hisia

Ghizela (Hungarian: Gizellafalva) is a commune in Timiș County, Romania. It is composed of four villages: Ghizela, Hisiaș (Hosszúág), Paniova (Panyó) and Șanovița (Sziklás).

View More On Wikipedia.org
  1. Nikiangalia nembo ya Bibi na Bwana na hii ya 'Made in Tanzania', napata hisia kwamba Tanzania has stagnated across many fronts

    Hii inahitaji kuwa basis ya national dialogue; Tanzania haijafika tu kwenye stagnation ya democracy kama wengi wanavyodhani, bali kuna other fronts ambazo ukizimulika deeply utagundua kwamba zinaanguka. Hii tafsiri yake ni kwamba, wakati serikali yetu ikiendelea ku pump uchumi ukue kwa...
  2. Wakuu naomba mwongozo nataka kununua vipande vya hisia NICO

    Kuna mil 20 inazaga zagaa hapa nataka niwekeze kwenye hisa za NICO... Wajuvi mwongozo wenu tafadhali
  3. Royal baggies” zavuta hisia sabasaba 2025 – ubunifu wa posta wazidi kupaa

    📍 SABASABA, Dar es Salaam 🗓️ 5 Julai, 2025 “ROYAL BAGGIES” ZAVUTA HISIA SABASABA 2025 – UBUNIFU WA POSTA WAZIDI KUPAA Katika Maonesho ya 49 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam (SABASABA 2025), Shirika la Posta Tanzania limekuwa gumzo baada ya kuanzisha huduma mpya ya usafiri wa ndani ya...
  4. Hawa watoto ni hatari sana, wana Hisia kali zaidi ya watu wazima

    Sijui kama wanaigiza au wako Real lakini inagusa sana unaposikiliza ndani yako unaiona nia njema ya hawa watoto. Watoto hawa si tu waimbaji, bali ni vyombo vya Mungu vinavyoleta uzima kwa sauti zao. Walipoimba, kila neno lilijaa upendo, kila sauti iligusa moyo. Waliimba kama malaika...
  5. L

    Hii Ndio Picha Ya Siku iliyopatikana Mkoani Dodoma iliyovutia na kugusa hisia za Wengi katika Anga la Siasa za Tanzania

    Ndugu zangu Watanzania, Kila siku hukucha na mambo yake ,kila siku hutawaliwa na matukio yake ,kila jua lichomozapo huchomoza na mambo yake na kuzama na mambo yake. kila siku uchao kuna mambo huteka na kuwa makubwa kuliko siku yenyewe. Sasa katika siku ya leo kuna picha ya siku imepatikana...
  6. Peter Kibatala: Barua ya kulifungia Kanisa la Askofu Gwajima si halali na haitambuliki na Wizara

    Akisoma majibu ya Rufaa yaliyotumwa kwao Juni 6, 2025 kutoka kwa Ofisi ya Waziri wa Mambo ya Ndani, Wakili Peter Kibatala ametoa maelezo ambayo yanaonesha kuna “hali ya sintofahamu” kuhusu barua iliyotumika kulifungia Kanisa la wateja wake, Kanisa la Glory of Christ Tanzania Church maarufu kwa...
  7. Mapenzi ni Ladha hisia ni matokeo ya kuvimbiwa

    Ndivyo unaweza kujidai katika UGA wa mapenzi, Ladha ni ulimi Ladha ni kirungu na kila ana chake na ulimi wake kama ilivyo kwenye mbegu ya harage kila mtu na harage lake. Hata muwe mapacha hakuna Ladha ya mfanano. Ukipandwa na hisia huo ni ulevi wako
  8. Kwanini Kila nikiskiliza huu wimbo wa me too hisia zinahamia kwenye wimbo wa Sukari guru?

    Bila shaka mko vizuri wakuu. Huyu B-boy ukimskiliza vizuri utagundua ako na kitu kwenye namna anavyotengeneza midundo yake. Sijajua ni labda kwakua wako na muunganiko mzuri na huyu kijana Harmonize au ni kweli anauwezo mkubwa kwenye midundo ya aina hii. Kwenye huu wimbo wa "me too" alitulia...
  9. Kila mtu ana aura. Aura ni kiputo cha mwanga wa kiroho, sauti na hisia ambayo inamzunguka kila mtu

    kila mtu ana aura. Aura ni kiputo cha mwanga wa kiroho, sauti na hisia ambayo inamzunguka kila mtu. ✍️ Kupitia mbinu rahisi na mazoezi, unaweza jifunze kufahamu zaidi aura zako na za watu wengine. ✍️ Kwahiyo kadri unapopata mwamko wako wa kiroho basi utauona huu ulimwengu ni mpya kwako...
  10. L

    Ziara Ya Rais Samia Mkoani Tanga Itakuwa Ya Hisia Kali Sana na Nchi Itasimama. Kwa sababu ndio Mkoa aliotangazia Kifo cha Hayati Magufuli

    Ndugu zangu Watanzania, Rais Wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Mama wa shoka, chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia, simba wa nyika, komandoo wa vita, nyota ya matumaini na nuru ya wanyonge anatarajiwa kufanya...
  11. Msaada mpenzi wangu mpya hisia zake hazipandi mpaka nimpulize mwili mzima na kumtekenya miguuni.

