hii

King Kuok "Mimi" Hii (born 23 December 1969) is a chemist whose fields of research include application of catalysis to organic synthesis. She is the Director of Imperial College London's Centre for Rapid Online Analysis of Reactions (ROAR).

View More On Wikipedia.org
  1. I

    JamiiForums Tanzania mkopo wa namna hii ni kuumiza vijana .

    habarini wapendwa leo katika pitabpita zangu nikakutana na mikopo ya bajaji na bodaboda . aaah hapana nikauli mkopo wa bajaji nikaambiwa kianzio laki 7 (700000) rejesho kwa siku 27000 na ni mkopo wa miaka 2. viongozi kweli bajaji ya milioni 7 mtu alipe 20 milion kweli.
  2. JamiiForums Tanzania Tabia hii mbaya inaota mizizi: Wimbo wa taifa ni tunu ya JMT, inakuwaje uimbwe na kuchezwa kwa TUNE tofautitofauti!

    Nimeghabika kuuona mwendelezo wa kuimbwa kitofauti kwa huu wimbo mtukufu na TUNU ya JMT. Wiki ya kampeni ya uzinduzi wa huduma wa msaada wa kisheria wa mama Samia hapa Mwanza.... Kinachonishangaza ni kuwa siku unapochezwa mbele ya mh.Rais ,Makamu wa Rais na Waziri Mkuu kamwe tabia hii MBAYA...
  3. JamiiForums Tanzania Ifakara ndio mji wa wajanja. Wezi wa TUMA kwenye Namba hii makao makuu yao Ifakara. Ifakara ni noma sana

    Hatimaye hadi mamlaka za Serikali hasa wizara ya mambo ya ndani imenyoosha mikono, imeweka bayana kuwa ifakara ndio Baba lao wa tuma kwenye namba hii. Ifakara iko kijanja zaidi. Ni hayo tu
  4. JamiiForums Tanzania Hii imekaaje ya mke kumua mumewe kwa kipigo baada ya kuwa chaulevi?

    https://www.youtube.com/watch?v=8_9k1D_x6gs Siongezi neno. Jamaa aitwaye Daudi kapata kipigo toka kwa mkewe na watoto wake na kupoteza maisha. Hebu tudurusu kadhia hii wakati tukijikumbusha kuwa kuna wanawake wengi wameuawa na wanaume wengi tu. Je hapa ni kile kisa cha mbwa kumng'ata mtu ikiwa...
  5. JamiiForums Tanzania Airtel huduma ya INTERNET imepatwa na nini? Mboni hali hii haikua hivi imekuaje?

    Wakuu. Nimewaita mara moja, mimi ni mdau mzuri wa mitandao ya Simu hususani mtandao pendwa wa Airtel ila kwa siku za hivi karibu mtandao wa Airtel umekua na sintofahamu hususani kwenye upande wa Internet, nataka kuwauliza wahusika kimetokea nini? Mtandao wa Airtel umekua mziiiiiiiiiito...
  6. JamiiForums Tanzania Kama unapenda mwenyezi Mungu usipite hapa bila kulike hii thread na kucomment

    Kama unapenda mwenyezi Mungu usipite hapa bila kulike hii thread na kucomment "Asante Mungu"
  7. M

    JamiiForums Tanzania Chadema hii ndio no reform no election?

    Chadema hii ndio no reform no election? 1. Lissu 2. Heche 3. Amani 4. Lema 5. Mayemba 6. Deogratius wa BAVICHA Mbona hawa watu wepesi sana ktk kupigania vitu vikubwa kama hivyo. Tuungalie cuf enzi zake 1. Maalim seif- waziri kionngoz8 2. Abubakar khamis- mwanasheria 2a serekali 3. Mansour -...
  8. JamiiForums Tanzania Tumalize ubishi wa miamba hii ya muziki nchini kati ya Chidumule, Bitchuka na hayati TX Moshi, nani alikuwa mtunzi na muimbaji mzuri?

    Swali langu ni hilo wakuu, japo kwa upande wangu nilimkubali na nitaendelea kumkubali sana mzee Hassan Rehani Bitchuka. Wewe je unakubaliana na huyo huyo wa kwangu? Au Cosmos Chidumule? Au hayati Tx Moshi?
  9. M

    JamiiForums Tanzania Msimuoneshe Aziz ki hii

    Nimetoa tu huko Twitter kwa wananzengo Lakini Kuna wananchi watoa comment kama huyu👇🤣
  10. JamiiForums Tanzania Kampuni za condoms kutoa taarifa ya kudorora Kwa soko, hii inaniacha na maswali mengi

    Makampuni ya condoms yamelalamikia soko la condoms kudorora 1. Watu wanajikinga vip dhidi ya Ukimwi? 2. Watu wamepunguza kufanya ngono? 3.Dhana ya kuamini mtu anaishi vyema hata akiwa anatumia ARV? 4. Ukimwi wa Sasa umepungua nguvu? 5. Viongozi wa dini wamefanya kazi Yao vyema? Kwa uzoefu wangu...
  11. JamiiForums Tanzania Nimekutanayo X hii [ European art V African art ]

    Nimekutana nayo X hii European art v African arthttps://x.com/RadioGenoa/status/1888602355660157417?t=X_JSJ1zfQ6LyTgVuWrKueA&s=19
  12. JamiiForums Tanzania 2025 hii, Vipi mpenzi wako yuko vile vile kama mlivyokutana au kabadilika?

