hii

King Kuok "Mimi" Hii (born 23 December 1969) is a chemist whose fields of research include application of catalysis to organic synthesis. She is the Director of Imperial College London's Centre for Rapid Online Analysis of Reactions (ROAR).

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Kuanza leo usiku mpaka Nov ndio tutajua kama nchi hii nayo ina Deep State au namna gani?

    Siasa huwa zinaweza kubadilika ndani ya wiki moja mambo yakawa zilongwa mbali zitendwa mbali. Kutokana na changamoto za miradi ya kimkakati, deni la Taifa, vita ulimwenguni, kubanwa kwa ujamaa na mabepari n.k ngoja tuone uchaguzi wetu utakuwaje? Tutajua tuku kwenye kanuni ipi ya mwendo ya...
  2. JamiiForums Tanzania Kama unahitaji nyumba ya chini yenye hadhi pita hapa uone hii, if you like our work just give us a call +255624004650

    6BEDROOMS CALL/WHATSAP +255624004650
  3. JamiiForums Tanzania Israel yaendelea kuua Wanasayansi na Makamanda wa Iran ndani ya Iran. Hii imekaaje Wadau?

    Inasikitisha sana . Israel hawataki kabisa Iran ije itengeneze tena Nyuklia. Hivi najiuliza wanajuaje hawa jamaa walipo? Na wao Israel wanafanyaje mambo haya ndani ya Iran? Nashindwa kuelewa kabisa. kwa sasa wanasayansi wengi wa Kinyuklia wameamua kukimbia Iran na wanaotafutwa waje kufanya...
  4. JamiiForums Tanzania Kwenye hii video kuna mambo zaidi ya manne kama Taifa tunapaswa kujadili kama agenda kuu

    1. Umri wa mteja (moral decay) 2. Lugha ya mteja,(moral decay) 3. Hali ya uchumi wa mteja( Ugumu wa maisha. 4.Kukithiri kwa biashara haramu ya ngono isiyolipa kodi.
  5. JamiiForums Tanzania Kwa tulioenda shule, hii kauli ya Trump ilikuwa ya mzaa saana kwa Iran

    "TRUMP JUST NOW: “ISRAEL was REALLY HIT HARD. Boy, those ballistic missiles took out a lot of buildings!” ...ikiwa alisema kwa dhihaka (sarcastically), basi ni kweli — ni mzaha wa kejeli kwa Iran, na inaonekana kulenga kubeza au kupuuza mafanikio ya shambulizi la Iran dhidi ya Israel. 🧠...
  6. JamiiForums Tanzania Fuatilia gharama za hii airbnb appartments tunayoendelea kuifanya moshi yenye 2 units each 2 bedroom, high ceiling lounge +255624004650

    🏠 HOUSE DESCRIPTION (2 UNITS) Each unit includes: 🔹 Ground Floor: Lounge, Dining, Open Kitchen, Public Toilet 🔹 First Floor: Family Room with Balcony, 2 Master Bedrooms 💰 COST BREAKDOWN PER PHASE: Foundation – TZS 32,000,000 Wall & Column (Ground Floor) – TZS 15,000,000 Slab – TZS 41,000,000...
  7. JamiiForums Tanzania Watu wa jimbo la Mchinga hii ni kweli?

    Nimeona Mbunge wa jimbo la Mchinga, Mama Salma Kikwete akisema kuwa wana Mchinga wamempa kibali cha maisha cha kuwa Mbunge wao. Maendeleo huko Mchinga yapoje, mpaka wampe kibali kizito hivyo?
  8. JamiiForums Tanzania Panya wamenishinda, kuna dawa kiboko ya kumaliza changamoto hii ya panya?

    Wakuu habari, naomba msaada. Nimechoka kupretend kuwa sina shida, ukweli ni kwamba nimelemewa na panya nyumbani. Nimejaribu kila aina ya dawa — nimenunua dawa nyingi tu zikashindwa, nikaelekezwa ninunue zile zilizochorwa dagaa na panya, nikaambiwa nikiboko — lakini wapi wanakula dagaa bado...
  9. B

    JamiiForums Tanzania Hii staili katika mapenzi huwa inakupa changamoto gani?

