hii

King Kuok "Mimi" Hii (born 23 December 1969) is a chemist whose fields of research include application of catalysis to organic synthesis. She is the Director of Imperial College London's Centre for Rapid Online Analysis of Reactions (ROAR).

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Uzinduzi wa nishati safi unaofanywa na wanasiasa unaleta maswali muhimu kuhusu usimamizi na utekelezaji wa miradi hii

    Uzinduzi wa nishati safi unaofanywa na wanasiasa unaleta maswali muhimu kuhusu usimamizi na utekelezaji wa miradi hii. Utangulizi: Hapa kuna ufafanuzi wa maswali yako: 1. Wanasiasa walisomea wapi kazi ya nishati safi? Wanasiasa wengi hawana ujuzi wa kitaaluma katika nishati safi, lakini...
  2. JamiiForums Tanzania Baba mwenye nyumba nimempa hifadhi ya kulala lakini ananipa mashariti kibao

    Mimi nikijana nimepanga geto sasa hapa hii nyumba ina vyumba vitatu tuu kimoja na kama mm bachela kingine anakaa mwenye nyumba na mke wake kilichobaki anakaaa jamaaa pia mpangaji kaoa sasa Ishu iko hivii huyu mama mwenye nyumba katembelewa na rafiki yake wa kike sasa akaniomba mimi nilale na...
  3. JamiiForums Tanzania Atakayeona picha ya Bashite kwenye video hii, atueleweshe alipo!

    Iangalie hadi mwisho!
  4. JamiiForums Tanzania Ukiota ndotoni upo na Mheshimiwa Rais - hii ina maana gani?

    Mnaojua kutafsiri ndoto, hii ndoto ina maana gani?.
  5. JamiiForums Tanzania Jumatatu ni siku nzuri ya kuvaa mavazi meupe, kuelekeza nguvu zako za kike, na kufanyia kazi hisia, nguvu za kiakili na hali ya kiroho

    🚨🚨WAPENDWA HII NI TAHAJUDI YA JUMATATU NAOMBA MZINGATIE🚨🚨 👉Jumatatu ni siku nzuri ya kuvaa mavazi meupe, kuelekeza nguvu zako za kike, na kufanyia kazi hisia, nguvu za kiakili na hali ya kiroho. 👉Malaika ni Gabriel 👉Chakra: root chakra 👉Nambari: 9 👉Kipengele: Maji 👉Rangi: Mpya: Nyeupe...
  6. JamiiForums Tanzania Je, kwa hii kauli ya Papa, ameruhusu au amekataza ushoga??

    Hivi karibuni Vatikani imeidhinisha wanaume mashoga kuwa mapadre iwapo wanaume hao watakuwa hashiriki tendo la ndoa. Ingawa kanisa hilo halikuwahi kukataza wapenzi wa jinsia moja kuwa mapadri, mwaka 2016 Vaticn ilikataza wanaume wenye tabia kama hizo kuwa viongozi au mapadri...
  7. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Hili la majina yanayofanana kwenye nyaraka zote usaili wa Walimu, ni mpango wa Serikali kujipatia pesa

    KUHUSU USAILI WA WALIMU Inasemekana kuwa wanatakiwa kuwa na documents zenye majina yanayofanana. Hii inamaanisha kuwa vyeti vya taaluma na vile visivyo vya taaluma vifanane majina. Yaani kama cheti Cha kuzaliwa kina majina full pasipo initial na vya taaluma view vivyo hivyo. Sasa concern yangu...
  8. JamiiForums Tanzania Watu wa Dar es Salaam, hii tabia ife

    Tabia hii ife kabisa msiwe mnajimaliza sana kwanini lakini Grahams Half american Zulu man MENEMENE TEKERI NA PERESI De Opera Gily Gru Labella Monetary doctor Fake P
  9. JamiiForums Tanzania Je hii inawezekana ina ukweli?

    Nimekutana na mdada mmoja Mbeya town anashawishi watu kujiunga na mfumo wa (FIC) Financial Intelligence Centre Hii unaweka hela inakuwa inaongezeka kila siku kwa kubet kinyume, nimeshituka kidogo nimewaza kina kynda na qnet walivyoliza watu Sasa sijui serikali inajua kinachoendelea maana...
  10. JamiiForums Tanzania Video: Utamuweza vipi mwanamke wa namna hii?

