hii

King Kuok "Mimi" Hii (born 23 December 1969) is a chemist whose fields of research include application of catalysis to organic synthesis. She is the Director of Imperial College London's Centre for Rapid Online Analysis of Reactions (ROAR).

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania KAMA UNATAMANI KUJENGA GOROFA YA BEI RAHISI BATI USIHANGAIKE HII HAPA INAKUFAA 3BEDROOMS DESIGNS PLOT SIZE 15X20M (WALE WENYE PLOT NDOGO PIA )

    LOOKING FOR GOOD HOUSE DESIGN CALL US +255624004650
  2. JamiiForums Tanzania Ofa hii ni maalumu kwa maafisa ubashiri tuu..

    Weekend ya Leo nahitaji unipe mechi ngumu mno kutabirika. Nami nintaitolea utabiri wake hapa hapa hadharani Kwaushahidi wa kila mtu. Tuma mechi hiyo kwenye comment chini👇👇👇👇👇
  3. JamiiForums Tanzania HII NYUMBA KILA MTU ANAUWEZO WA KUIJENGA 2BEDROOMS, LOUNGE,DINNING ,OPEN KITCHEN AND STORE CALL US 0624004650

    SIMPLE AND AFFORDABLE HOUSE HII NZURI SANA KUANZIA MAISHA TUNAPATIKANA DAR ES SALAAM DESIGN AND CONSTRUCTION SERVICES 0624004650
  4. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Wauza nyama Mtwara wanatumia spray za kuua wadudu mabuchani kuzuia nzi, mamlaka ziingilie kati

    Habari wadau hili suala nimelivumilia ila nimeshindwa kulingana na masuala ya afya Wauza mabucha wa Mtwara wakitaka kufunga bucha wanafanya usafi wa kudeki. Kisha wanachukua spray ya kuulia WADUDU kama rungu au hit wanapuliza. Kisha wanafunga. Nasema hili sababu nimeliona kwa macho yangu...
  5. C

    JamiiForums Tanzania Naomba ufafanuzi juu ya umiliki wa hii ardhi

    Habari wanajf! Jamaa alikuwa anamiliki kiwanja. 2022 Akaenda ofisi za Ardhi kwa lengo la kupima kiwanja chake, baada ya vipimo akaanza mchakato wa kuomba hadi, kabla hajafanya malipo kwa ajili ya hati akapata dharura na kusafiri ambapo alirudi mwaka huu, amekuta kile kiwanja chake tayari kuna...
  6. JamiiForums Tanzania Kwenu BRT, sababu ya kampuni yenu kushuka viwango ni tabia ya kupakia idadi kubwa ya abiria inayozidi nafasi za viti vya kukalia (seats)

    Kwenu BRT, sababu ya kampuni yenu kushuka viwango ni tabia ya kupakia idadi kubwa ya abiria inayozidi nafasi za viti vya kukalia (seats) Tafadhali BRT rejeleeni muongozo wa waundaji wa basi zenu. Muongozo unasema abiria waketi katika seats na sio kusimama, vile vile eneo la milango na korido...
  7. JamiiForums Tanzania Barabara ya Morogoro (Ubungo hadi Mbezi) kuna kero ya foleni na hii sio kwa leo tu

    Mvua ambayo imenyesha maeneo mengi ya Dar es Salaam tangu jana (Mei 8, 2025) imesababisha foleni sehemu nyingi, hapa ni maeneo ya Kimara Mwisho, Stop Over hadi Ubungo Kijazi, kuna foleni kubwa na tumekaa hapa kwa zaidi ya saa moja sasa. Hali hii sijui itaisha lini hata kama hakuna mvua kila...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Kwa uhitaji wakung’oa visiki shambani kwakutumia kifaa maalumu.

    Habari wanajamii ninatoa huduma yakungoa visiki mashambani.Huduma hii naifanya kwakutumia kinafaa maalumu, ambapo kwa siku moja nauwezo wakungoa visiki 30 hadi 40. Visiki vikubwa @3,500 vidogo @2,000. Karibuni sana. Mawasiliano: 0719789087
  9. JamiiForums Tanzania Kumbe bado kuna mahali Tanzania hii wanatumia Internet ya 2G, kweli Mama hatukudai

    Naibu Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhandisi Maryprisca Mahundi (Mb.), akijibu maswali yaliyoulizwa na Wabunge mbalimbali kuhusu sekta hiyo, Bungeni jijini Dodoma, Mei 8, 2025
  10. JamiiForums Tanzania Mama anaupiga mwingi 😂😂

    Hospitali hakuna madawa, vitanda wala vifaa tiba Mashuleni hakuna madawati, vitendea kazi, walimu pamoja na vyoo. Vijijini na mijini hakuna maji pamoja na miundo mbinu mibovu ya barabara pamoja na usafiri. Makazini mishahara haitoshi na weledi umepungua kwa kiwango cha lami. LAKINI PAMOJA NA...
  11. JamiiForums Tanzania Photo shoot ya namna hii ni sawa kimaadili?

