Wana Mungu jf ,amani ya Bwana ikawe juu yenu.
Nyie mliopata viti kwa hila , sio mda wa kuleta drama ambazo hazina msingi, bila kujali wewe ni nani utakufa kwa mateso makubwa sana , leo ati mtu yupo pale kwa hila alafu unajitutumua , Taifa lazima lishinde kwa hila za kipuuzi ,tueshimiane , hili...
Kuna rafiki yangu ni taifa ambao wamenyooka sana kwenye elimu sana na matendo yao.
Wanacho kwambia kama umetaka kufanya usilete kuchanganya pande mbili kuonesha kama sio wewe.
Leo hii kwa kiduku inajulikana maamuzi yake ila wananchi wengi wameshaamua kama ikitokea uwezi wanaweza kuondoka na...
Wakuu,
Tunaendelea pale tulipoishia Shekhe anatoa hoja zake kwa Baraza la Maaskofu TEC, Padre Kitimana Mange Kimambi
Hoja za Sheikh
- Kwani Kitima ni nani? Maana anafanya mambo utafikiri ni Waziri Mkuu
- Halafu hawa TEC wanatakiwa wajue hii nchi sio ya kwao
- Kauli za Kitima hazitofautiani...
Pale Kamsisi kama sijakosea ukiwa unatokea Tabora au Mpanda karibu na mzani Kuna Beria pale.
Jana tulisimamishwa akaingia askari uhamiaji mwenye asili ya kihutu completely yaani huulizi mara2
Etii kaanza kunihoji kuhusu vitambulisho nilimuambia Sina kitambulisho hata kimoja nimesahau...
Kuna swali najiuliza daily maze… hivi tuko na wasomi wangapi kwenye hii nchi? Yani unaweza kuangalia youth wa Bongo, watu wamesoma mbaya, wako sharp, wako ready kufanya kazi, lakini guess what? Hawa jamaa hawajawahi kabisaa kukalia kiti cha decision making. Ni like system imekuwa pre-set kuwa...
𝗪𝗮𝘇𝗶𝗿𝗶 𝗞𝗼𝗺𝗯𝗼 𝗮𝗽𝗼𝗸𝗲𝗮 𝗺𝗮𝗴𝗮𝗿𝗶 𝗺𝗮𝘄𝗶𝗹𝗶 𝗸𝘂𝘁𝗼𝗸𝗮 𝗤𝗮𝘁𝗮𝗿
Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki imepokea magari mawili aina ya Land Cruiser Prado kutoka Taifa la Qatar kwa ajili ya kuhudumia viongozi wanaokuja kwa ziara za kitaifa na kikazi nchini.
Qatar kama mshirika wa maendeleo ya...
Unataka watu wasigome ikiwa bado mnafanya siasa zakishamba!, mahitaji ya watu yapo serious we ndo kwanza unaleta wabunge wakununua gari la harusi!..
Hivi Tanzania yasasa ndo kusema wafikiriaji mmeshindwa kabisa kabisa..?
Kama hivi ndivyo mnavyoendesha basi hili lazima liwalalie tu!, mnashindwa...
Sijawahi kuwa fan wa huyu dada lakini siwezi kupuuza uwezo wake wa jinsi anavyoweza kufanya vingi kwa mpigo kwa kutumia mtandao tu lakini ninachojua kuna muda huwa anaongeza chumvi.
kuconnect dots na ku analyze taarifa, kupewa taarifa ni kitu kimoja ila kukipangilia kiwe data inayoleta maana ni...
Chondechonde naomba tuikomboe hii nchi hata kama ni kwa kuiondoka serikali dhalimu.kwa namna yoyote naomba hii nchi ilindwe isianguke. Hata kama ni kwa kuwaondoa watu waovu tuwaondoe kwa sababu Tanzania ni kubwa kuliko Sisi sote.
Unakuta mtu biashara yake ni ya kawaida sana ila anasukuma ndinga za maana kumbe nyuma ya pazia anasagwa na kusaga wenzake.
Listi ni ndefu mno na ni mambo ya aibu ,kiasi kwamba hata mikono inatetemeka. Na si kwamba hawajulikani , la hasha watu wameamua kukaa kimya mambo yasiwe mengi.
Tena...
Tanzania nchi yangu imekutwa na nini na hii nchi tunaiepeleka wapi?
Baada ya uchaguzi huu na uchafuzi nilitegemea sasa ni mda wa kuombana msamaha na kutibu majeraha yaliyotokana na uchaguzi
Nilitegemea vijana wote waliokamatwa kuachiwa huru pamoja na yule binti Mdogo Niffer nakupewa onyo kali...
Vyombo vya habari visivyotangaza maandamano sisi wenye hii nchi tutavifuta kwenye ramani.
Naona vyomba vya kimataifa tu sio ITV wala TBC tukiwaondoa wahuni wakatafute nchi ya kuwatangazia wananchi tumesema
Wakuu...
Nimekaaa nimetafakari sana mkuu wa mkoa au wiliya wanatoa kauli za vitisho kuliko hata Rais kuelekea uchaguzi mkuu lakini ukweli ni kwamba hawa watu wanatakiwa kuwa NEUTRAL kipindi cha uchaguzi lakini utakuta jamaa amevaa kofia na tisheti ina picha ya Samia wao ni nani?
kuna hawa...
Ukiona watu wanavozungumzia amani mpaka mishipa inawatoka shingoni mh!
Mbona amani ipo sana tu ishu ni hamjawaelewa wananchi au?
Wananchi tunachojua sisi haki ndo hakuna ila amani mbona IPO sana tu!
Tafadhali tena naomba wakuu mwacheni Polepole kama ana kosa tunaomba sheria ifuate mkondo wake.
Tunaomba Polepole achiwe bila masharti yoyote.
Tafadhali Sana tunakoenda siko mwacheni Polepole
Siku zinakuja hii nchi itarudi tena mikononi mwa wazalendo wenye uchungu na rasilmali za nchi na wananchi wake.
Kama ilivyokua Magufuli aya mambo ya unyonyaji utaisha kukusanya kodi inaishia mifukoni mwa wachache litaisha.
Mda utafika maana tumeshawajua wanamtandao vizuri na propaganda zao...
Je kweli maana mpaka sasa Polepole anaongelea mafichoni ukiangalia hamna kosa ila ameongea yale yale familia 50 wasiyopenda.
Lissu yuko jela tatizo nini kaongea yaleyale familia 50 wasiyoyapenda.
Wengine tumebaki kua makasuku kuimba yale ambayo famallia 50 wanapenda
Leo Maxi Mello walimwambia...
Ukiwa huku mtaani Vijana wa CCM wanadhani Chama chao ndicho "Chama Tawala".
Chama kama taasisi haiishii tu kwa watu, bali Ilani, sheria, kanuni, taratibu na miongozo ya chama, kisha Wanachama na wafuasi. Katika hali ya kawaida tu; taifa lenye mfumo wa vyama vingi kama Tanzania suala la uhuru...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.