    Ukiangalia bila kutafakari unaweza kuchukulia poa sana lakini ukweli ni kwamba mwanamke wa namna hii ukimuweka ndani lazima UTAIMBA WIMBO MPYA KABLA HUJAFIKA MBINGUNI. Hapa unashindwa kuelewa kwanini huyu mwanamke katoa nywele zake nzuri na kuweka wifi(fake) na Bado akaonekana kufurahia kabisa...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Hapa Mbowe Lissu umemuweza sana

    Mbowe kasema uchaguzi utakuwa live TV zote za duniani zinazotaka kuja zitaingia ukumbi wa uchaguzi 1. Wajumbe kuhakikiwa live 2. Kura kupigwa live 3. Matokeo kuhesabiwa live 4. Mshindi kutangazwa live 5. Mshindi kuhutubia live 6. Mshindwa kuhutubia live Haya yote watashudia wanachama wa chadema...
  12. JamiiForums Tanzania Natafuta mke mwenye sifa hii muhimu

    Umri kuanzia miaka 22. Elimu form four na kuendelea. MUHIMU awe ana uzoefu wa kulima kwa jembe la plau linalovutwa na ng'ombe. Angalia picha kwa ufafanuzi zaidi.
  13. Y

    JamiiForums Tanzania Mwenye uzoefu soundbars aina ya SKYWOOD, 470 Watts naombeni ufafanuzi

    Kuna soundbars aina ya SKYWOOD, 470 Watts naiona katika matangazo katika social media tofaut tofauti Mwenye uzoefu na aina hii ya mziki alete uzoefu wake Binafsi napenza mziki mnene uliochujwa vp huu unafaa ili niagize?
  14. JamiiForums Tanzania Sitokaa nisahau hii siku niliona rangi zote daah ogopa kifo

    Kwema wakuu Kuna kisa cha kweli kabisa kilichonitokea April 2023 yaani hii siku bana sitoka niisahau mpaka nife. Ipo hivi nilikua nina kidemu changu kinasoma Ushirika Moshi mwaka wa pili sasa mimi nipo Dar aisee kila siku analalamika kuwa ame ni miss nikamuambia nakuja mama akafurahi sana...
  15. JamiiForums Tanzania Hivi hii ya wanawake wazuri kuwa single kwa sababu ya uzuri na kwa wanaume ipo?

    Katika dunia ya sasa ambayo mapenzi ni kama game play, watu wanaingia kwenye relationships wakiwa na kipima joto, wasiwe na mtu atakaye waumiza, or asiwe juu sana or chini sana based on expectations alizo jiwekea yeye. Ongezeko la wanawake walio single, linazidi kuongezeka. Let alone wao jamii...
  16. JamiiForums Tanzania Unakumbuka nini ukiona hii picha na ulikuwa mwaka gani

    Tuadhie vitoto vya 2000 huyu jamaa alikuwa anaitwa nani na mambo yake yalikuwaje😂😂😂😂
  17. JamiiForums Tanzania Keybord Worrior wa Lisu, mida hii mlipaswa kuwa Centra mnakinukisha Dr Salaa aachiliwe.

    Keybord Worrior tuko wapi mida hii tulipaswa kuwa Centra? Dr Salaa mmoja wa Campiagne manager Lisu kamatwa. Au tunakinukishia humu?
  18. JamiiForums Tanzania Safina ya Nuhu ilibeba viumbe hai zaidi ya Milioni Saba. Hakuna Teknolojia ya namna hii kuja kutokea namna hii

    Miaka zaidi ya elfu 2 imepita sasa toka gharika iukumbe Ulimwengu.. Nuhu alitengeneza Safina, Chombo kilichobeba Viumbe hai, jinsia ke na me zaidi ya milioni saba mpaka sasa hakuna Mwanadamu anayeweza kutengeneza Kifaa kama Safina ya Nuhu.. Hayupo! Hakuna meli, boti wala jahazi lenye uwezo...
  19. JamiiForums Tanzania Unadhani ni kwanini uchaguzi wa chadema wa mwaka huu ni baina ya wanaokusudia kuibomoa chadema dhidi ya wanaokusudia kuijenga na kuimarisha chadema?

    Ni wazi kuelekea uchaguzi wa chadema ngazi ya Taifa, kuna wagombea wasio wazalendo, makuwadi wa mabenyenye ya magharibi, wanaokusudia kuigawanya, kuisabaratisha na kuipoteza kabisa chadema kwenye medani ya siasa kwa makusudi, kwasababu za tamaa zao, ubinafsi, uchu wa madaraka na vyeo, unafiki na...
  20. JamiiForums Tanzania Tunga sentensi yeyote kuhusu hii picha.

    😃😃😃😃😀😀😃😃
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…