hii

King Kuok "Mimi" Hii (born 23 December 1969) is a chemist whose fields of research include application of catalysis to organic synthesis. She is the Director of Imperial College London's Centre for Rapid Online Analysis of Reactions (ROAR).

View More On Wikipedia.org
  1. Uchambuzi wa Sekta ya AI wiki hii: Udanganyifu, Maendeleo na Changamoto

    Sekta ya Akili Bandia (AI) inakabiliwa na mvutano mkubwa kati ya uwekezaji na ahadi za kiteknolojia ("hype") dhidi ya changamoto halisi za utekelezaji na maadili ("uhalisia"). Mfano mkuu wa hatari hii ni kashfa ya Builder AI, ambapo kampuni ilifanikiwa kukusanya mamia ya mamilioni ya dola kutoka...
  2. DJ wa zamu mida hii Radio One aongezewe mshahara

    Sio kwa ubaya. Yaani mida hii ni mawe juu ya mawe. Sio poa.
  3. Aliyehusika na utekaji nyara na mauaji ya Shiri, Kfir, na Ariel Bibas naye afyekelewa mbali leo hii huko Gaza

    BREAKING: IDF imemwangamiza Kiongozi wa kundi la kigaidi la Mujahidina Brigedi huko Gaza, ambaye alihusika na utekaji nyara na mauaji ya Shiri, Kfir, na Ariel Bibas. Yeye na familia yake wote waliangamizwa. Hakuna mahali pa kujificha. Israeli itawapata wote.
  4. Kizazi cha 80's ni moja ya vizazi vya ovyo sana Nchi hii!

    IGwe! Moja ya vizazi vya hovyo kuzaliwa nchi hii basi ni kizazi cha miaka ya 80's. Hiki kizazi kimejaa kina baba na kina mama wabinafsi wa kupindukia, waoga wote wako humu, machawa wote utawakuta humu, kama ulimsikia jiwe akizungumzia watanzania wanyonge basi alikua anazungumzia hili kundi! ni...
  5. L

    Hii Ndio Picha Bora Ya Siku iliyoteka Mitandaoni na anga la Siasa Za Tanzania. Inatembea mitandaoni kama Upepo wa Baharini

    Ndugu zangu Watanzania, Ni raha na kuna raha kubwa sana pale unapoishi mioyoni mwa watu,pale unapoleta furaha na tabasamu machoni na mioyoni mwa watu,pale unapoonekana tumaini la watu,pale unapoonekana jawabu la matatizo ya watu,pale unapoonekana faraja kwa Maisha ya watu,pale unapoonekana...
  6. M

    Serikali ikianza kukwepa majukumu yake ndiyo huzaa changamoto kama za hii ya dabi ya kariakoo

    Serikali ikianza kukwepa majukumu yake na kukimbilia vitu vya kisiasa visivyo na maana mtu masikini hugeuka kuwa kama mpira wa kona. Mwl Nyerere alishaonya kwenye moja ya hotuba zake za mwaka 1995 kuwa serikali ikiwa corrupt ( serikali ya wala rushwa) watu masikini hawanaa kitu kabisa kwenye...
  7. B

    Mwenye uzoefu wa aina hii ya mahusiano. Mawazo yake

    Mapenzi sio mchezo. Kuna mushangazi mmoja niliingia nao kwenye mahusiano, kwa nia ya kuuoa. Ndoa ilikuwa tufunge nao majira ya kabla ya mwezi 10 kuisha. Navumilia mengi ana badirika kama kinyonga, Leo story kesho ugomvi mala anitishie kuni block , hataki kupokea simu, hajibu sms . Nikikaa...
  8. C

    Kama Unayo Laptop Hii - Dell Latitude 3190 Touchscreen

    Kama unayo Dell Latitude 3190 Touchscreen nipigie tufanye biashara Mashariti: 1. Laptop iwe katika hali nzuri, kama ni mbovu usinipigie tafadhali 2. Uwe Dar es salaam 3. Bei isizidi 280K If you're ready call... Piga: 0658 700 510 na tuma picha kwa WhatsApp kupitia hiyohiyo number . Karibuni!
  9. Askofu Josephat Mathias Gwajima (video): I perform better Katikati ya mawimbi na misukosuko kama hii

    https://youtu.be/et3R9kBTCk0?si=EMC9TylxgoDfmsRO ➡Anasema "...Tulieni, maana mimi kwenye mawimbi na misukosuko ndimo huwa na perform better. Ni salama, nitatoka kwa wakati wa Bwana..."
  10. Diamond ni mkubwa kuliko Chadema.... Mashabiki wa Chadema mtaaibika na hii kampeni yenu

