hii

King Kuok "Mimi" Hii (born 23 December 1969) is a chemist whose fields of research include application of catalysis to organic synthesis. She is the Director of Imperial College London's Centre for Rapid Online Analysis of Reactions (ROAR).

View More On Wikipedia.org
  1. F

    JamiiForums Tanzania Sasa rasmi kuna dikteta nchi hii

    Kwa jinsi hali ya uhuru wa kisiasa unavyoendelea kuminywa nchini kuna kila sababu ya kujisikia kutawaliwa kidikteta.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Kama wanautendea mti mbichi namna hii, je mti mkavu?

    Jiulize wewe mwananchi wa kawaida unayeishi Mbagala, Mbuye , Gongo la mboto na Kasagala je upo salama? Matumizi ya dola....
  3. JamiiForums Tanzania Ma Mc's ( washehereshaji a.k.a wasema chochote) acheni hii tabia ya kitoto

    Ma Mc's katika sherehe mbali mbali za wafanyakazi za meimosi....Hivi kwa nini hamuwezi maliza kutusherehesha bila kuita tupite mbele tucheze kwaito? Tena muda mwingine mnatutoa mbele ya watoto zetu na familia zetu. Acheni huu utoto. Acheni huu ujinga mara moja.
  4. JamiiForums Tanzania Safari hii hizi asilimia 35% za increase ya pay sitathubutu kukopea.

    Ilikiwa hivi wana izengo. Nilitamani mkoko muda mrefu. Sasa mama akasema asilimia 23, si nikapiga hesabu zangu za mwalimu Juma. Nilijidhisha kwamba kwa asilimia hizi, naenda kukamata 920k take home itanitosha na wese. Nikaingia benki moja pendwa nikavuta 12m keshi. Nikapata ka vits. Basi...
  5. JamiiForums Tanzania Hii dua ya namna gani hapa Shekhe!?

    Kuna ile kauli: "MSICHANGANYE DINI NA SIASA" hapa naona haihusiki. Ndio kusema mzani umelalia upande mmoja? Hii ni dua iliyotolewa na Shekhe mmoja hapo kwenye sherehe ya May mosi. Hebu isikie kama hukupata wasaa huo;
  6. D

    JamiiForums Tanzania Hivi hii nchi ina waziri mkuu kweli? Au tulimuoverate tu kipindi kile cha kufoka foka.

    Nchi kwa sasa inajiendesha yrnyewe na imefila kwenye ile formulae ya survival of the fittest. Kama huauko fit kujilinda basi unatekwa na wasiojulikana au hakuna anayekujali kabisa as if serikali haipo but waziri mkuu yupo na akishtukiwa huwa anaenda kufoka mikoani with no utekelezajia. He is a...
  7. JamiiForums Tanzania Hii iwe alert kuwa kuna siku na wewe utapata shida na Polisi wataamua kukudhalilisha wakijisafisha.

    Je polisi huwa hawana akili kabisa most of them? Huwa wengi najua wamechukuliwa ni failure wa kidato cha 4 lakini ina maana hata wakubwa wao nao ni wale wale? Wakatoliki nadhani hii iwe ni alert kwenu sasa. Muendelee kujiambatanisha na CCM mkidhani mpo salama. Walipofanyiwa masheikh mlisema...
  8. JamiiForums Tanzania Hii TUCTA au kamati ya mapambio??

    Badala ya kuzungumzia changamoto za Wafanyakazi zilizojaa lukuki....once in a year wanakuja na Hotuba ya kusifia majukumu ya serikali. Hii nchi imekuwaje?
  9. JamiiForums Tanzania Tahadhari: CCM na viongozi wake mnajihatarisha kwa namna hii

    Kuna matukio ya uwizi wa kura, ufisadi wa mali za nchi, mikataba ya hovyo kuhusu rasilimali za nchi mfano bandari, misitu n.k Kufukuza Masai katika ardhi yao ya asili, kupanda kwa gharama za maisha na aina nyingine ya maovu mengi yanayofanywa viongozi wa serikali, chama tawala, taasisi za...
  10. JamiiForums Tanzania Picha hii inakupa somo gani?

  11. JamiiForums Tanzania Je kwa Sasa Tanzania ni nchi iliyokufa?! A failed state?

    Nchi inadaiwa trion 99 Nchi inalipa Deni kwa bilion 700 kila mwezi Nchi kwa Sasa haina mradi wowote unao-endelea unaotoa ajira kwa watanzania angalau 10000 kwa pamoja!! Miradi ya TARURA yote imelala wakandarasi wameikimbia Imagine barabara ya 2km inajengwa Sasa ni mwaka mfano hii ya msongola...
  12. JamiiForums Tanzania Democrasia iliopo Kenya hasa uhuru wa habari sio wa levo hizi za Africa ni beyond Africa labda Ulaya huko nako pia nina wasiwasi.

