Hivi wakuu, kuna App inashinda hii kwa kuonesha majengo au maeneo mbalimbali bila kuacha kitu chochote.. hii App nakubali sana na inanisaidia kupima maeneo shambani kwangu kwa Acre/hekta pia nikisafiri nikiwa mji wowote inanifikisha eneo lolote bila kuhitaji Maafisa usafishaji(Bodaboda)
Inapima...