hii

King Kuok "Mimi" Hii (born 23 December 1969) is a chemist whose fields of research include application of catalysis to organic synthesis. She is the Director of Imperial College London's Centre for Rapid Online Analysis of Reactions (ROAR).

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Hali halisi ilivyo Ajira portal: Hii ndiyo serikali ya CCM inayojinasibu kumwaga ajira kwa maelfu ya wahitimu

    Katika maelfu na maelfu ya wahitimu walipo mitaani, Serikali haina nafasi hata moja ya kumuajiri mhitimu wa Accounting? Pamoja na wingi wa wahitimu hususan vijana, serikali imeamua kuwafungia vioo vijana Gen Z! ina maana Serikali nzima, pamoja na thinktank zake imefeli kabisa kuokoa taifa la...
  2. JamiiForums Tanzania Hii misemo ya kijamaa imepotelea wapi ndugu zangu?

    Maisha ya zamani ilikuwa raha tupu:- ''Ingia bandani kamata kuku wawili tuchinje'' ''Ingia shambani vunja mahindi tuje tuchome'' ''Chemsha kahawa hapo jikoni ulete tunywe huku ukinihabarisha habari za huko nyumbani'' ''Hadithi hii inatufundisha nini wajukuu zangu?'' Nyakati hizi huwezi...
  3. JamiiForums Tanzania NAFASI YA AJIRA: Kijana Mwenzangu Chukua Mkopo wa Kusambaza Nishati Safi ya Kupikia mijini na vijijini (Ni fursa kubwa sana hii)

    FURSA KUBWA KWA WAJASIRIAMALI NA WAFANYABIASHARA! Benki ya NMB imetenga Shilingi Bilioni 100 kwa ajili ya Mikopo ya Miradi na Biashara za kusambaza Nishati Safi ya Kupikia kwa Watanzania. SIFA ZA MKOPO: ✔ Riba nafuu ya 1% kwa mwezi (12% kwa mwaka, reducing balance hivyo effective interest...
  4. JamiiForums Tanzania Hii Radio ilikuwa ukisimama yashika stations zote ukiketi Hazifanyi ...na battery zikiisha Unaskia chwiiih tutuh sound

    Hii Radio ilikuwa ukisimama yashika stations zote ukiketi Hazifanyi ...na battery zikiisha Unaskia chwiiih tutuh sound
  5. JamiiForums Tanzania Must see Movies

    - Seven Pounds Official Movie Trailer HD
  6. JamiiForums Tanzania Kitenge aigeuka DP World? Hii Nukuu yake inafikirisha

    Hii ni Nukuu kutoka kwa aliyewahi kuwa Waziri Zambia. Bw. Kapwepwe. Ingawa yeye Kitenge kwa kuwa ni bwege hajaweka kama nukuu. Yaani kajifanya kama ndo yeye kaandika. Sisi wajuvi tunaelewa. Ilisemwa na nani.
  7. R

    JamiiForums Tanzania Lissu, Leo Dkt. Slaa ni rafiki yako, unakuwa mwepesi wa kusahau au ni unafiki kwa vile alikuunga mkono dhidi ya Mbowe? Jikumbushe kidogo

    Unakumbuka kauli hii ya Slaa alipokuwa mpambe wa Magufuli? - Dkt. Slaa: Tukio la Tundu Lissu kupigwa risasi na watu ‘wasiojulikana’ ni jambo la kawaida https://www.youtube.com/watch?v=ajFGQ0wQdOk
  8. K

    JamiiForums Tanzania Nategemea hii ndio itakuwa story ya mwisho kuileta humu kumuhusu huyu mwanaume

    Habari zenu wana JF Nimekuwa nikileta story ya huyu mwanaume ni kama huu ni uzi wake wa 4 ama wa 3 nikihitaji ushaurii kuhusu mahusiano yetu mimi na yeye.. ninafikiri Leo Hii ndio itakuwa mara ya mwisho kumjadili humu na maamuzi nitayafaya kupitia huu uzi wa Leo Hii ( kuachana ama kubaki nae )...
  9. JamiiForums Tanzania Watoto wa 2000 wanadhani hii ni cake

    Watoto wa 2000 wanadhani hii ni cake
  10. JamiiForums Tanzania Hali hii tunaita ni upweke au uhuru

    Kutoka kwenye msemo wa Charles Bukowski "Ukiwa hauna mtu anayekuamsha asubuhi, hakuna anayekusubiri usiku, ukiwa unafanya unachotaka huu tunaita ni upweke au uhuru"
  11. JamiiForums Tanzania Asikudanganye mtu! Rafiki wa kweli katika dunia hii ni hela (pesa/money)!

