hii

King Kuok "Mimi" Hii (born 23 December 1969) is a chemist whose fields of research include application of catalysis to organic synthesis. She is the Director of Imperial College London's Centre for Rapid Online Analysis of Reactions (ROAR).

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania Pamoja na kulamba Asali, Mbowe alaani utitiri wa magari, msafara wa Rais hauendani na kubana matumizi

    Adai ni matumizi mabaya ya pesa za umma. Mwigulu Nchemba auchuna. Mbowe ahoji utitiri wa magari msafara wa Rais ======= Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe amesema utitiri wa magari katika msafara wa Rais Samia Suluhu Hassan hauendani na dhana ya serikali ya kubana matumizi. Amesema...
  2. JamiiForums Tanzania Hawa Wabrazil wa Singida Big Starz si wa kitoto

    Hapa nawacheck naona ligi kuwa ngumu sana kule top 4. Wana nguvu speed, wepesi, control na namna ya ukokotaji wa mpira na zile press ni hatari.
  3. L

    JamiiForums Tanzania Kufunua siri za maendeleo ya miaka hii kumi: Kurejeshea watu anga ya buluu, mawingu meupe na nyota zinazometa

    INTRO: Takriban kilomita 180 mashariki mwa Beijing, mji mkuu wa China, kuna mji unaoitwa Tangshan, ambao ni mji mkubwa zaidi wa chuma katika Mkoa wa Hebei, unaochangia takriban moja ya nane ya uzalishaji wa chuma nchini China. Zamani Tangshan ilikuwa mojawapo ya miji yenye uchafuzi mkubwa zaidi...
  4. L

    JamiiForums Tanzania Kufunua siri za maendeleo ya miaka hii kumi: Zaidi ya watu milioni 9.6 waliohamishwa katika maeneo maskini waanza maisha mapya

    INTRO: Katika vita dhidi ya umaskini, jumla ya watu maskini milioni 98.99 nchini China wameondolewa kwenye umaskini uliokithiri. Miongoni mwao, zaidi ya watu milioni 9.6 wameondolewa kwenye umaskini kupitia kuhamishwa kwenye maeneo maskini na kupelekwa maeneo yenye huduma zote. Utaratibu huu wa...
  5. L

    JamiiForums Tanzania Kufunua siri za maendeleo ya miaka hii kumi: Mabadiliko katika Mto Manjano na Mto Yangtze ya China katika muongo mmoja uliopita kwa mtazamo wa setilai

    INTRO: Mto Manjano na Mto Yangtze ndio mito mama ya taifa la China. Ulinzi wa Mto Mama siku zote limefuatiliwa na mkuu wa China, Xi Jinping. Katika miaka kumi iliyopita, Mto Manjano umekuwa ukifanya kazi ya "ziada" katika masuala ya kuleta mazingira ya kijani, kurejesha ikolojia na kurudi kwenye...
  6. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya2022 Ushindi wa Ruto, Uganda yalipuka kwa shangwe, hii maana yake ni nini?

    Naomba kujuzwa wadau wenye uelewa mpana zaidi. Ugandans are Kenyans are brothers. Ruto is a Kalenjin who are relatives with the Sabiny of Uganda and these people speak the same language. Its the reason you find Kenyan and Ugandan athletes having the same names. The same way the Luos where...
  7. JamiiForums Tanzania Mbunge wa Igalula Venant Daudi Protas, wananchi hawapendi kupewa vitisho

    Ni ukweli mtupu kwamba wananchi ndiyo waliokuajiri. Huwezi kuwatisha na kuwakemea kwenye mikutano yako pale wanapoibuka na hoja zenye mashiko! Jibu hoja za wananchi acha kuwatishia eti utawaweka rumande! Kama huna uwezo wa kujibu hoja za wananchi usifanye mikutano, simple tu! Tunajua umeamua...
  8. JamiiForums Tanzania The Terminal List: Hii ndiyo series yangu pendwa baada ya PRISON BREAK na 24

    Baadhi ya wadau walisifia Sana serial ya money heist nikaona isiwe taabu Acha niitafute nione kama hiyo ladha yake itafanana na prison break na 24 lakini cha ajabu humo ndani ilijaa ujinga mwingi na utoto nikaja na Uzi wangu juu ya hiyo movie ya kifala. Nimeangalia serial nyingi Ila bado Ile...
  9. JamiiForums Tanzania Hii ndiyo Sababu Yanga Kushinda nje ya Uwanja Kama Mashabiki wa Simba wanavyolalama

    ZIKISALIA saa kadhaa tu kabla ya kushuka kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, jijini Dar es Salaam kuikabili Simba katika mechi ya Ngao ya Jamii ya ufunguzi wa msimu mpya wa Ligi Kuu Bara 2022-2023, mastaa wa Yanga wameandaliwa msosi maalumu ili kuhakikisha wanatakata leo. Mbali na kuandaliwa msosi...
  10. N

