hii

King Kuok "Mimi" Hii (born 23 December 1969) is a chemist whose fields of research include application of catalysis to organic synthesis. She is the Director of Imperial College London's Centre for Rapid Online Analysis of Reactions (ROAR).

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania NCHI NGUMU HII

    TIC wanaitaji watu watano Ila tumeitwa watu 1900 kwenye usaili yaini kiufupi kila nafasi moja inagombaniwa na watu 390+
  2. JamiiForums Tanzania Naomba dawa ya kuuua mapanya hii mara ya tatu au mnasubiri tufe mtoe michangoi??

    MSAADA wapendwa niliandika January mara mbili NDUGU tunatesekea na ma pants YAAN usiku yanatembea kama watu Mwanzoo TULIJUA nyoka darini YAAN wanatembea na kishindo kizitoo Sasa hali n Tete watoto hawalali sisi hatulali YAAN tukianza kuhondomola na themeji YENU YAAN yanakuja KATIKATI usawa...
  3. J

    JamiiForums Tanzania Wanaume Sikia hii

    Kuzaliwa mwanaume ni zawadi ya kipekee sana ambayo hukuichagua ila ulipewa kwa mapenzi ya Mungu. Tutambue ya kwamba Mwanaume hakuumbwa MATESO bali mateso yalichaguliwa na Mwanaume mwenyewe. Mwanaume ni mlezi mkuu wa familia nzima yeye ni kama Mwenyekiti na mkewe ni kama katibu, taasisi hii...
  4. JamiiForums Tanzania Halmashauri ya Rungwe Mkoani Mbeya tupieni jicho Shule ya Msingi Kibisi, hii miundombinu sio rafiki

    Shule ya Msingi Kibisi iliyopo Wilayani Rungwe Mkoani Mbeya haipo katika hali ya kuridhisha kutokana na baadhi ya majengo yake yanayotumiwa na Wanafunzi kuwa chakavu sana. Nimepita katika shule hiyo mara kadhaa na nimekuwa nikiumia sana kuona hali hii, nashauri Serikali ifanye maboresho kabla...
  5. JamiiForums Tanzania Pesa nyingi ninazopata kwenye Freelancing zianaishia kuwalipa vijana wanaonisaidia kufanya kazi. Hii level inaitwa dropservicing

    Pesa nyingi ninazopata kwenye Freelancing zianaishia kuwalipa vijana wanaonisaidia kufanya kazi. Hii level inaitwa dropservicing Nitakuelekeza mambo muhimu ya kuzingatia ili uweze kufanya dropservicing... Pia ukitaka kufanya freelancing zingatia haya Kwanza kabisa lazima uanze kama freelancer...
  6. JamiiForums Tanzania Hivi waziri wa maji yupo kweli? Hii changamoto ya maji kwa wananchi haisikii? Wananchi wanteseka tena ndani ya jij anania gani. Watendaji wapo kweli?

    Huu ujumbe nimeuchukua kutoka kwenye grupu la wananchi Tumsifu yesu kristo,Bwana yesu Asifiwe,Mwanakondoo Ameshinda,Asalam Aleykhum Jamia'Shalom-Ndg Zangu Naamini Kila mmoja wetu ameamka salama na Familia. Kwa Unyenyekevu wa Moyo wangu' na Shukrani Kwa Mungu Nawatakia Siha Njema mliojaliwa...
  7. S

    JamiiForums Tanzania Nawaheshimu sana walimu, lakini mwalimu yeyote akimfanyia mtoto wangu kama inavyoonyesha picha hii nitamtafuta kokote alipo tumalizane

    Hii picha sio ya kuigiza. Ni picha halisi ilipigwa na camera ya simu ambayo haikuwa na spidi sana ndio maana unaona kuna sehemu za picha ziko out of focus, kuonyesha zilikuwa zina movement ya kasi zaidi spidi ya camera ya simu. Na picha inajieleza. Hasira za mwalimu, maumivu ya mwanafunzi na...
  8. JamiiForums Tanzania Kwa hapa Dar wapi naweza kupata hii mboga inayoitwa mgagani?

    Wakuu Nimemiss kula mboga za asili,kuna anaejua wapi kwa hapa Dar naweza kupata hii mboga ya majani inayoitwa mgagani? Ni mboga maarufu zaidi huko kanda ya ziwa.
  9. JamiiForums Tanzania Haya chukueni hii ikiwa bado mbichi na mbaki nayo, kwani kwa aina ya Mgeni Rasmi aliyeandaliwa kwa Mchezo ujao hakuna wa Kuthubutu Kugoma / Kumgomea

    Si wanajifanya wote Watoto wa Mjini sana na kutaka kuipelekesha TFF sasa Mchezo wao ujao Mgeni rasmi ni Rais Samia.
  10. JamiiForums Tanzania TANESCO MOROGORO: Umeme unakata na kurudi mara ya 23 hii ndani ya dakika 45

    TANESCO Morogoro manispaa, huyo mkataji wa zamu leo ni mwanafunzi wa field? Mmemtuma kuangamiza watu wa Bigwa? Kuweni na nidhamu huu ni UPUMBAVU, eneo la kuanzia Bigwa Stand mpaka Misongeni wiki hizi za hivi karibuni mnalichezea rafu sana. Acheni upumbavu kama kuna hitilafu kateni rekebisheni...
  11. K

    JamiiForums Tanzania Hii ipoje kuhusu mwanaume kuwa na kipato ndio aoe??

