hifadhi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Ndagullachrles

    JamiiForums Tanzania Wafanyakazi Bunge la Marekani ndani ya Hifadhi ya Taifa Serengeti

    Serengeti. Wizara ya Maliasili na Utalii imepokea Ujumbe wa Wafanyakazi wa Bunge la Marekani ukiongozwa na Bi. Courtney Butcher, ambao wamefanya ziara nchini kwa kutembelea Hifadhi ya Taifa Serengeti kuanzia tarehe 26 hadi 28 Oktoba 2024. Dhumuni la ziara hiyo ya miadi ni kujadili namna...
  2. Mtoa Taarifa

    JamiiForums Tanzania KERO Hali ya Vyoo vya Hifadhi ya Olduvai inatia kinyaa! Hizi fedha wanazotozwa Watalii zinafanya kazi gani?

    Huu ndio uhujumu uchumi, Wakurugenzi wa TANAPA wana magari ya kifahari lakini hakuna vyoo kwa ajili ya watalii hivyo kuchafua hadhi ya utalii nchini, hii ni AKILI ya kujenga nchi kweli. ?
  3. Pfizer

    JamiiForums Tanzania Waziri Chana (Mb) amezindua rasmi utalii wa puto ikiwa ni Maadhimisho ya Miaka 60 ya Hifadhi ya Taifa Ruaha

    MIAKA 60 YA HIFADHI YA TAIFA RUAHA, WAZIRI PINDI AZINDUA UTALII WA PUTO ■Maboresho makubwa ya Miundombinu ya Utalii yaja Na Happiness Shayo Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Balozi,Dkt. Pindi Chana (Mb) amezindua rasmi utalii wa puto ikiwa ni Maadhimisho ya Miaka 60 ya Hifadhi ya Taifa...
  4. Gemini AI

    JamiiForums Tanzania Septemba 16: Maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Hifadhi ya Tabaka la Ozoni

    Kila tarehe 16 Septemba, dunia huadhimisha Siku ya Kimataifa ya Hifadhi ya Tabaka la Ozoni ili kuongeza uelewa kuhusu umuhimu wa tabaka hili katika kulinda uhai duniani. Maadhimisho haya yalianza baada ya kuidhinishwa kwa Itifaki ya Montreal mwaka 1987, lengo kuu likiwa ni kuhakikisha tabaka la...
  5. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Kamati ya Bunge Yaridhishwa na Mradi wa REGROW Hifadhi ya Taifa Ruaha

    KAMATI YA BUNGE YARIDHISHWA NA MRADI WA REGROW HIFADHI YA TAIFA RUAHA Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii ikiongozwa na Mwenyekiti, Mhe. Timotheo Mnzava (Mb) imeridhishwa na utekelezaji wa miradi mbalimbali iliyo chini ya Mradi wa Kuboresha Usimamizi wa Maliasili na Kukuza...
  6. Pfizer

    JamiiForums Tanzania Kamati ya bunge yampongeza rais Samia kwa fedha za miradi ya REGROW

    Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii ikiongozwa na Mwenyekiti, Mhe. Timotheo Mnzava (Mb)imempongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa ajenda yake ya kukuza utalii ikiwemo katika miradi ya ujenzi wa kituo cha utalii kwa gharama ya...
  7. W

    JamiiForums Tanzania Mgombea Urais wa Upinzani Venezuela Akimbia nchini na kutafuta Hifadhi Hispania

    Mgombea urais wa upinzani, Edmundo González, amekimbia Venezuela baada ya serikali kutoa hati ya kukamatwa kwake, kufuatia upinzani kupinga matokeo ya uchaguzi wa urais wa Julai 2024. Aidha Vikosi vya usalama vya Venezuela vimezingira Ubalozi wa Argentina, wakidai kuwa viongozi sita wa upinzani...
  8. B

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa gharama na utaratibu wa kutembelea hifadhi ya mbuga ya Serengeti

    Habari GTs, Naomba kujuzwa gharama na utaratibu wa kutembelea hifadhi ya mbuga ya Serengeti, kwa raia wa Tanzania wenye umri pungufu na zaidi ya miaka 18. Vile vile gharama za malazi kwa usiku mmoja for economy class, safari yangu itaanzia Mwanza. Naomba kuwasilisha.
  9. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Bunge lapitisha muswada wa marekebisho ya sheria za hifadhi ya jamii

    Na; Mwandishi Wetu - DODOMA BUNGE limepitisha Muswada wa Marekebisho ya Sheria za Hifadhi ya Jamii wa Mwaka 2024 wenye mambo kadhaa yanayolenga kuondoa changamoto zinazowakabili wanachama na utaratibu wa upatikanaji wa mafao. Marekebisho hayo yanagusa Sheria tatu ambazo ni Sheria ya Mfuko wa...
  10. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Ni wakati muafaka Watanzania kuipongeza serikali na wananchi wazalendo wa Msomera Tanga kwa kuinusuru hifadhi ya Ngorongoro kupotea

    Wananchi wazalendo wa msomera mkoani Tanga, ambao hapo kabla walikua wakiishi ndani ya hifadhi ya Taifa ngorongoro, ambapo baadae kwa kushauriana na mamlaka za serikali, na kwa hiyari na utashi wao, Lakini pia kwa kuzingatia maslahi mapana ya Taifa, na urithi wa vizazi vijavyo, wananchi wale...
  11. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro: Shughuli za utalii bado zinaendelea licha ya taarifa za Maandamano

    MAMLAKA ya Hifadhi ya Ngorongoro (NCAA) imetoa taarifa kwa Umma juu ya shughuli za utalii katika eneo la Hifadhi ya Ngorongoro kwamba zinaendelea vizuri pamoja na uwepo wa baadhi ya wananchi wanaoishi katika hifadhi hiyo kuandamana leo tarehe 18.08.2024. NCAA katika taarifa yao hiyo, imesema...
  12. maroon7

    JamiiForums Tanzania Kwanini Kituo cha mafuta 'Rupeez Oil' kimejengwa kwenye hifadhi ya barabara Kimara Stop Over?