    Nawapa taarifa wafuasi na mashabiki wa Chadema kuwa diamond platnumz ni mkubwa kuliko chama chenu. Naona sasa hivi mnaendesha jaribio la mtandaoni kumzuia Diamond kufanya shughuli zake za muziki, baaada ya kupewa maelekezo na saviour wenu mange kimambi. Haya ni marudio ila kwa kuwa hamnaga...
  11. Simba na yanga pamoja na wasanii wanachelewesha mabadiliko nchii hii

    Nimeona Leo niseme ukweli kama Kuna maadui na hawasemwi katika taifa hili basi ni hawa watatu,Simba,yanga na wasanii( muziki na filamu). Wamekua wakitumika kama silaha ya kuhamisha ajenda muhimu za kitaifa..na mbaya zaidi watanzania wengi wameingia kwenye mfumo. Serikali inawatumia Hawa...
  12. Hii mke akiona atachukulia sisi wote ni mbwa.

    Katika maisha nilikutana na bek3 wengi niliokula na sasa na umri huu yananitokea haya
  13. Kumbe watu mnafaidi namna hii

    Baada ya Twitter X kutopatikana nikaona nitafute jukwaa la kutuliza akili Nimegundua JF Inafaa kuliko Insta Nipokeeni wapwa
  14. Kama unataka taa za nje ziwe zina jiwasha zenyewe giza likiingia tumia hiki kifaa haya wale wa smart house hii inakuhusu

    Kifaa kinachowasha taa pindi jua linapozama au giza kuingia kinajulikana kama Photocell Sensor au Light Sensor Switch. 🔹 Jinsi Kinavyofanya Kazi: ✅ Hugundua mwanga wa jua – Kifaa hiki kina sensor inayotambua kiwango cha mwanga wa mazingira. ✅ Huzima taa wakati wa mchana – Ikiwa kuna mwanga wa...
  15. X

    Elon Musk: "Trump yuko kwenye file la Epstein hii ndio sababu ya msingi haijawekwa hadharani."

    Naona ushosti kati ya Trump na Elon unaelekea kufa vibaya mno. Leo imekuwa siku yao ya kupeana vijembe kupitia kurasa zao za mitandao ya jamii
  16. Angalia na usome hii meme na usicheke

  17. Video: DC Bomboko huku ni Kujidhalilisha, Si kila mtu ni mwoga. Haya sasa unajisikiaje?

    Ni aibu kwa huyu DC hata lugha yenyewe inamchanganya haijui. Anaishia kutishia tu na yupo kwenye paniki mode.
  18. Hivi haya matukio ya namna hii hupangwa na CCM, serikali au wavaa kaunda suit?

    Habari zenu wanaJF wenzangu Leo naomba nianze na matukio matatu yalioanza kutokea katika chaguzi kuu tatu za Tanzania, ili kujua na kufahamu kuwa ni kina nani ambao huwa wanapanga mipango hii kila inapofikia karibu na uchaguzi mkuu wa Tanzania. Mwaka 2015, karibu na uchaguzi mkuu, vyama vya...
  19. I

    Maria Sarungi hii ni propaganda ya kitoto, Tanzania haijaanzisha jeshi la siri la kuua raia

    MARIA SARUNGI: HII NI PROPAGANDA YA KITOTO, TANZANIA HAIJAANZISHA JESHI LA SIRI LA KUUA RAIA Na Nulphin Charles Heche Kupitia kampeni mpya ya upotoshaji iliyoanza Jumatano hii, Maria Sarungi na kikundi chake kilichopo Nairobi wameibuka tena na madai ya kipuuzi yanayodai kwamba Tanzania...
  20. Uchawi hupo hii ni live tukio wala sio sinema.

    Kuna kipindi kinaitwa Easterntv kupitia youtube kikionesha kisa kilianza baada ya jamaa mwenye kipindi kuibua challange ya wapenzi ambaye mwanamke wake kumbe alikuwa anauza watoto na kuwaotoa bone marrow. kama mnaweza kufatilia mtafatilia mwanzo mpaka sasa. Sasa askari wamemtafuta sana ila baada...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…