sec, Rombo
Hii ajali ilitokea usiku wa tarehe 18 June 1994. Bweni lilishika moto na...
Mamlaka nchini Kenya na Ghana zinaendelea na uchunguzi kufuatia ripoti nzito kuwa mwanaume mmoja, raia wa Urusi, aliwarekodi kwa siri wanawake wa mataifa hayo mawili wakati wakiwa faragha, na kisha kusambaza video hizo mtandaoni bila ridhaa yao.
Vyombo vya habari barani Afrika na nchini Urusi...
1. Usile wanga
2. Usioe single mother
3. Unaweza anza biashara bila hata mtaji
4. Usioe asiye bikra
5. Usioe mwanamke mwenye miaka 30+
6. Usipeleke mtoto A - level.. mpeleke chuo.
ONGEZEA ZINGINE
Habari mjasiriamali,
Kama wewe ni mmiliki wa Kampuni au unategemea kuanzisha Kampuni siku za usoni hapa nimekuandalia list ya taarifa 9 Unazoweza kuzibadilisha baada ya Kusajili Kampuni yako.
1. Mtaji wa Kampuni
Mfano ulisajili Kampuni ukaweka share capital 10M badae mtaji ukakua unaweza ku...
1: Uturuki 🇹🇷
2: China 🇨🇳
3: Russia 🇷🇺
4: Iran 🇮🇷
5: Qatar 🇶🇦
6: Pakistan 🇵🇰
Hawa ndio baba wa syndicates za ugaidi, kupandikiza madikteta katika nchi masikini, uundaji wa vikundi vya kuharibu amani katika nchi, kuchonganisha jamii ili wajichukulie rasilimali na mambo mengine mengi ambayo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.