hii

King Kuok "Mimi" Hii (born 23 December 1969) is a chemist whose fields of research include application of catalysis to organic synthesis. She is the Director of Imperial College London's Centre for Rapid Online Analysis of Reactions (ROAR).

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Hii Kauli Ni Sahihi Kutolewa Na Inspekta Wa Polisi: " Tusiruhusu Watu Kula Mchana MwezinWa Ramadhani Ni Mwezi Wa Heshima" !?

    Wakuu Hii Video Sijui Ya Lini Nimekutana Nayo Mtandaoni.. https://www.instagram.com/reel/DVmBxopCM-5/?igsh=Nnp2amUycTVub3Ax
  2. M

    JamiiForums Tanzania Hii ndio sababu ni ngumu kukuta ndoa ya mkinga imevunjika au kusikia mafumanizi

    Sababu kubwa ni kwamba wakinga wengi hupenda kujishughulisha na maduka, kuna biashara nyingi sana lakini mkinga kachagua maduka. Madukani wakinga huwa wanashinda na wake zao, hakuna mke wa kubaki nyumbani, ni team work asubuhi kunapokucha hadi jua linapozama. Mke huwezi kumzuia kuchepuka ila...
  3. JamiiForums Tanzania Nani anaepaswa kuongezwa katika picha hii?

    Nitaanza mimi: CHUCK NORRIS
  4. T

    JamiiForums Tanzania Hii hali ya hewa ya Dar (mvua) imenifanya nipitie upya contacts zangu

    Hali ya mvua, plus ni weekend, utulivu wa kutosha. Nyie huwa mnafanya nini nyakati kama hizi.
  5. JamiiForums Tanzania Nimesikitika sana: Sisi ndio wa kudharauliwa namna hii?

    Waungwana, hii mnakubaliana nayo kweli? Hivi hawa jamaa wanatuchukuliaje!? Kwamba hadi macho madogo wametupita sisi? Kuna mambo ya sisi kuwa nyuma, sio hili, nimekataa!!! https://x.com/Globalstats11/status/2030202522074497522?s=20
  6. JamiiForums Tanzania Kuna mradi mpya bongo awamu hii ambao haujapewa jina la Samia?

    Leo nimesikia tangazo la Samia Land clinic, mradi kwa ajili kutatua matatizo ya ardhi. Kuna Samia cup, Samia Stadium, Samia SGR Station, Samia this Samia that... Kuna mradi mpya utaanzishwa usipiwe jina lake awamu hii? Vipi kuhusu Samia Airport?
  7. JamiiForums Tanzania Mossad wamehack simu za wanajeshi na wanausalama wa IRGC na hii ndio meseji wanaowatumia mara kwa mara

    "Silaha zenu hazina thamani dhidi ya mashambulizi yetu ya anga. Mnakufa katika mapigano ambayo tayari mmeyapoteza. Makamanda wenu wamewauza. Wanajificha katika anasa, wakichukua pesa walizoiba, huku nyinyi na familia haziambulii chochote bali makaburi" Castle_Lite mcTobby
  8. JamiiForums Tanzania SI KWELI Taarifa ya TAMISEMI, ikiwataka watumishi wakabadilishe majina

  9. JamiiForums Tanzania Kumbukeni hii vita sio ya US/Israel dhidi ya Iran bali ni dhidi mamlaka ya kigaidi ya Iran/IRGC

    Iran ni ya waajemi na sio ya utapeli wa itikadi kali.
  10. JamiiForums Tanzania KERO Idara ya Uhamiaji Arusha unaomba Pasipoti leo unaambiwa usubiri miezi mitano au 6, inaumiza sana hii!

    Ofisi ya Idara ya Uhamiaji Mkoani Arusha mnatuumiza sana, pasipoti unaomba Januari unaambiwa usubiri Miezi 5 mpaka 6 sababu foleni ni kubwa. Mara karatasi za ku-print zimeisha au kuna Maafisa wanakwambia utoe laki wakusaidie ku-push upate pasipoti kwa haraka. Kuna nini kinaendelea hadi...
  11. JamiiForums Tanzania LOOSE BALL: Kama wewe umewahi kukutana na Loose Balls pitia hapa. Dondosha kisa chako hapa

