historia

Canal História, currently branded as História, is a Portuguese basic cable and satellite television channel that features history documentaries most of which are produced by History USA and Portuguese and Spanish historic productions, owned by the joint venture known as The History Channel Iberia, between A&E Networks and AMC Networks International Iberia. More recently, it started broadcast some reality television series. Initially it was a single Iberian channel founded by Multicanal (currently AMC Networks International Iberia) with feeds in Portuguese and Spanish. It was created in March 1999 and it split into different channels on 21 March 2012.Some Portuguese historic productions airing in Canal História include Foz Côa about Coa Valley Prehistoric Rock Art, O Tratado de Tordesilhas about the Treaty of Tordesillas, Marquês de Pombal concerning Marquis of Pombal, Portugal e a NATO (Portugal and NATO) and A História Do Azulejo (History of Azulejo).

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania Wanaoshangalia utajiri wa Elon Musk (Marekani). Hawajui historia

    Surah Al-Qasas (28:76-82):“Hakika Qarun alikuwa miongoni mwa watu wa Musa, lakini alijitenga na wao kwa kiburi. Tulimpa mali nyingi sana, na funguo za hazina zake zilikuwa nzito kubeba na watu wenye nguvu walikuwa wanabeba funguo hizo. Wakati alipojionyesha kwa watu wake, wale walio kuwa...
  2. JamiiForums Tanzania Historia inaweza kutusaidia kuijua sasa na kesho- Rais Ford alitabiri ujio wa rais mwanamke

    https://www.youtube.com/watch?v=epWYJ_SY8uU United States well I hope we do have a 0:57 young lady at some point become 1:00 president of the United States I can 1:06 tell you how I think it will happen 1:09 because it won't happen in the normal 1:16 course of events either the Republican 1:20...
  3. JamiiForums Tanzania Mzee Maxwell na Historia ya TANU 1950s

    MZEE MAXWELL NA HISTORIA YA TANU Mzee Maxwell kaniona mimi toka udogo wangu labda hata sijaanza kutembea. Nimemjua Maxwell kwa jina lake hili moja. Maxwell alikuwa pamoja na Dome Okochi Budohi na Martin. Hawa walikuwa wametoka Kenya wamekuja Tanganyika kutafuta maisha. Hawa wote watatu...
  4. JamiiForums Tanzania Tujikumbushe historia yetu ya wazalendo

    Pichani ni Nduna Songea Mbano Luwafu. Alipigwa picha hii muda mfupi kabla ya kunyongwa na wajerumani Machi mwaka 1906. Kifo chake kilitanguliwa na mauaji ya Mashujaa wengine 66 wa Majimaji walionyongwa Februari 27, mwaka 1906. Songea Mbano alinyongwa pekee yake siku tatu baada ya wenzake hao...
  5. JamiiForums Tanzania Kitabu Cha Historia ya Yanga na Harakati za Kudai Uhuru

    Watu kadhaa wameniuliza ukweli kuwa kuundwa kwa Yanga mwaka wa 1936 ilikuwa mbinu ya kudai uhuru wa Tanganyika. Haya nimeambiwa yameandikwa katika kitabu cha historia ya Yanga ambacho kimetolewa hivi majuzi. Jibu langu kwao ni kuwa ushahidi wa historia ya kudai uhuru wa Tanganyika hauonyeshi...
  6. JamiiForums Tanzania Maktaba Imepokea Picha Kutoka Mbali Katika Historia ya TANU Moshi Mjini

    Limekuwa jambo la kawaida sana siku hizi wasomaji wangu kuniletea taarifa nyingi ambazo wao wanazo katika historia ya kupigania uhuru wa Tanganyika. Taarifa nyingine pamoja na picha zinatoka kutoka familia za wapigania uhuru ambao historia imewasahau. Leo nimepokea picha ambazo kwa hakika...
  7. JamiiForums Tanzania Historia ya Kaburi Abushiri bin Salim 1840 - 1889

    HISTORIA YA KABURI LA ABUSHIRI BIN SALIM Abushiri bin Salim alikamatwa sehemu za Handeni baada ya kusalitiwa akiwa anafanya mipango ya kutorekea Mombasa akiwakimbia Wajerumani. Vita vyake vya mwisho dhidi ya Wajerumani ilikuwa Nzole karibu na Bagamoyo. Jeshi lake lilishindwa kuhimili nguvu ya...
  8. JamiiForums Tanzania SoC04 Suluhu ya Ushoga nchini; Historia yangu binafsi na mbinu mbadala

    Awali ya yote, naomba nieleze historia yangu kwa ufupi. Nia na madhumuni niweze kujenga picha ya jumla katika lengo zima la uzi huu. Nilizaliwa katika mkoa wa Mwanza nchini Tanzania, Baba yangu alikuwa Polisi na mama yangu alikuwa Mama wa nyumbani. Wazazi wangu kwa pamoja walinipenda sana...
  9. JamiiForums Tanzania Historia ya Hamisi Heri Mzalendo Mpigania Uhuru

    MUASISI WA TANU TANGA: HAMISI HERI AYEMBA Tanga iliibuka mwaka 1955 na kukabiliana na serikali ya kikoloni kupitia juhudi binafsi za kikundi cha wafanyabiashara wadogo wadogo katika soko la Ngamiani. Kikundi hiki kiliongozwa na kijana Peter Mhando, katibu wa zamani wa kile kikundi cha...
  10. JamiiForums Tanzania Afrika historia inatuadhibu na utandawazi unatudidimiza