    Umetoka zako kwenye mihangahiko ya kutafuta pesa, umechoka balaa ukiwa kwenye usafiri unaamua kuingia Facebook kidogo upate kutazama taarifa ghafla unakutana na picha hii ya mke wako na mtoto wako. Je utampongeza mke wako? Ama utalibeba mzima mzima?! Kiuhalisi sidhani kama kuna ulazima wa...
  12. JamiiForums Tanzania Hii sio saa kabisa! Unamke, mchepuko, bado umezaa na mtu tofauti na hao , na bado ofisini unakiMada alikutafutia kazi

    Unamke, mchepuko, bado umezaa na mtu tofauti na hao , na bado ofisini unakiMada alikutafutia kazi . Kuna mwanadada ameolewa akazaa mtoto wa kwanza chotara , mume kuuliza alijibia atakuwa mweusi tu kwa maana kila mtoto anazaliwaga mweupe. Miaka ikapita kama mitatu 3 na mtoto ni chotara bado na...
  13. P

    JamiiForums Tanzania Hii nchi ina wizara ya maji?

    Siyo kwa ukame huu. Mtu unajikongoja unapanga kwenye nyumba ambayo imeinganishwa na huduma ya maji, ila hayatoki. Hii nchi ina wizara ya maji kweli?
  14. JamiiForums Tanzania Nchi hii bila Kanisa Katoliki tungekuwa wapi?

    Wasalaam Juzi nimeona Kanisa Katoliki wamepeleka huduma za afya Kisarawe kupitia Caritas eneo ambalo asilimia kubwa ilionesha lina waislam wengi...walishukuru wanasema tangu uhuru hawakuwa na huduma za afya Wahudhuriaji wengi walikuwa waislamu pamoja na kuwa viongozi wa mradi alikuwa Askofu...
  15. JamiiForums Tanzania Ni wazi kujiondoa kwa G55 kuna ajenda ya siri ya kutaka kuyumbusha chama lakini hii nayo inampigia promo Lissu duniani kote

    Kila mmoja anajua na hata ualaya wanajua Lissu amehamasisha uwepo wa uchaguzi huru na wa haki nchini, sasa anae waelewa hawa G55 aje anieleweshe wanapinga nini ? kwenye mabadiliko hayo na progamu hiyo ya chama. Ukiangalia vizuri hawa G55 wana ajenda ya siri nyuma ya pazia au wametumwa na mtu...
  16. JamiiForums Tanzania Namba ya nani hii?

    Nimepgiwaa na namba + 25509000010000 sijapokea ila nimeshindwa kuitambua.
  17. JamiiForums Tanzania Hivi hii ni kweli au AI?

    Hivi kuku kama hawa wapo AU ni AI? Sasa fanya makadirio yako kupitia calculator iliyopo kwenye tovuti ya www.primaxtz.com
  18. JamiiForums Tanzania Mliofanya biashara ya vifaa vya umeme ? Nipeni DO na DONT za hii biashara

    Najua wengi mmeshafanya hii biashara. Nipeni masharti Nipeni faida Nipeni basara za hii biashara
  19. JamiiForums Tanzania Hapa duniani hakuna mtu mwenye akili na utajiri kunizid kwenye hii karne kuanzia mwaka 2000 mpaka 2100

    Jambo la kufahamu sijisifu wala sina nia ya kudharau watu wengine hapana bali naongea ukweli Wako walionizidi kwenye historia na wako watakaonizidi baada ya miaka 100 kupita
  20. K

    JamiiForums Tanzania Serikali ya nchi hii ni mwanachama wa CCM na inalazimisha raia wote tuwe CCM wale wanaokaidi wanakuwa maadui wa serikali

    CCM wanapita nyumba kwa nyumba kuandikisha wanachama wapya wa kadi za kielektroniki Ajabu ni kwamba hawakuulizi kuwa unahitaji kuwa mwanachama au la Wameandikakisha watu kibao haswa vijiji bila shaka tutasikia takwimu mpya watatoa wakiwa na mamilion ya wanachama Nimepata pia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…