    Baada ya kupitia balaa zito la mke wangu kichaa aliyenipiga picha 71 za makalio ,niliamua rasmi kumuacha. Mungu si athumani nikapata mtoto mmoja wa kinyaru binti ajatumika sana,ana nyama nyama za kutosha mwilini(nakupenda sana kipenzi changu konjeta♥️♥️). Sikutaka kumchelewesha kama...
  12. Kutafuta mwenza nyakati hizi ni jambo gumu ,linaloonekana jepesi machoni pa watu waliotanguliza hisia badala ya akili

    Habari za usiku waungwana.. Ni jambo lililo wazi kimaumbile kuwa mwanadamu mwenye utimamu wa akili na mwili anamhitajia mwenzake wa jinsia nyingine ili kukamilisha muunganiko wa kimaumbile unaoleta stara ya kibinadamu. Ni jambo muhimu kwenye maisha ya mtu yeyote mwenye kuyatazama mambo kwa...
  13. R

    Rais wa Burkina Faso Capt Ibrahimu Traore anatarajiwa kuja Tanzania January, 2025. Je, atatingisha jukwaa kama alivyofanya nchini Ghana?

    Traore amejizolea umaarufu mkubwa Duniani hasa kwa ulinzi wa rasilimali. Amekuwa na nguvu kubwa ya mapokezi kila anapokwenda. Amekuwa mwana mapinduzi anayetisha mabepari kwa misimamo yake. Natambua Watanzania siyo wafuatiliaji wa siasa za nje, ila naamini ujio wa Traore ukifanyiwa matangazo...
  14. PreGE2025 Roma aeleza hisia zake Vyama vya Upinzani kuwatenga wasanii katika shughuli zao

    Mimi nikiona mtu analaumu wasanii kwenda kwenye events za CC EM kufanya show huwa namshangaa sana!!Wasanii ni wafanya biashara, wame invest kwenye hiyo biashara ya muziki na wanahitaji return…. Kama ambavyo wewe umewekeza kwenye biashara yako, huwezi kubali upate hasara!!Show moja ya CC EM...
  15. Simba ina mashabiki "passionate" wenye hisia na timu yao

    Ndiyo, adhabu ambayo CAF wameipiga Simba ikiwepo ya pesa na kutoingiza mashabiki inauma na hakuna mwanasimba aliyeifurahia. Ni muhimu tukakumbuka kuwa Simba si timu ya kwanza kupewa adhabu hiyo. Wydad, Al Ahly, Esperance na USMA, ni miamba wengine wa Africa wamewahi kupewa adhabu ya namna hiyo...
  16. Game gani lilikuteka kihisia ukajihisi na wewe ni muhusika ndani ya game

    Hi? DAYS GONE ni game ambalo liliniteka kihisia na kiakili mpaka nikajihisi na mimi ni moja ya character wa mule ndani ya game mpaka siku ile namaliza mission ya mwisho najihisi kama naenda kupoteza marafiki zangu niliodumu nao kwa muda mrefu Warning Mission za Horde ni za kuepuka kama hauna...
  17. S

    Madai kwamba Magufuli alimpiga Ben Saanane risasi pale Ikulu isichukiliwe kihisia; hizi hapa ni sababu za msingi kuamini kwamba ni ukweli

    Sawa Erick Kabendera ameandika kwamba raisi Magufuli alimpiga risasi ya kichwa Ben Saanane pale Ikulu Dar es Salaam. Sasa ukitaka kujua umbumbumbu wa watu, ni pale mtu anaibuka tu na kusema Kabendera mwongo! Watu hata hawataki kuhoji taarifa hii Kabendera kaitoa wapi - japo ametaja wazi kuwa...
  18. Matukio gani yaliyogusa hisia za watu 2024 ambayo hutayasahau?

    Leo ni 31, Desemba ni siku ya mwisho ya Mwaka 2024, Kwa kudra za Mungu baada ya masaa kadhaa tutakuwa tumeingia mwaka 2025, Naomba Mungu atie rehema zake tufike wote salama. Mwaka 2024 ulikuwa na matukio mengi sana sana, yapo yaliyoibua na kuvuta hisia na usikivu wa watu huku yakiacha maswali...
  19. Moderator safi sana, Futeni kabisa nyuzi za ngono na uwasherati, Nyeto, na mambo yote yanayoamsha hisia.

    Kwa hili nawapongeza sana JF, Tena ingieni kabisa kwenye database zenu futeni kabisa mambo ya kula tunda kimasihara. Swali kidogo; Hivi Miss world na world most sexiest woman nani mzuri kusema ukweli ? Nawasilisha.
  20. Marita Lorenz: Mwanamke Aliyevuta Hisia za Fidel Castro

    Marita Lorenz alizaliwa mwaka 1939 huko Bremen, Ujerumani. Alikulia katika familia yenye malezi ya kijeshi, baba yake akiwa nahodha wa meli. Maisha ya baharini yaliimarisha shauku yake ya kusafiri, na hatimaye yalimpeleka Cuba, ambako alikutana na kiongozi wa mapinduzi, Fidel Castro, mwaka 1959...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…