    JamiiForums Tanzania Kwa pamoja tunaweza: Ratiba ya mechi za kususia za simba hii hapa,wacheze na majukwaa matupu

    Mmeona wenyewe jana hata baada ya poor display na officialy kugeuka kuwa wateja wa utopolo fc kwenye kupokea medali wengine walivyokuwa wanachekacheka kama NDALAKYUYA Hawana cha kupoteza hao wajinga, jana usiku wamegonga konyagi zao, wamelala na malaya zao huku wengine mnaingia nyumbani kwa...
  11. JamiiForums Tanzania Gerson Msigwa, Rais Samia angekuwa na uchungu na wananchi asingekubali tozo na maisha kuwa ghali namna hii

    Vyakula vimepanda bei. Nafaka zinauzwa nje ya nchi na kusababisha maisha kuwa ghali Maisha yamekuwa ghali. Tozo za kila namna zinaumiza wananchi wa chini. Sasa unaleta porojo! 👇
  12. JamiiForums Tanzania Hizi ndio adhabu kama Donald Trump akikutwa na hatia ya kuhifadhi nyaraka za hisi

    Mara baada ya Rais wa zamani wa Marekani, Donald Trump kupekuliwa na maofisa wa FBI katika nyumba yake ya Florida na kudaiwa kukutwa na nyaraka za siri za Serikali kama akikutwa na hatia anaweza kuhukumiwa kwenda jela. Kuna sheria tatu kuhusu makosa ya aina hiyo; Sheria ya 793 iliyopo ndani ya...
  13. JamiiForums Tanzania Teknolojia ya kutumia maji kwenye Injini ipo?

    Habari zenu Wana jf? Kuna swali huwa najiuliza lakini nakosa jibu sahihi,nikaona si vibaya swali/jambo hili Nika wahusisha na ndugu zangu wa humu jukwaani. Jambo lenyewe si geni saana Ni hivi, Kuna TEKNOLOJIA Fulani ya kuendesha mitambo yaani namaanisha injini kwa kutumia maji...
  14. R

    JamiiForums Tanzania Jamani eti "science" hii ya imani ya kimila inafanya kazi? na kama ni inafanya kazi ni vipi?

    Huu ni msimu wa maua ya miembe. Imetoa maua sana huku kwetu. Uzoefu unaonyesha kuwa maua mengi huwa yanadondoka/kupukutika na hivyo kutoshika kutoa matunda ya maembe au yakishika, viembe vidogo huwa vinapukutika chini. Sasa SCIENCE ni hii: Nimekuta mtu yuko very busy shambani kwake anagongelea...
  15. JamiiForums Tanzania Weekend hii unaimalizaje? Manchester amepigwa, simba amepigwa na mkeka wako umechanika!!!

    Naona kana kwamba unapitia wakati ulio mgumu. Hongereni yanga kwa ushindi wa kishindo. Henu fikiria Simba chali Man u chali Mkeka umechanwa na hizo timu huku wewe ukiwa ni shabiki kindakindaki
  16. JamiiForums Tanzania Naipongeza serikali kwa kuanzisha kodi hii ya nyumba na sehemu za biashara kwa wamiliki

    Nipende kuipongeza serekali yetu tukufu kwa kubuni kodi ya upangishaji hasa hasa ikiwalenga wenye majengo ya kimakazi au ya kibiashara hakika hapa kulikuwa na fedha nyingi mno zilizokuwa zinapotea na kulikosesha taifa letu mapato stahili na halali. Ispokuwa ombi langu ni kwamba ingelipaswa...
  17. JamiiForums Tanzania Wananchi wa mikoa ya Nyanda za Juu Kusini tunakupongeza Rais Samia, ziara ya Rais kama hii haijawahi tokea toka uhuru

    Rais Samia akiwa Iringa Kama kumbukumbu zangu ziko sawa, ziara ya Rais Mama Samia Mikoa ya Nyanda za Juu Kusini imevunja rekodi. Sikumbuki Rais aliyezungukia mikoa ya Mbeya, Njombe, Iringa tena kiwilaya na kuimaliza. Kwetu Mbeya Rais kaenda Chunya, Mbeya vijijini, Rungwe na Kyela. Marais...
  18. N

    JamiiForums Tanzania Hizi ndio bei za mbolea ambazo wakulima watanunulia kuanzia Agosti 15, 2022 baada ya bilioni 150

    Utashangaa kiukweli hii inaonyesha ni Kwa namna gani serikali inawasikiliza watu wake hasa katika kuhakikisha inawapunguzia makali wakulima kutokana na hali ya kupanda kwa bei za mbolea katika soko la dunia si Tanzania pekee bali ni ulimwenguni kote. Zipo sababu kadhaa zilizosababisha bei...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Angalia hii video Uhuru alivyo mnafiki

  20. N

    JamiiForums Tanzania Kwani hii 'byuti byuti!' maana yake nini?!!!

    maana mtaani kumeingia kelele zisizo kawaida; kila upitako 'byuti byuti'!
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…