    Mpenzi wako au mume wako au mke wako, tabia yake iko vile vile kama ulivyomkuta na kumpenda au kabadilika? Vipi bebi wako mbususu na rungu anakupa kwa spidi ile ile kama mlivyoanza au siku hizi unapimiwa? Mwisho kabisa, Je bebi wako muonekano wa kimaumbile yuko vile vile kama mlivyokutana au...
  13. JamiiForums Tanzania Nimesikia asilimia 40 ya watumishi wa umma hawafanyi kazi hii inasikitisha sana ni kwasababu ya mfumo mbovu wa kiutawala uliopo

    Katika uhalisia mfumo wa kiutawala unachangia kusiwe na uwajibikaji kwa watumishi wa umma nina uwakika kuna zaidi ya aslimia 99% za watumishi wa umma kuwa hawafanyi kazi zinaweza kuzidi hizi aslimia 40% nilizo zisikia. Kutokuwa huku na uwajibikaji kwa watumishi hao kunaweza kuchangiwa na...
  14. JamiiForums Tanzania Nimejikuta nalia baada ya kucheki hii movie

    Nimejikuta natokwa na chozi baada ya kucheki huu mzigo aiseee Wakuu acha kabisa.. All in all now nimepata katoto ka 2000 mi na mashangazi ndo basi
  15. R

    JamiiForums Tanzania Ni kwanini Elon Musk haondoi video za pono kwenye huko twitter, hii kitu ina addiction kali sana kwa vijana

    Nahisi sikuhizi wadau wa haya mambo hawaingii kwenye zile sites zao, wananyooka moja kwa moja twitter MADHARA YAKE Porn inamaliza pesa, ni sembe ya kidijitali, mtu yupo radhi ale maandazi usiku ili anunue kifurushi cha elfu mbili Porn inachochea kujichua ukiwa mraibu wa kujichua kwa muda...
  16. JamiiForums Tanzania Hii imekaaje nina upepo na nyota ila maisha yangu ni maseke?

    Kwema wakuu kuna jambo linanishangazaga sana. 1.Mama mmoja muuza chapati alikua ananiomba niwe wa kwanza kwenda kununua chapati kwake asubuhi alikua jirani yetu na nikinunua alikua anafurahi sana nikawa nachukulia poa. 2.Mama ntilie na muuza sambusa alikua pia ananiomba niwe nanunua sambusa...
  17. JamiiForums Tanzania Nina milioni15 na plan ya kibanda cha 8.5m×8.5m, bedrooms mbili, bati ya cover max, finishing kiwango cha mpambanaji. Hii pesa itanifikisha hatua ipi?

    Karibuni wakuu
  18. JamiiForums Tanzania Kazi ya udalali inalipa sana kiukweli siwezi kuiacha hii kazi

    Wakuu katika Kazi ambazo zinalipa ni pamoja na udalali. Hii inakuhitaji uwe at least unajua kiingereza , mwandiko mzuri na kuwa na ushawishi wa kuongea vyema. Kiufupi njia ambazo natumia kufanya hii biashara ni kuwa na smartphone nzuri , laptop kali . Kisha naaanza kutangaza bidhaa mbalimbali...
  19. JamiiForums Tanzania DOKEZO Kibaha kwa Mfipa kuna vibaka wanaopora na kujeruhi watu, Vyombo vya Ulinzi vikomeshe hali hii

    Huku kwetu maeneo ya Kibaha hasa Kibaha Kwa Mfipa kuna matukio ambayo ni hatari sana kwa usalama, kwani kuna vibaka wanatusumbua na wanafanya matukio yao majira ya Saa 11 alfajiri wakiwalenga wale watu wanaodamka asubuhi mapema kwenye kwenye majukumu yao. Vibaka hao wanakaba na kuwapora kwa...
  20. W

    JamiiForums Tanzania Unasherekea vipi hii Valentine?

    Wakuu, ikiwa leo ni Sikukuu ya Wapendanao "Valentines Day", unasherekea vipi au umepokea nini mpaka sasa? Kama huna ramani unaweza kusherekea siku ya leo kama ifuatavyo; Kubadilishana zawadi unaweza kuambatanisha na maua Games au movie Night: Kama hamna hela unaweza kuchill nyumbani na huyo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…