hii

King Kuok "Mimi" Hii (born 23 December 1969) is a chemist whose fields of research include application of catalysis to organic synthesis. She is the Director of Imperial College London's Centre for Rapid Online Analysis of Reactions (ROAR).

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Hii nchi ngumu kweli, eti mtu kashaliwa kichwa

    Hii nchi ni ngumu sana wadau, eti hapo mtu kashaliwa kichwa Hali ya kuwa alishawahi kuitwa Interview 2 na akafanya. Alafu hawataki hata kupitia tena majina maana wengine walipeleka kwa Hakimu Ila bado wameandikiwa vivyohivyo. Hii nchi ngumu sana inafikia kipindi mtu unawaza Why umezaliwa nchi...
  2. JamiiForums Tanzania Miaka 3 ijayo Dunia ni tofauti kabisa, Rais anaongelea kuongoza miaka 9 ijayo leo hii?

    I mean, nani anajua Dunia itakuwaje miaka 2 ijayo?, USA might have conservative right wing Christian leader, EU watakuwa na priority nyingine hatujui ugomvi na Urusi utaiacha EU na western world katika hali gani, hivyo wanaokupa support leo hii miaka 2-3 ijayo watakuwa na watu wengine kabisa...
  3. J

    JamiiForums Tanzania Msaada: Tafsiri ya ndoto hii

    Usiku wa kuamkia leo nimeota mchumba wangu kachelewa kurudi nyumbani akadai ameogopa kunigongea ningempiga na akaenda kulala dukani kwani aliniaga anaenda kwenye party nikamruhusu Baada ya muda panatokea maaskari na mgambo dukani wakidai wanamuulizia binti anaitwa Saada ambaye inasadikika...
  4. JamiiForums Tanzania Kwa staili hii Simba hatuwezi kuchukua kombe la Caf

    Kwakweli kitendo cha Simba kupigwa na kuruhusu migoli mingi ugenini tunaomba kisiwe endelevu... et kwa kutegemea mechi za nyumbani utashinda. Wanapofanya hivyo kwa stage ya makundi haina noma... ila kwa upande wa robo fainali na nusu fainali litabia hili likiendelea kuingia nusu fainali ni...
  5. JamiiForums Tanzania Inakuwaje Kitambaa Cheupe Sinza kunafurika kila siku?

    Yaani hii sehemu si J3, si J4, si J5, si Alhamis, si Ijumaa, Jumamosi na Jumapili ndiyo usiseme kabisa, yaani eti hata pa kukanyaga hamna, ni nini hiki? Mmechinja mkamtoa kafara hapo au kuna nini jamani?
  6. JamiiForums Tanzania Hii nchi kila siku upigaji unaibuka mpya

    Naona siku hizi utapeli umehamia kwenye kuagiza mizigo na upatu. Hapa utakuta mtu na akili zake anatoa ela halafu baadae anadai kapigwa. Wonders shall never end.
  7. JamiiForums Tanzania Mbowe: Nimetoka Gerezani kwa moyo mweupe. Katiba ni ajenda yetu, Sisi sio magaidi

    MBOWE ANAZUNGUMZA MAAZIMIO YA CHADEMA, ASEMA ALICHOZUNGUMZA NA RAIS SAMIA Sehemu ya nukuu za Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe akizungumza na waandishi wa habari leo Ijumaa Machi 18, 2022: "Leo nazungumza na vyombo vya habari kwa mara ya kwanza baada ya miezi saba na nusu ya kuwa...
  8. JamiiForums Tanzania KIFO NA NDOA: Naomba nichukue nafasi hii kuisifu misingi ya dini ya Kiislamu

    Nikiri wazi Mimi ni mkristo kidanki ndaki, ni mafungu machache ya kwenye biblia yanaweza nipiga chenga. Dini zote mbili za kikristo na kiislamu zilitokea eneo moja , mashariki ya Kati , kile ambacho Biblia inasema na kile ambacho Qur'an inasema ni copyright for more than 80% , waislamu...
  9. JamiiForums Tanzania Mpenzi wangu amefariki, nafikiria kuhamishia kambi kwa mdogo wake

    Katika mishe mishe zangu za kuzifikia ndoto siku moja Niko zangu njiani kuelekea kazini, nikakutana na mrembo ukimtizama huchoki kumuangalia utazan malaika wa zamu Yuko field duniani na Wala sio wa sayar hii. Bas Mimi Kama chochote kitu nikaona sio kesi ngoja niombe namba for further process...
  10. B

    JamiiForums Tanzania Msaada tutani: Mwenye uzoefu na aina ya wanawake ambao wanadai wametingwa na shughuli kila saa

    Hi guys kwenye mahusiano yangu yaliyopita sijawahi kusumbuliwa na wadada wakati wa kutongoza kwa style hii Kuna mdada nlionana naye juzi, nikamwomba namba tuchat akanipa kirahisi, nikamtext jioni hiyo alijibu, shida ni kuwa Kila nikimwomba nikutane nae sehem ya canteen au public place anadai...
  11. JamiiForums Tanzania Hii ndio pesa ya mauzo ya gesi yote iliyogundulika Tanzania mpaka leo 16/03/2022..