    Ni staili moja tamu sana haswa mtoto mkali anapokuwa msafi, na pia uwe wewe peke ako ndio unamchumisha Ebu tuambie wewe inakupaga shida gani hii staili? Ruksa wote wanaume wa kwa wanawake kucoment Staili inaitwa "mbu kauma taqo" 😅
  10. JamiiForums Tanzania Aina ya mansion ambayo ukijenga lazima mtu akipita aulize hii nyumba ya nani – 6 bedrooms mansion +255624004650

    LEO SINA MAELEZO MENGI :D 6BEDROOMS SEBULE 3 BALCONY KAMA ZOTE PLOT SIZE 2000SQM ESTIMATE MPAKA ROOFING 260M CALL/WHATSAP +255624004650
  11. JamiiForums Tanzania Mrisho Gambo jitahidi hii utakayopata ya kiinua mgongo uitumie vizuri kwakuwa haurudi Bungeni umeumiza sana watu

    Mrisho Gambo kwa jinsi ulivyoumiza watu Sana , nakupa huu ushauri huu usiharibu kiinua Mg on go chako kugombea. I hope you gonna shine with another way Nigga.
  12. M

    JamiiForums Tanzania Kwa mstakabali wa Amani ya Simba . Nawaombea washinde leo hii

    Ninasema hivi kwasababu ikitokea Simba ipoteze naona kutakuwa na mtifuano mkubwa sana ndani ya Klabu . Hasira kubwa ya Mashabiki itakuwa kwa uongozi mzima wa Simba. Kwasasa Mashabiki wengi wa Simba walishatoa msimamo wao kuwa hakuna kupeleka timu , hivyo wameutega uongozi wa Simba. Ikitokea...
  13. JamiiForums Tanzania Kwa tunaotaka Mabadiliko Nchi hii tunaombea Simba Agome serious asilete Team uwanjani

    Habari Nisikuchoshe sana msomaji ila niseme hivi watanzania tunaotaka Mabadiliko katika hii Nchi tunaombea leo simba asilete Team uwanjani. WHY? Hii itamvuruga Mama yenu wa kilemba itatuma ujumbe mkubwa sana na atapata kiwewe na ukizingatia ni mwaka huu anahitaji Kura nyingi so atakua na...
  14. JamiiForums Tanzania Sisi je! Tutapataje kupona, tusipojali wokovu mkuu namna hii?

    [Mwz19:1]Malaika wawili wakaja Sodoma jioni; na Lutu alikuwa amekaa mlangoni pa Sodoma. Lutu akawaona akaondoka akaenda kuwalaki, akainama kifudifudi. [Mwz19:2]Akasema, Bwana zangu, karibuni nawasihi mwingie nyumbani mwa mtumwa wenu, mkalale, mkanawe miguu yenu, hata asubuhi mwondoke na mapema...
  15. K

    JamiiForums Tanzania Waisrael weusi wanasema hii habari sio kweli huku wakiumia, sijui shida nini?.

  16. JamiiForums Tanzania Kuna ukweli wowote kwenye hii translation ya wimbo wa vice versa (Madilu system)

  17. U

    JamiiForums Tanzania Nililia niliposoma hotuba hii kutoka kwa Waziri Mkuu wa Israeli Benjamin Netanyahu

    Nililia niliposoma hotuba hii kutoka kwa Waziri Mkuu wa Israeli Benjamin Netanyahu, lakini mwishoni nilisema, "Utukufu kwa Mungu wa Israeli" Hebu tusome pamoja: Bw. Netanyahu alisema: Miaka 70 tu iliyopita! Wayahudi walichukuliwa kwenda kuchinjwa kama kondoo. 🔵 Miaka 60 iliyopita! 🔵 hakuna...
  18. JamiiForums Tanzania Iran wanatakiwa kuwa alert kwa hii Casefire mda wowote kiongozi mkuu anawindwa

    Marekani bado hajafikia lengo hata kidogo wanachohitaji ni Kuondoa Legency ya Ayatollah na kupandikiza Muisrael kwa mgongo wa Demokrasia. Bado Viongozi wa Iran wataendelea kuwindwa kwa namna yeyote. Kilichofanywa ni kupunguza kipigo cha Muiran coz Israel hali ni mbaya sana kama ilivyo kwa...
  19. JamiiForums Tanzania Hii Nyumba nimeijenga Dodoma nzuguni Juni 2025, fatilia ujue gharama tulizotumia

    nyumba ina vyumba 3 vya kulala chumba kimoja master vyumba 2 vya kawaida seble dinning jiko store public toilet nyumba ina mita 11 kwa 9.5 ukitaka tukujengee nichek 0743257669
  20. JamiiForums Tanzania Mbunge wa CCM wa Jimbo lililoko shule hii ,ninaomba Kamati Kuu ya CCM Taifa isimpitishe kugombea ubunge 2025-2030

    Angalieni hii video! Jimbo hili,Wanamdai Samia Suluhu Hassani bila kupepesa macho. CC: Prof Adolf Mkenda
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…