    Ukipata hela umepata vyote! Ukikosa hela umekosa vyote! Kosa vyote lakini kamwe usikose njia za kupata hela na kuimudu hiyo hela ikae na wewe! Akili kubwa kuliko zote ni jinsi ya kuipata hiyo hela na kuifanya ikae na wewe. Ukishinda huu mtihani basi kila kitu utakachokitaka katika dunia hii...
  12. JamiiForums Tanzania Ila madalali bwana, sasa hii ndio nyumba ya milioni 35

    Ila wabongo, aya bwana.
  13. M

    JamiiForums Tanzania Bei ya gesi ya kupikia kupungua bei ili kuchochea Matumizi ya Nishati Safi

    Serikali imejikita kuhakikisha inapunguza bei ya mitungi ya gesi ya kupikia na kutoa ruzuku ya asilimia 20 ya mitungi hiyo Ikiwa ni sehemu ya kutekeleza Mkakati wa Taifa wa Matumizi ya Nishati Safi ya Kupikia kwa mwaka 2024-2034. Naibu Waziri wa Nishati Judith Salvio Kapinga amesema hayo...
  14. JamiiForums Tanzania Kweli Congo imelaanika, hata askari mwenyewe anaiba (loot) kwenye duka analopaswa kulilinda. Tazama video hii.

    https://youtu.be/CC6XA5sI2ds?si=c7E0JJ-KkqyzA3JH
  15. R

    JamiiForums Tanzania Uhuru wa Mahakama: Mahakama yasitisha amri ya Trump ya kuzuia uraia wa kuzaliwa Marekani

    UHURU WA MAHAKAMA Kwako Ibrahim Juma , CJ. MH. JAJI MKUU NAOMBA UPITIE UONE KAMA KUNA HAJA YA KUIGA MFANO HUU WA MAHAKAMA HURU Jaji wa Mahakama ya Wilaya ya Marekani, John Coughenour, ametoa agizo la muda la kusitisha utekelezaji wa amri ya Rais Donald Trump ya kufuta uraia wa kuzaliwa nchini...
  16. JamiiForums Tanzania Realmamy ahsante kwa hii dinner date. Nimeenjoy sana stori na wewe

    realMamy . Picha bora sana hii tuliopiga ngoja niweke status. PSL god min -me Poor Brain achenni mazoea na mammii
  17. K

    JamiiForums Tanzania Hii si sawa Nembo hadi kwenye Soksi!

    Habarini Wana JF, Leo mwanangu katoka shule jioni,Ananiambia baba waalimu wamesema kesho twende na Hela ya Nembo kwenye Soksi!Najiuliza maswali,kama ni utambulisho wa mwanafunzi,nani anamacho makali kama darubini ya kusoma Soksi huyu ni mwanafunzi wa shule ya msingi Kisasa _Dodoma? Soksi hiyo...
  18. JamiiForums Tanzania Pitia video hii, ili ujifunze taratibu na Sheria za kuingia na ukuli wa Moshi Mjini.

    Karibu!
  19. JamiiForums Tanzania Ndugu zetu wetu wa pwani hii aina ya ukataji viuno wa mabinti ilikuwepo tangu enzi au sasa imekuwa re-generated hadi kupitiliza?

    Kwa sisi tutakao nangoromboko vitu kama hivi tumekuwa kuviona huku kwenu. Mtundiko, baikoko, etc ni design ya ngoma zipatikanazo maeneo ya pwani, zimekuwa na maudhui ya wanawake kukata viuno hadi inakuwa "18+". Sasa sijui ni mabinti wa siku hizi wameongeza manjonjo hadi kupitiliza au tangu...
  20. JamiiForums Tanzania Hii picha ya mzee baba huwa inanifikirisha sana!

    Alafu huyo aliyekuwa anamsikiliza aliyekunja viganja sijui alikuwa anamletea umbeya gani? 😏
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…