    Democrasia iliopo Kenya sisi hata robo yake hatutarajii kuifikia , kwa kizazi hiki cha kipumbavu. Jamaa wako mbali sana kwenye uhuru. Angalia hii habari na piga picha ndio Bongo hii. Hii je? Kenya uhuru wa Habari ni beyond, Tanzania kuna wajinga wanadanganywa kwamba kuna uhuru wa Habari...
  13. JamiiForums Tanzania Yanga wanapitia maumivu makubwa sana juu ya fainali si kwa furaha hii ya muungano cup

    Jamaa hawasemi mdomoni ila moyoni wanaumia...si wachezaji..viongozi mpaka mashabiki wao...Angalia walivyoshangilia baada ya kuitoa zimamoto kwa mikwaju ya penati ni ushangiliaji wa maumivu na msongo kwa kutaka kuikoga Simba ambayo ipo kimataifa. Ushauri yanga wekezeni kwenye ubora wa kiufundi...
  14. A

    JamiiForums Tanzania Mimi na mke wangu tunasumbuliwa na magonjwa tangu tumefunga ndoa

    Habari wakuu mimi nimetoka kufunga ndoa sio muda mrefu ni mwezi wa 11,hivyo baada ya kufunga ndoa kuanzia mwezi wa kwanza hivi nimeanza kuumwa na maradhi ambayo siyaelewi mara damu nyingi,mara kuumwa kichwa kesho naweza kuumwa na homa au mara nyengine naumwa na maradhi ata sijui nini naumwa...
  15. JamiiForums Tanzania Hii kesi niiendesheje ili kunufaika na shambulio hili

    Wasaalam wakuu, usiku wa jumamos nilitoka kwenda kuchek gam ya Madrid na Barcelona huku nikiwa natumia Moja baridi Moja moto baada ya game nikawa narudi home wakati nipo njiani ni main load nilikutana na kundi la watu zaidi ya sita (Police jamii) mda huo skuwafaham walinisimamisha na kunihoji...
  16. JamiiForums Tanzania Hii Tabia ya Watanzania kujishangaa inamaana gani?

    Ukiacha Tabia ya kulaumu bila kutafuta suluhisho. Tena lawama zinazonyonya nguvu ya kiutendaji Kuna Tabia ya kujishangaa. Utasikia, hivi sisi watanzania nani aliyeturoga? Kwa nini sisi ni wajinga hivi? Hii nchi ngumu sana? Tatizo letu watanzania ni wapole sana!!! n.k. Matukio kama matatu...
  17. JamiiForums Tanzania Nimesononeshwa sana mpaka leo hii kama nchi tunatafuta mwekazaji wa usd million 27

    Nimeona habari kuna kampuni ya Australia imekuja kuwekeza kwa usd million 27 kwenye migodi ya madini kama nchi tubadilike
  18. JamiiForums Tanzania Nabii Rolinga: Madhara ya kumwaga damu, suluhisho ni kukaa pamoja

    https://youtu.be/gRFTQaTOCUg?si=7yOQzFaQ7gsU5Y8a Rais wetu na mama yetu mpendwa, Dr. Samia Suluhu Hassan, kama Serikali yako ni sikivu na wewe mwenyewe ni msikivu, hebu sikiliza sauti hii ya mtume wa Mungu. Kwa imani yako kama Mwislamu unaye mwabudu Allah, naomba utafakari ushauri huu wa...
  19. JamiiForums Tanzania Kwa misururu hii ya Miradi iliyotekelezwa na inayotekelezwa hata kama Bwana Tundu Lissu atakuwa mwenyekiti wa INEC bado Rais Samia ataibuka mshindi

    Sikilizeni Wapinzani, Naomba mfanye utafiti mdogo tu ili muamini kwenye uchaguzi wa Oct 2025 hakuna wa kupambana na Rais Samia, Fanyeni hivi, Piteni kwenye kila Kijiji kwenye vijiji vyote 12,333 kama hamtakuta mradi wowote wa maendeleo ulianzishwa ndani ya miaka hii minne ya Rais Samia...
  20. JamiiForums Tanzania Kwanini busara isitumike kuweka sawa hali hii?

    1. Tunachangamoto ya kibiashara baina yetu na malawi, inashindikana vipi kuweka hali hiyo sawa ? Sio busara kabisa kukomoana ili hali wanaoumia ni wenye mazao na maskini. 2. Kesi za mahakamani zinazoendelea kama mahakama ni chombo huru kwa nini kinaingiliwa na vyombo vingine ? 3. Bunge sasa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…