hii

King Kuok "Mimi" Hii (born 23 December 1969) is a chemist whose fields of research include application of catalysis to organic synthesis. She is the Director of Imperial College London's Centre for Rapid Online Analysis of Reactions (ROAR).

View More On Wikipedia.org
  1. K

    JamiiForums Tanzania Poleni wanaharakati poleni wapigania haki poleni wote wenye kupenda kusema ukweli kazi hii imekuwa ngumu mno

    Kazi inapokuwa ngumu SI vibaya kujikusanya na kupeana hope Ikitokea mashambulizi yanalemea upande wako SI vibaya mkarudi nyuma kidogo kwa Nia ya kujipanga upya Wakuu nasema hivi kwa sababu ya Hali ilivyo kwa Sasa chini ya utawala wa rais Suluhu kushambulia kwa kutumia nguvu kubwa...
  2. JamiiForums Tanzania Acheni hii tabia mnakeraa

    Kuna wanaume na wanawake asubuhi wao hawapigi mswaki wala halafu unakuja kazini au upo kwenye daladala unanuka mdomo sana ,. Inakeraa naukifika kazini dah yaani unaweza kutapisha mtu ukiwa unaongea hadi kerooo. Jingine mtu haogi vizuri Ananuka makwapa sana unakaa naye unamvumilia , hadi...
  3. JamiiForums Tanzania Hivi hii tabia ya Babu na Bibi kuwa "wapole sana" kwa Wajukuu zao kuliko walivyokuwa kwangu Mtoto wako ni nini?

    Yaaani hawa Wazee wangu wakiwa kwangu au tukienda kuwatembelea, hawataki kabisaaa niwaguse Wajukuu zao hata kwa kakofi kadogo. Na pia hawapendi niwagombeze Wajukuu Sielewi aiseee hii Softness wameitoa wapi maana walivyonilea miye ilikuwa ni mchakamchaka mno na hata sasa na Utu Uzima huu kuna...
  4. JamiiForums Tanzania PreGE2025 SINGIDA: Ujio wa COVID-19 waigawa CCM vipande vipande. Baadhi ya makada wasema wasubiri 2030, hii 2025 ni ya wenyewe. Ona hii Video

    Mimi sitii neno lolote https://youtu.be/O7SGS4mwTvg?si=hRC-aL9ZSLlf_sub
  5. JamiiForums Tanzania Kitaalamu hii inaitwaje?

    Unamdai mtu pesa yako ulimkopesha mwezi umepita hajalipa anatoa tu ahadi cha ajabu anakuja tena kujieleza shida anataka umkope tena pesa.
  6. R

    JamiiForums Tanzania Lissu siyo mjinga kuamua kujitetea, nadhani Ina maana kubwa kisheria. Soma hii kutoka mtandaoni

    In Tanzania, the right to legal representation is enshrined in various laws and constitutional provisions, and the courts have emphasized its importance in ensuring a fair trial. Any denial of this right, especially if it prejudices the accused, can have serious legal consequences. Denying an...
  7. JamiiForums Tanzania Sina kumbukumbu kama amewahi kutokea Mwanasiasa mwenye akili nzuri na smart nchi hii kama Tundu Lissu

    Mpende mchukie The guy is truly gifted. Huyu jamaa sio wa sayari hii. Sidhani kama Tanzania imewahi kupata mwanasiasa smart na aliyejaaliwa akili kubwa kama huyu. Akiongea. Hata uwe kilaza wa namna gani lazima utamsikiliza na kumuelewa. Akiwasilisha hoja hata uwe unamchukia na haumpendi kiasi...
  8. JamiiForums Tanzania TFF kujiuzulu kwa Wallace Karia ni taarifa za uwongo

    Shirikisho la mpira wa miguu TFF imekanusha taarifa za kujiuzulu kwa rais wa shirikisho hilo Wallace Karia,taarifa ambazo zimesambaa katika mitandao ya kijamii leo asubuhi zilidai kuwa rais ameachia ngazi.
  9. JamiiForums Tanzania Maoni yangu kuhusu Suluhisho la Msongamano wa Magari Jijini Dar es Salaam

    Nimeona jitihada zinazofanywa na wadau katika siku za hivi karibuni kutafuta suluhisho la tatizo sugu la msongamano wa magari jijini Dar es Salaam, ikiwemo hatua ya kufunga kamera za ufuatiliaji barabarani. Hata hivyo, kwa mtazamo wangu, matumizi ya kamera hayawezi kuondoa tatizo la foleni kwa...
  10. JamiiForums Tanzania Hivi hii inawezekanaje? Yaan kila nikijiuliza majibu hayaji hapa sijui nitumie 4 Figure au Mathematical Table?