    Binafsi Naona historia ya afrika imekuwa ndiyo chanzo kikubwa cha maafa hapa barani,hatupo active kwa changamoto za kihistoria kuna pandikizi kubwa la maisha ya ukoloni ambao ulijenga misingi ya kutudumaza kupitia elimu,dini na biashara,ni nani hajui kuwa utumwa wa leo ni matokeo ya jana...
  11. L

    JamiiForums Tanzania David Kafulila anakumbukwa na wakulima wa Simiyu kwa kupaisha bei ya Pamba kufikia Tsh. 2200 kwa kilo katika historia ya Taifa letu alipokuwa RC

    Ndugu zangu Watanzania, Uongozi ni kuacha alama zinazoishi katika Maisha na mioyo ya watu, ni kuacha kitu kitakacho simuliwa vizazi kwa vizazi,ni kuacha rekodi ambayo itaimbwa na kuzungumzwa na watu kwa miaka mingi hata kama wewe utakuwa haupo uongozini au Duniani lakini utaendelea kuishi na...
  12. JamiiForums Tanzania Wanajadili Historia ya Bibi Titi Mohamed lakini hakuna hata mmoja anaeijua historia yake

    Nimefikishiwa taarifa kuwa kuna Group la vijana leo kutwa nzima wanajadili historia ya Bibi Titi. Mpashaji habari wangu kaniuliza maswali mengi kuhusu historia ya Bibi Titi na kama nilimfahamu wakati wa uhai wake. Ukweli ni kuwa hakuna aliyemwandika Bibi Titi kama anavyostahili kuandikwa...
  13. JamiiForums Tanzania Historia fupi ya jamii ya watu wenye vichwa virefu (Mangbetu)

    Hapo zamani nchini Kongo kulikua na jamii iliyoamini kwamba wanawake wenye vichwa virefu Wanavutia (WAZURI) zaidi na wanaume wenye vichwa virefu wanakua na NGUVU zaidi na AKILI sana. Hivyo basi watoto wakizaliwa walilazimika kifungwa nganganga na kitambaa kichwani (LIMPOPO) ili kutengeneza...
  14. JamiiForums Tanzania Mafundisho mapya ya kuhusu miujiza (masuala ya kiroho) kutolewa na Kanisa leo: Kwa nini historia inajirudia leo kutoka mwaka 1978?

    Mafundisho mapya ya kanisa kuhusu "matukio ya kimuujiza" yatatangazwa kwenye mkutano na waandishi wa habari utakaofanyika na Vatican siku ya Ijumaa. Taarifa hii imechapishwa kwenye tovuti ya Ofisi ya Vyombo vya Habari ya Holy See, na ndio sababu baadhi ya machapisho yameripoti kimakosa kuwa...
  15. JamiiForums Tanzania Historia ya Tanganyika: Kubali Ukweli Hata Kama Ukweli Unapingwa na Dunia Nzima

    AMESEMA ALIYESEMA NITAWAFELISHA WANAFUNZI KWA HISTORIA ZANGU ZISIZO NA VYANZO VYA KUAMINIKA Lupweko said: Mzee utawafelisha watoto kwenye mitihani yao kwa historia zako ambazo hazina vyanzo vya kuaminika Lupweko, Mimi sina historia iliyo yangu. Historia ni kama ilivyotendwa na wahusika hao...
  16. S

    JamiiForums Tanzania Kua makini kama familia yenu Ina historia ya Kansa na magojwa ya moyo

    .
  17. JamiiForums Tanzania Wenye CAF CL tittle 5 wamekuja kujifunza. Unahisi hawaijui historia ya mkufunzi?

    Maisha yana njia tofauti kutufunza kuwa wapole na subira hasa pale tunapojiona tumefanikiwa. Watu wanashinda kujisifu robo fainali 5 hana cha kujifunza kwa mwenye robo fainali moja. Haya mwenye makombe yake matano cha CAF CL amekuja kujifunza namna ya kuendesha timu ya mpira kwa ambaye hana...
  18. JamiiForums Tanzania Binti wa miaka 17 aandika historia baada ya kuhitimu ngazi ya Uzamivu (PhD)

    Mwanachuo kijana wa Chicago alitembea katika programu ya mahafali ya chuo kikuu chake baada ya kuweka historia kwa kupata shahada ya udaktari akiwa na umri wa miaka 17. Dorothy Jean Tillman II alisherehekea mafanikio hayo adimu, akielezea wiki ya mahafali kama "isiyo ya kawaida" na "imejaa...
  19. JamiiForums Tanzania Kibao cha Aziz Ally Mtoni na Historia Yake

    AZIZ ALLY MJENZI WA MISIKITI Aziz Ally alipofariki mwaka wa 1951 muda mfupi baada ya.kutoka hijja gazeti la Tanganyika Standard katika kueleza kifo chake liliandika "Mjenzi wa Misikiti Amefariki." Kabla hajajenga nyumba yake mashuhuri ya Mtoni leo panaitwa Mtoni kwa Aziz Ali, Azizi Ali alikuwa...
  20. JamiiForums Tanzania Historia za Kusisimua Lakini Hazifahamiki

    Leo asubuhi nimeingia Maktaba nikawa napekuapekua katika Memory Lane yaani Mtaa wa Kumbukumbu. Nikakuta video fupi fupi kadhaa. Nikazisikiliza. Nimepigwa na mshangao. Yaliyomo ndani ya video hizi hakika yanasisimua: https://youtu.be/P9N56F4vw4o?si=wLlnSOx4_6rufofT...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…