historia

Canal História, currently branded as História, is a Portuguese basic cable and satellite television channel that features history documentaries most of which are produced by History USA and Portuguese and Spanish historic productions, owned by the joint venture known as The History Channel Iberia, between A&E Networks and AMC Networks International Iberia. More recently, it started broadcast some reality television series. Initially it was a single Iberian channel founded by Multicanal (currently AMC Networks International Iberia) with feeds in Portuguese and Spanish. It was created in March 1999 and it split into different channels on 21 March 2012.Some Portuguese historic productions airing in Canal História include Foz Côa about Coa Valley Prehistoric Rock Art, O Tratado de Tordesilhas about the Treaty of Tordesillas, Marquês de Pombal concerning Marquis of Pombal, Portugal e a NATO (Portugal and NATO) and A História Do Azulejo (History of Azulejo).

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Tufahamu mziki wa JAZZ ni historia yake.

    Mziki wa JAZZ mimi kwangu nilianza kuupenda kipindi cha miaka ya 90 katika king’amuzi cha DSTV kulikuwa na upande redio zilizokuwa zikiwa na mtiliiko wa JAZZ. Mziki wa jazz ni aina ya muziki ulioanzia Marekani mwanzoni mwa karne ya 20, hasa miongoni mwa jamii ya Wamarekani Weusi huko New...
  2. JamiiForums Tanzania Uvivu Wa kutafuta maudhui kwa media zetu za mtandaoni utapoteza historia yetu Tanzania

    Picha: Pinterest Mtanzania lazima ufahamu kuwa Kila kitu unachokiona au kusikia kupitia media huathiri ubongo wako, na kwa hivyo utu wako. Kwani taarifa tunazopokea kupitia media zina athari kubwa kwenye fikra zetu, na hisia. Hivi karibu nimeona media zikipa kipaumbele habari za local...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Natamani dunia ipasuke na watu wote wabaki kuwa historia

    Ninaelewa unachotaka kufanya — kuwasilisha hoja yenye mtazamo mkali kuhusu kuangamia kwa wanadamu duniani. Kutamani kufutika kwa wanadamu au kuangamia kwa dunia kunaweza kuashiria maumivu ya ndani au kukata tamaa. Kama unaandika haya kwa sababu ya hasira, huzuni au hisia za kukosa maana ya...
  4. JamiiForums Tanzania Historia ya kustaajabisha: Mwanaume aliyeoa mara 130 na kutoa talaka zaidi ya 80

    ALIAMINI VITU HALALI KUTAFUTA MUDA WOTE NI FEDHA NA WANAWAKE. Unamkumbuka gwiji wa Kenya marehemu Asentus Ogwella Akuku "Danger" ambaye inasemekana alioa mara 130, talaka 80 na kuzaa watotozaidi ya 200. Akuku "Danger" alioa mke wake wa kwanza mnamo 1939 na wa mwisho mnamo 1997 akiwa na miaka...
  5. JamiiForums Tanzania Ukiambiwa utengeneze first 11 ya muda wote katika historia ya La Liga kuanzia mwaka 2000 utaweka wachezaji gani?

    Mimi nitaenda na formation ya 4-4-2 DIAMOND 1. Casillas 2. Alves 3. Ramos 4. Pique 5. Marcelo .Alonso . Xavi . Modric . Iniesta . Messi . Ronaldo
  6. JamiiForums Tanzania CCM kufadhili kitabu cha mzee Songambele kuenzi historia ya nchi, chama na serikali

    CCM KUFADHILI KITABU CHA MZEE SONGAMBELE KUENZI HISTORIA YA NCHI, CHAMA NA SERIKALI - Balozi Nchimbi atoa neno, akimwakilisha Dkt. Samia msibani Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi amesema kitabu alichoandika Alhaj Mzee Mohamed Mustafa Songambele...
  7. JamiiForums Tanzania Ukiambiwa utengeneze first 11 ya muda wote katika historia ya EPL kuanzia mwaka 2000 utaweka wachezaji gani?

    Mimi nitaenda na formation: 4-3-1-2 1. Cech 2. Neville 3. Vidic 4. Terry 5. Cole 6. Scholes 7. Gerrard 8. Lampard 9.Rooney 10. Ronaldo 11. Henry
  8. JamiiForums Tanzania Visasi vitalipwa mrudi kwenye historia

    Katika karata zilizokosewa CCm 2015 walijua ushindani wa kuweka mtu fulani kama ilivyo wanavyo fanya kufurahisha Demokrasia wanayo jua wao. Ni kitu kumuweka mwenye uchungu na wajomba zake ambao waliishi kwa imla nchi hiyo sasa wanarudisha majibu. Nimekumbuka uganda kipindi cha amin ilifikia...
  9. JamiiForums Tanzania Lyatonga Mrema , Maalim Self, Lipumba, Mbowe , Mama Tanzania pamoja na Zitto je historia ya Tanzania itawakumbukaje hawa watu ?

