Naweka summary/reviews za mada nyingi nilizoandika na kushauriana na watu mbali mbali ndani na nje ya JF.. Sina ruhusa yao hivyo siwezi kumtaja yoyote
Nitakaribisha na maswali pia
1. Tiba ya kiroho yenye nguvu iliyobaki ni tiba ya chumvi ya mawe maana mpaka sasa haijanajisiwa wala...
India yathibitisha kupokea meli ya Iran iliyokimbilia huko baada ya kutoroka mapambano, nyambizi za Marekani zinawinda chochote chenye ishara ya Iran.
India has allowed an Iranian warship to dock as a humanitarian gesture, Foreign Minister Subrahmanyam Jaishankar says, after the US sank another...
Baharini hapakaliki tena, kuna nyambizi ya Marekani inapita chini kwa chini ikisaka meli za Iran, mpaka sasa zimelipuliwa 25, kuna moja nahodha wake aliona isiwe tabu katoka nduki na kukimbilia usalama Sri Lanka, taifa la Mabudhist, au mnaopenda kuwatukana kwa kuwaita makafir licha ya kwamba...
Kumekuwepo na video zinasambaa kwa kasi kwenye mitandao ya kijamii nchini Tanzania zikionyesha magari yakisombwa na maji katika mto.
Baadhi ya watumiaji wa mitandao hiyo wametoa maoni wakidai kuwa tukio hilo limetokea katika Hifadhi ya Serengeti nchini Tanzania.
Waziri wa Maliasili na...
Habari;
Mimi ni askari wa hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA) ninayefanya kazi katika hifadhi ya Taifa Nyerere. Kwa kipindi kilefu askari wa hifadhi tumekuwa tukipitia ugumu wa maisha kutokana na kadhaa kama ifuatavyo
I) kutokulipwa staiki zetu Kwa Wakati, lakin pia Malipo ya staiki mbali...
Anonymous
Thread
askari
askari wa hifadhi
fanya
habari
hifadhihifadhi ya taifa
hifadhi za taifa
katika
kazi
maisha
mimi
nyerere
posho
taifa
ugumu
ugumu wa maisha
Huu ni baahi ya ushahidi wa malalamiko ya watu kutoka katika page ya ZSSF zanzibar.
Watu watokao Bara tunafanyiwa ubabaishaji sana kwenye mfuko huu, raia wa kigeni wakitaka mafao yao wanayapata yote.
Kwanini mtu atokae Tanganyika asipewe?? Mtu atoke mbeya, Mwanza, Mara afuate mafao Zanzibar...
WAZIRI MKUU ATEMBELEA HIFADHI YA TAIFA YA ARUSHA
▪️Lengo ni kuunga mkono jitihada za Rais Dkt. Samia kuhamasisha utalii
WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba leo Jumamosi, Januari 31, 2026 ametembelea Hifadhi ya Taifa ya Arusha ikiwa ni kuunga mkono juhudi za Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu...
Miaka ya nyuma enzi za utawala wa Mkapa kulikuwa na mauaji ya wachawi na vikongwe. Ukionekana una macho mekundu unauwawa kwa kuchomwa kwenye nyumba kwa sababu unahisiwa ni mchawi.
Wakati huo Kuna kijana mbongo alipata visa ya kutembelea Scandinavia akaona atumie hiyo fursa ya wachawi bongo...
Ni raia wa Eritrea, Cameroun na Uganda ndio walikuwa na asilimia kubwa wakiomba ukimbizi Ulaya wanapewa.
Eritrea na Cameroun wanapewa sana kwenye maswala ya siasa.
Waganda kwenye maswala ya ushoga.
Sasa kwaanzia tarehe 29 October mbongo Ulaya akiomba ukimbizi kwa maswala ya kisiasa faster...
Habari wanajukwaa.
Nichukue nafasi hii kutoa pole kwa watanzania wenzangu kwa yanayoendelea.
Niko hapa kupata msaada wa hichi kitu kinaitwa
Asylum Seeking.
NI utaratibu gani mtu afanye kwa ajili ya kupata hifadhi hiyo kwa nchi anayoikusudia impe hifadhi.?
Masharti yakoje?
Kwenu wajuzi wa...
CARD HOLDER NZURI IMARA HAZICHUBUI CARD YAKO KWA BEI NAFUU NA NZURI ZAIDI
💰25,000/=
📍 TUNAPATIKANA ARUSHA TOWN
📦 TUNA TUMA PIA MIKOA MIMGINE TANZANIA
☎️ 0712350159
Sijastushwa na kitendo cha Balozi Polepole kujiuzulu ubalozi na utumishi wa umma kama alivyosema kwenye barua yake kwa kuwa toka mwanzo hakupenda jinsi alivyotolewa kwenye ubunge na nafasi yake akapewa Vuai Shamsi Nahodha.
Haikueleweka kipindi kile kama mbunge wa kuteuliwa anaweza kuvuliwa...
Kwema?
Likizo yangu inakuja mwezi wa nane. Nilipenda nitembelee Morogoro, Milima ya Udzungwa.
Nilishawahi kupaona nilivyokua naenda Ifakara, lakini sina taarifa za taratibu na gharama za kuingia izo Hifadhi.
Mwenye msaada zaidi itapendeza.
Itakua ni day trip, sitalala.
TANZANIA imebahatika kuwa na hifadhi 21 za Taifa zenye vivutio mbalimbali vya utalii ambavyo baadhi havipatikani katika hifadhi za nchi zingine Afrika Mashariki na kwingineko.
Hifadhi ya Taifa ya Saadani inayopatikana Mkoa wa Pwani wilaya ya Bagamoyo na Tanga katika wilaya za Muheza na Pangani...
Mashindano ya kukimbia yanayojulikana kwa jina la Msakuzi Marathon yatafanyika ndani ya Msitu wa Hifadhi wa Pande uliopo Wilaya ya Ubungo, jijini Dar es Salaam, Julai 12, 2025 ambapo washiriki watapata nafasi ya kuangalia uoto wa asili na kupishana na wanyama ndani ya hifadhi hiyo.
Waziri wa...
Msiseme hamkusikia lkn habari ndiyo, mpaka mwaka 2026 > 50% ya ardhi ya Tanzania ( bila visiwani pemba na unguja ofcourse) kuwa hifadhi, kwa ambao hilo neno litawatatiza na kuweza kurelate maana yake ni kwamba 50% ya ardhi ya tanzagiza kuwa kama hifadhi ya ngorongoro au serengeti out of bounds...
Kwenye ukingo wa Bonde la Ngorongoro nchini Tanzania, ukungu unaonekana kutanda kwenye uwanda huku makundi ya nyumbu na pundamilia wakirandaranda chini. Kutoka kwenye jukwaa jipya la kuangalia wanyama, wageni kutoka duniani kote sasa wanapata fursa ya kutazama kwa kina pamoja huku pembeni kukiwa...
Askari wanne wa Hifadhi ya Taifa (TANAPA) wanashikiliwa na Jeshi la Polisi mkoani Mbeya kwa tuhuma za mauaji ya Kurwa Igembe anayedaiwa kuingiza mifugo ndani ya Hifadhi ya Taifa ya Ruaha wilayani Mbarali.
Viboko katika Mbuga ya Taifa ya Virunga katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo. / Getty Images
Viboko wasiopungua 50 na wanyama wengine wakubwa ndani ya hifadhi ya taifa ya Virunga iliyoko katika eneo la mashariki mwa DRC, wameripotiwa kufa kutokana na sumu ya kimeta, msimamizi wa mbuga hiyo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.