    Kumekuwa na mijadala mingi kuhusu suala la "Wakati gani wa Mwanaume kuoa". Wengi wameenda mbali zaidi na kusema, "Suala la mwanaume kuoa sio umri, bali ni kipato na uwezo wa kuilea familia" Swali: Mwanaume huyo atagundua vipi kuwa kipato chake alichonacho sasa kinamwezesha yeye kuoa?? Ni kipato...
  12. JamiiForums Tanzania Leo hii Jean Baleke ni wa kucheza Samia Cup ya Mtaani yenye Uwanja Mita 50?

    Kwani Yanga SC kama hamumtaki mnashindwa nini kumlipa tu Fedha zake ili arejee Kwao Kisangani akatunge Nyimbo?
  13. P

    JamiiForums Tanzania Rais nakushauri tu achana na hii biashara ya kununua umeme Ethiopia

    Tunashuhudia unyanyasaji mwingi katika hizi za kutegemea huduma kutoka nchi zingine hususani pale ambapo mausiano ya kidiplomasia yanapozorota. Lakini pia Tanzania kwa sasa tunazalisha umeme zaidi ya maitaji yetu sasa mtu unapata ukakasi wa kuanza kununua kitu unachokizalisha. Kwa vyovyote...
  14. B

    JamiiForums Tanzania Hivi hii miradi anayozindua Rais Samia kuna mradi wowote aliouanzisha yeye Ukitoa aliyoikuta ya Hayati Magufuli?

    Mm sio mtu wa siasa ila nmekuwa nkijiuliza haya maswal nkaona nilete Uzi huu nipate kujua ukwel maana mwezi wa 10 sio mbali Nmekuwa nliona tangu mwaka unaanza mama anaenda kuzindua miradi mbali mbali.. Na kusifiwa sana Je ni miradi aliyoisamia yeye kuanzia 0 Hadi 100 au ni miradi aliyoikuta...
  15. JamiiForums Tanzania Hii ndo series bora ya muda wote

    Series inaitwa Game Of Thrones mpk sasa inashika nafasi ya kwanza Duniani kuwa series iliyoangaliwa sana na watu na kuweka kupewa rate ya juu.Rate 9.2⭐ ikiwa na misimu 8 ndani yake. Stori inamhusu binti ambaye anataka kuukomboa ufalme wa ukoo wao ambao ulipokonywa kwa mda mrefu lakin kumbe pia...
  16. JamiiForums Tanzania Bodi ya Ligi kuu yaahirisha Mechi ya Derby kati ya Yanga dhidi ya Simba

    Kamati ya Uendeshaji na Usimamizi wa Ligi Kuu Tanzania (TPLB) katika kikao chake cha leo Machi 8, 2025, ilipitia shauri la klabu ya Simba kuzuiliwa kuingia kwenye uwanja wa Benjamin Mkapa kwa ajili ya kufanya mazoezi ya mwisho kuelekea mchezo namba 184 wa Ligi Kuu ya NBC (Young Africans SC vs...
  17. JamiiForums Tanzania Kwenye haya Maisha kuna watu ni untouchable , hii nimejifunza kwa njia ngumu.

    Nilichojifunza sio kila mtu anagusika . Kuna jirani yetu ukimjaribu basi lazima mpoteane . Nilimfata na kumuuliza inakuaje kila anayetaka kukufanyia ubaya au anayekufanyia anapoteana Alinijibu kuwa hiyo hata yeye hajui na wamezikwa watu wengi na kupoteana tangia zamani. Mimi mwenyewe...
  18. JamiiForums Tanzania ivi hii telegram ndo imekufa mbona hai respond tangu january?

    Jamuhuri ya telegram Kila nikifungua inaandika updating na haijawai kumaliza
  19. JamiiForums Tanzania Ally Kamwe asema kikosi cha Yanga kitawasili saa 11 uwanjani kujiandaa na Mechi ya dabi leo jioni

    Meneja Habari Mawasiliano wa Klabu ya Yanga Ali Kamwe anasema timu itawasili uwanjani saa 11:00 jioni kujiandaa na mechi ya leo jioni. Itakumbukwa bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) kupitia Kamati ya Uendeshaji na Usimamizi wa Ligi imetangaza kuahirisha Mchezo wa Yanga dhidi ya Simba kwa mujibu...
  20. D

    JamiiForums Tanzania Hii kanuni ya adhabu, ndio imeiweka Bodi ya ligi njia panda

    Hapa Simba angekwanguliwa points 15. Sasa given Simba na Yanga ndio biashara ya Football Nchi hii, ukiachia Vigogo Wazito Wana maslahi Yao katika timu hizi, unadhani kweli Bodi na TFF zitadhubutu hili litokee?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…