    Yaan nimepiga calculations zote majibu hakuna, integrals, pythagoras theorems mpaka ma-pai-chart kitu kinasoma bila bila. Na hiio ni Hisabati. Hii inakuaje Wakuu? Hesabu zimegoma kabisa
  11. JamiiForums Tanzania Oktoba linda kura ni kauli mbiu inayoashiria uchochezi na uvunjifu wa amani wakati wa uchaguzi, waliotoa kauli hii wadhibitiwe haraka

    Ni wazi kabisa ACT wazalendo walisaini maadili ya uchaguzi kuelekea uchaguzi mkuu 2025 mwezi October kuonesha kuwa walilidhia kanuni hizo, wanajua kanuni hizo ziliwaelekeza kuwaelimisha wafuasi wao kuwa hawataruhusiwa kuwa na simu eneo la uchaguzi wakat uchaguzi ukiendelea, pia wanajua wazi kuwa...
  12. JamiiForums Tanzania Hata hii Gorofa simple haiwezi ikakushinda. Chini 3 bedrooms alafu juu master bedrooms

    "HATA HII GOROFA SIMPLE UNAONA NI KAZI? 😅 CHUKUA HII!" Chini: 3 Bedrooms za kisasa 🛏️ Juu: Master Bedroom full privacy + Balcony 🌅 Inatosha kwenye kiwanja cha 20x20m tu! 📍 Office Location: Sinza, Dar es Salaam 📞 Call/WhatsApp: +255 624 004 650 🏗️ Mkuzibuilders – Tunajenga kwa Ubora!
  13. JamiiForums Tanzania Tufahamishane kuhusu hii code ya kupiga pesa Facebook

    nishasanuka!!!! Endeleeni ku’gatekeep!! Now ni kudownload hela tu🔥🔥🔥🔥
  14. JamiiForums Tanzania Hii ni ramani ambayo hata mtoto mdogo anajua Iran hakuna mahala anakwenda

  15. JamiiForums Tanzania Wanaosema Demokrasia ya kenya ipo miaka 50 mbele? ndo hii ama kuna ingine?

    https://www.tiktok.com/@254show/video/7515130392211410194?is_from_webapp=1&sender_device=pc
  16. JamiiForums Tanzania Je, bunge litatii amri hii ya mahakama ya rufani?

    Mahakama ya Rufaa ya Tanzania leo imetoa uamuzi katika kesi ya kikatiba ya Rufaa Na. 134 ya Mwaka 2022, iliyofunguliwa na mtetezi wa haki za binadamu, Wakili Onesmo Olengurumwa dhidi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali. Rufaa hiyo ilisikilizwa mbele ya jopo la majaji watatu wa Mahakama ya Rufaa...
  17. S

    JamiiForums Tanzania Faida ya ndoa ni hii kama hujui hili usioe wala kuolewa bakia single tu hustahili

    Habari wapendwa! Taasisi ya ndoa imekumbwa na mitikisiko mingi hivi karibuni kutokana na changamoto mbali mbali! Sababu kubwa inayopelekea hayo yote ni matarajio makubwa ya wenza katika ndoa. UKWELI ni kwamba WANUFAIKA WAKUBWA WA NDOA NI WATOTO Siyo WANANDOA! Wanandoa ni watu wawili...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Nini kifanyike ili kuleta UKOMBOZI wa kweli wa Nchi hii?

    CHADEMA ndo kinara wa harakati hizi za Ukombozi wa Nchi hii. Mwenyekiti, Tundu Lissu yupo mahabusu, chama kimefutiwa Ruzuku, kama haitoshi chama hicho hicho kimepigwa marufuku kufanya shughuli za kisiasa. Nionavyo mimi ni kwamba, kwa mtiririko huu:- 1. Lissu hawezi kuachiliwa leo labda mpaka...
  19. L

    JamiiForums Tanzania Hii Ndio Picha Ya Siku iliyopatikana Mkoani Dodoma iliyovutia na kugusa hisia za Wengi katika Anga la Siasa za Tanzania

    Ndugu zangu Watanzania, Kila siku hukucha na mambo yake ,kila siku hutawaliwa na matukio yake ,kila jua lichomozapo huchomoza na mambo yake na kuzama na mambo yake. kila siku uchao kuna mambo huteka na kuwa makubwa kuliko siku yenyewe. Sasa katika siku ya leo kuna picha ya siku imepatikana...
  20. JamiiForums Tanzania Mitaaa wanayotoka masikini ndo hutakuta kuna Madanguro, vilabu vya pombe, na wauzaji wa madawa hii ipo planned

    Binadamu ni Bidhaa ya mazingira yake . Wazungu walishamsoma MTU mweusi na kujua udhaifu wake kuwa ni ngono, pombe , na madawa bangi pombe na sigara. Unapozungumzia Anasa means is endless shit . So ukimjengea MTU danguro , vilabu vya pombe n.k usitegemee huyo MTU akafanikiwa kwa lolote He or...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…