    Lyatonga Mrema , Maalim Self, Lipumba, Mbowe , Mama Tanzania pamoja na Zitto je historia ya Tanzania itawakumbukaje hawa watu ?. .
  10. JamiiForums Tanzania Top 10 Hacking Attacks Zilizotikisa Dunia (Kwa Historia, Impact, na Ujanja)

    Top 10 Hacking Attacks Zilizotikisa Dunia (Kwa Historia, Impact, na Ujanja) --- 1. The Melissa Virus (1999) Iliundwa na David L. Smith Iliambukiza Microsoft Word docs kupitia email Ilienea kwa email zote kwenye contact yako — ndani ya dakika chache Ilivuruga systems za FBI, Microsoft na...
  11. I

    JamiiForums Tanzania Historia ya Mauaji Iliyofichwa kwa Lengo la Watu wachache

    Historia ya Mauaji Iliyofichwa kwa Lengo la Kutawala Afrika Upya Na Maleko Goodluck J Wakati dunia inapoikumbuka Rwanda kama alama ya mauaji ya kimbari, kuna upande wa hadithi ambao haujawahi kuruhusiwa kusikika wazi. Simulizi rasmi kwamba Wahutu walipanga na kutekeleza mauaji dhidi ya...
  12. JamiiForums Tanzania Historia ya mabadiliko ya katiba ya mwaka 1994

    JE WAJUA?. Pichani ni Aliyekuwa Makamwa Rais wa Serikali ya Awamu ya Tatu ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dr Omar Ali Juma (Wa kwanza Kulia) akiteta Jambo na Rais wa Zamani wa Afrika ya Kusini, Ndugu Nelson Rohlanla Mandela "Madiba" pamoja na Mkewe, Mama wINNIE mANDELA. Picha hii ilipigwa...
  13. JamiiForums Tanzania Je, Tanzania inarudia historia ya Yerusalemu?

    SABATO NJEMA .... "Ee Tanzania, Tanzania… Uwauaye Wakosoaji wako Kama Yerusalemu" Neno Kuu Mathayo 23:35 “Ili juu yenu ije damu yote ya haki iliyomwagika juu ya nchi, tangu damu ya Habili mwenye haki, hata damu ya Zakaria mwana wa Barakia, mliyemwua kati ya patakatifu na madhabahu.”...
  14. JamiiForums Tanzania Hapo Ndio Historia Inaanzia: Mwanzo wa Utawala wa Simba Katika Mtaa Mkali wa Serengeti

    Yani ukitaka kujua mwanzo wa historia ya kweli ya jungle, siyo ile ya kwenye vitabu vya shule wala documentary za wazungu zenye voice ya baridi, tunaanza hapa – kwenye ardhi ya moto, nyasi ndefu na upepo mkali unaopiga hifadhi ya Serengeti, Tanzania. Hii ni block ya nguvu, na kuna OG mmoja tu...
  15. R

    JamiiForums Tanzania Chadema contract very good Historian aandike historia ya Chadema na magumu ya siasa wanazozipitia toka ianzishwe mpaka sasa

    Hii ni muhimu kuweka kumbukumbu sawa kwenye maandishi yasiyofutika. Kuna mengi mliyopitia na CCM/serikali ambayo can be missed if history is not put in the right perspective. Andikeni historia, mtakuwa mnafanya Prelude ya earlier versions of the book
  16. JamiiForums Tanzania Naandika uzi huu wa historia yangu ya mahusiano ya kimapenzi na binti mmoja niliyempenda lakini wazazi wake wakaharibu na sasa wanajuta

    Naandika uzi huu wa historia yangu ya mahusiano ya kimapenzi na dada mmoja niliyempenda lakini wazazi wake wakaharibu na sasa wanajuta Hii ni historia ya kweli na sio fiction. Katika maisha yangu nilimpenda binti mmoja na tuliendana sana kiasi kwamba tulipendana kwa dhati Wachawi wa mahusiano...
  17. JamiiForums Tanzania Leo katika historia ya soka Tanganyika

    Kuna timu ilikula mkono bila majibu.. Ngumi ya kichogo
  18. JamiiForums Tanzania Katika Historia :Sakata la padre Tweve na uasi dhidi ya kanisa katoliki Tanzania

    Miaka kadhaa nyuma aliwahi kutokea padre muasi wa imani ya kanisa katoliki Tanzania. Padre huyu alikuwa na wafuasi wengi waliomkubali kwa mahubiri yake na hakika alileta changamoto na taharuki kubwa sio tu kwa waumini wa kanisa katoliki lakini pia kwa nchi nzima. sakata hili lilipelekea...
  19. JamiiForums Tanzania Kwa nini Historia ya Tanzania kabla ya uhuru ina masimulizi mengi tofauti kwa jambo moja?

    Tanzania mambo ya miaka 1800's na 1900's unaweza kupewa historia moja ina versions(masimulizi) mawili au matatu tofauti kabisa! Kwa nini imekuwa hivi ikiwa inasemekana watu wengi wa pwani tayari walikuwa wanajua kuandika na kusoma enzi hizi? Ukienda Marekani Chuo kikuu cha Havard...
  20. JamiiForums Tanzania Miaka 77 ya UHURU miaka 3,000 ya Umri historia imejirudia Israel

    Miaka 77. Bila shaka, Israel ilirudi katika nchi ya mababu zao na kujenga taifa ambalo linastawi katika eneo ambalo halijawahi kuwataka hapo . Wameshambuliwa, Wamesusiwa, wamesemewa uongo, Wamechukiwa-na bado wanakuwa na kustawi. Wanavumbua vitu ambavyo kwa mwanadamu wa kawaida anashangaa . Wana...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…