    Ukistaajabu ya Musa, Katika hali ya kushangaza sana kuna kituo kipya cha mafuta kinajengwa kando ya barabara maeneo ya Stop over Kimara. Hii imekuja baada ya vituo vingine vyote kufungwa kwa sababu ileile ya kuwa vipo ndani ya hifadhi ya barabara, ila cha ajabu hiki kituo kipya kinachoitwa...
  13. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Wanasiasa mnaowapeleka Watu kwenye Hifadhi ili uchaguzi ukikaribia muwatetee, acheni hizo

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amewataka viongozi na Serikali kutunza na kuyalinda maeneo ya hifadhi kwa faida ya kizazi cha sasa na baadaye huku akiwaonya Madiwani na Wabunge wenye tabia ya kuanzisha Vijiji ndani ya maeneo ya hifadhi hasa kipindi cha kuelekea...
  14. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mfuko wa Hifadhi ya Jamii wa PSPF Kutoka ESWATINI Wafurahia Mafanikio NSSF

    MFUKO WA HIFADHI YA JAMII WA PSPF KUTOKA ESWATINI WAFURAHIA MAFANIKIO NSSF Mhe. Patrobas Katambi asema NSSF inazidi kuimarika, unaweza kulipa mafao bila kutetereka Na MWANDISHI WETU, Dar es Salaam. Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Mhe...
  15. DR Mambo Jambo

    JamiiForums Tanzania Hadi Juni 2024, zimeripotiwa taarifa za watu zaidi ya 50 waliotekwa na kupotezwa kabisa

    "Uchambuzi huu Kwa hisani ya Boniyai" Mwaka huu 2024 pekee yake binafsi nime’ ripoti taarifa za watu zaidi ya 50 waliotekwa na kupotezwa kabisa. Hawa ni baadhi tu ya watu waliopotea kwa kutekwa na kisha taarifa zao kutopatikana mahala popote ikiwemo vituo vya Polisi na Hospitali katika vyumba...
  16. Paspii0

    JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania tuitakayo yenye huduma bora za Mifuko ya hifadhi ya jamii endelevu, na yenye maslahi kwa wafanyakazi!

    UTANGULIZI -Hifadhi ya mifuko ya jamii nchini Tanzania inajumuisha mifuko kadhaa ambayo inatoa huduma za kijamii na ya kifedha kwa wanachama wake. Mifuko hii inatoa huduma kama vile pensheni, bima ya afya, mikopo ya elimu na makazi, na msaada kwa wastaafu. Kusudi lao ni kuhakikisha usalama wa...
  17. S

    JamiiForums Tanzania SoC04 Rasilimali nje ya hifadhi za taifa

    Taifa letu linahifadhi kubwa na vivutio vingi sana vya utarii,, lakini hii imekuwa ikizingatiwa kwa maeneno yaliyotengwa kwa ajili ya shughuli hiyo ya kuingiza kipato cha taifa,, na kufanyiwa usimamizi stahiki,, lakini licha ya hayo je, serikali inamtazamo gani juu ya mtazamo WA rasilimali nje...
  18. and 998 others

    JamiiForums Tanzania Maslahi ya Viongozi wa Mifuko ya Hifadhi (NSSF&PSSSF)

    Kwa yoyote anayejua maslahi ya Viongozi wa hii mifuko ya Hifadhi (NSSF na PSSSF) ikiwemo Mishahara, Marupurupu n.k. ukiacha upigaji kwenye miradi kikubwa ya ujenzi wanayowekeza.
  19. Nelly shayo

    JamiiForums Tanzania SoC04 Miundombinu wezeshi ni chanzo halisi cha mapato katika hifadhi ya taifa ya mlima Kilimanjaro (haswa kwa serikali)

    Hifadhi ya taifa ya mlima Kilimanjaro Tanzania ni moja ya hifadhi kubwa na ya umuhimu zaidi katika nchi ya Tanzania na Afrika kwa ujumla. Hifadhi hii ipo mkoani Kilimanjaro ikizungukwa na wilaya zake zaidi ya tano ambazo ndio inakopita hifadhi hiyo ikiwa na njia zake za kupandia. Wilaya hizo ni...
  20. Nelly shayo

    JamiiForums Tanzania SoC04 Miundombinu wezeshi ni chanzo halisi cha ukusanyaji na upatikanaji wa kodi hifadhi ya mlima Kilimanjaro (kwa serikali)

    Hifadhi ya taifa ya mlima Kilimanjaro Tanzania ni moja ya hifadhi kubwa na ya umuhimu zaidi katika nchi ya Tanzania na Afrika kwa ujumla. Hifadhi hii ipo mkoani Kilimanjaro ikizungukwa na wilaya zake zaidi ya tano ambazo ndio inakopita hifadhi hiyo ikiwa na njia zake za kupandia. Wilaya hizo ni...
Back
Top Bottom