    Haya tuambie kwenye pitapita zako ulipokutana na Loose Ball nini kilikupata au ulifanyaje?. NB: Loose Ball ni kitendo au tukio ambalo linatokea kwenye uwanja wa Basketball sasa kuna kipindi mpira huo unakua hauna mtu wa timu yeyote anaeumiliki yaan unazagaazagaa tu uwanjani yeyote anaweza...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Paschal Mayalla: Mwigulu Nchemba hakufurahia Majaliwa, Warioba na Pinda kushangiliwa kwenye mazishi ya Kardinali Pengo

    "Na nikamsikia jana mheshimiwa Waziri Mkuu akisema mimi sibabaiki mambo ya kupendwa na kushangiliwa, mimi sifanyi vitu ili nishangiliwe...yaani hiyo maana yake kwa sisi wanasaikolojia ina maana aliumia, yaani mtu anashangiliwa, Waziri Mkuu mstaafu halafu mimi nipo sishangiliwi! yaani sasa ili...
  13. JamiiForums Tanzania Kwa madudu ya Epstein files, bado unaamini Israel ni taifa teule?

    Kwa ule uchafu wa Epstein's file bado kuna mjinga anaamini Waisrael ndo taifa teule? Jeffrey Epstein ni mteule? Trump ni mteule? Netanyahu ni mteule? Cha kufurahisha hizo files hakuna Kiongozi wa Iran hata mmoja, hayupo Saddam wala Gadafi, Wala Putin Wala Xi jinping, wala Maduro wala Fidel...
  14. JamiiForums Tanzania Huduma za kutengeneza website kwa uharaka – siku 3 tu!

    Habari wakuu, Natoa huduma za kitaalamu za kutengeneza website kwa biashara, taasisi na miradi mbalimbali. Ikiwa unahitaji website ya haraka, inayovutia na inayofanya kazi vizuri, hii huduma ni kwa ajili yako. ✅ Website yako itakuwa tayari ndani ya siku 3 tu ✅ Inafaa kwa biashara ndogo...
  15. JamiiForums Tanzania Hii Serikali nimeikubali. Nchimbi tu ndo haiwezi hii kasi ya wenzie

    Ukikoswa koswa kuchambwa na samia unaangukia kwa mwigulu. Huyu anachamba balaa kama dada yake tu. Naona anayetia Doa ni Nchimbi huyu naona anaongea kwa utulivu mkubwa sana Samia ni kiboko kwa kuchamba anakuchamba mpaka unakufa. Ukija Dar unakutana na Chalama naye mchambaji hawa nasikia wanakaa...
  16. JamiiForums Tanzania Wachawi wa nchi hii naombeni msaada wenu

    Kila nikiwaza hatima yangu na ya taifa langu naona njia nyingi haziwezi kutuletea suruhu Mfano njia za Kisayansi/teknolojia Sisi kama taifa bado tupo nyuma sana hatuna mbinu Bora za kisayansi za kutuwezesha kutatua changamoto zinazotukabiri, Kisiasa/kidemokrasia Kwenye siasa naona...
  17. JamiiForums Tanzania Hii vita mpya mitandao inatuchanganyia na AI

    Nafuatilia kwa karibu sana mitandaoni hii vita vya Iran marekanani na Israel.. Ni wazi sasa propaganda imehamia kwenye AI kwa asilimia 100 Video zinazorushwa kina AI nyingi sana mpaka kuna baadhi unashindwa kutofautisha halisi na feki Lakini pia ni mwanzo wa vita ijayo itakuwa ni laser war tupu...
  18. JamiiForums Tanzania Umewahi kukutana na Hali kama hii

    Kuna Ile umemtembelea mgonjwa halafu baada ya muda kidogo anakwambia nifatie maji ya kunywa Ile unatoka tu kurudi unakuta mtu hauko nae Tena Je umewahi kukutana na Hali ya namna hiyo ni machungu kiasi gan ulipitia Na je ulichukua hatua gani
  19. JamiiForums Tanzania Hivi kwanini hii dharau ina kuja automatically?

    Why ukisha mvua nguo tu mwanamke ukitoka njee ya kile chumba una kua una mdharau una mchukulia ni mtu wa kawaida sana ata kama uli angaika kumpata? Hii ni kwangu tu au
  20. JamiiForums Tanzania Week hii imechangamka ghafla sana. Huku Israel na Irani wanadundana, ukiangalia kule Pakistan na Afghanistan napo pamoto.

    Warmongers msiishiwe mabando tu ila kazi kwenu😂😂
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…