    Mpaka leo tarehe 16/03/2022, jumla ya gesi yote iliyogundulika huko kusini mwa Tanzania ni 57 tcf (Trillion cubic feet). Bei ya gesi asilia (Natural gas) kwenye soko la New York Leo 16/03/2022 at 02:50 PM NY time ni 4.7650 USD. Hii maana yake ni kuwa thamani ya gesi ni: 4.7650 USD x...
  12. JamiiForums Tanzania Hii ni siri nawapa wanaume wenzangu Mlio kwenye Ndoa

    Ukiachana na m'push agenda Mr Liverpool juu ya suala la kutokuoa, sisi wanaume tuliopo kwenye ndoa tunahitaji pia kuishi ki'masta sana na uwezo wa kutathmini jambo kwa spidi ya 6G. Pointi ipo hapa... Mke (hasa hasa hawa wake zetu wa kiswahili) akimgombeza dada wa kazi (house girl ) kwa jambo...
  13. JamiiForums Tanzania Wakuu, hii ilikuwa mechi gani? Na Kipa alificha nini golini?

    Salaam wakuu, Mimi sikujua hii mechi ni ya bongo hadi nilipoona bango la Azam. Je, ni Mechi gani? Goli kipa alificha nini golini? Huyo anayekimbizwa ni nani? Kwanini anakimbia?
  14. M

    JamiiForums Tanzania Humprey Polepole atachanja au hatochanja atakapokwenda kuwa Balozi Malawi?

    Baada ya uteuzi huu wa kuwa Balozi kwa nchi ya Baba Askofu Bw Chakwera ambaye ni Mmagharibi kimtizamo. Je, Polepole atachanja au hatachanja? Ni mgogoro wa kidiplomasia au ndio demokrasia itashika hatamu?
  15. JamiiForums Tanzania Nape Nnauye: Tuachane na hii habari ya "Sisi Wanyonge", kauli hiyo inatulemaza

    Hii ni sehemu ya nukuu ya Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye akizungumzia marekebisho ya Kanuni ya Maudhui ya Mitandao ya Mwaka 2020, leo Machi 14, 2022. Msome kisha uniambie tuitafakari hii kauli ya WANYONGE. Watanzania wameanza kuwa wanaongea barabarani...
  16. JamiiForums Tanzania Hii imekaaje, lugha ya Kiswahili kutambulika kama lugha ya Kenya katika apps?

    Moja kwa moja.. Leo katika kuperuzi katika nikakuta adds ya app ya kujifunza kuongea kimalkia nikaamua kuipakua . Nimestaajabu kikivyokuja kipengele cha kuchagua lugha yako unayoitumia Kiswahili kukuta imewekewa bendera ya Kenya wakati Tanzania ndiyo wazungumzaji wa Kiswahili kwa asilimia...
  17. JamiiForums Tanzania Ushawahi kukutana na hii kamati ya Nidhamu? Tuambie ilikuaje!

    Huyo ni.mdudu hatari sana, anaitwa Nyigu. kwa maumivu yake hata Nyuki anasubiri Mara ya kwanza kukutana nae alinipa Komwe la muda mfupi na maumivu ya hatari😅😅 nikimuona naanza safari ya kujihami mapema sana vipi kwako, tupe stori..
  18. JamiiForums Tanzania Gharama ya kupaua nyumba ya ramani hii

    Wataalam na wazoefu maswala ya ujenzi hasa kupaua naombeni msaada kulingana na title hapo juu. Natanguliza shukrani zangu za dhati.
  19. U

    JamiiForums Tanzania Je, unaweza kufanya na mazoezi ya kupunguza tumbo immediately baada ya kumaliza zoezi la kifua?

    Habari zenu wana jf, Nilikuwa nahitaji nipatiwe elimu kidogo juu ya suala hili., Kama unafanya mazoezi ya kifua ukiwa nyumbani yan home workout, je unaweza kufanya na mazoezi ya kupunguza tumbo immediately baada ya kumaliza zoezi la kifua au utakuwa unaharibu utaratibu. Naomba kuwasilisha
  20. L

    JamiiForums Tanzania Mwanaume ukikosa hela, mpenzi wako atachukuliwa mbele ya macho yako

    UDSM, 2010 saa moja na nusu usiku nipo dirishani hall 6 nachungulia dirishani. Ghafla anashuka Dada mmoja kutoka juu ghorofa ya kwanza anakutana na kijana mmoja aliyeonekana amebeba mfuko wanakumbatiana na kwenda kukaa kwenye nyasi. Kijana anafungua mfuko na wote wanaanza kula nadhani ni...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…