heshima

Heshima Salim Thompson ( EESH-mə; born 23 October 1986) is a British actor and singer.
Born in the London Borough of Brent, son of Jamaican Reggae singer Dr Alimantado and brother of soul singer Zalon.In 2001 Heshima began his career singing on BBC Documentary Heart of Harlesden, he was scouted from the documentary to play a lead role in BBC’s Babyfather. He has appeared on television in Spooks, Spooks: Code 9 as Jez, Prime Suspect, Casualty, City Lights and Judge John Deed. In theatre he has appeared at The Young Vic in Generations and at The Royal Court in Incomplete and Random Acts of Violence. In 2009 he was nominated for a Screen Nation Award in the Young Shooting Star category. Heshima toured with Amy Winehouse along with brother Zalon on her Back to Black album which was only scheduled to last for 3 months, but the tour was so successful they ended up touring for six years and collected five Grammy Awards.In 2009 he auditioned for the sixth series of The X Factor and in 2011 he auditioned for the eighth series. In 2010 he was cast as Asher Levi in series 2 of EastEnders: E20.In March 2012 Thompson auditioned for the first series of The Voice UK After four chair turns, Heshima chose will.i.am as his coach and made it to the battle rounds of the competition. Heshima worked with Zalon, Salaam Remi and Mark Ronson singing and vocal producing on Amy Winehouse's Album Lioness: Hidden Treasures including singles "Our Day Will Come" and "Like Smoke", which features Nas. Lioness: Hidden Treasures debuted at number one on the UK Albums Chart.In 2014 Heshima founded HTG Entertainment a British entertainment agency.

View More On Wikipedia.org
  1. Bunge la Tanzania limepoteza heshima na mvuto kabisa

    Wakuu baada ya jana kusikiliza vijana pale bungeni wakijibu hoja za Gwajima nikajikuta natafakari kuhusu bunge kwa muda mfupi na hii ni namna ambayo nimeliona Bunge kwa mtazamo wangu. Bunge la Tanzania. Ni Bunge la Rais (SSH) sio la wananchi kwani hoja zao kila mara ni za kumsifia rais na...
  2. Tuchambue kwa Heshima – Kozi Zipi Zinafaa Tanzania 2025?

    Leo napenda kuanzisha mjadala wa kiungwana kuhusu kozi tatu maarufu sana kwenye dunia ya teknolojia. Tafadhali changia kwa heshima na adabu, tukilenga kusaidiana. 1. Computer Science Faida: Hii ndiyo msingi wa kuwa programmer wa kweli. Unajifunza algorithms, data structures, na programming...
  3. D

    Siipendi Simba lakini naomba wachukue kombe kwa heshima ya taifa na 'ahsante' kwa Huyu Mama Anayeupiga mwingi Michezoni

    Kwakweli wachukue tu Simba Ili jitihada zilizoonyeshwa kwenye michezo na mafanikio mengi yaliyowekwa yaendelee kupata maana. Aisee kwenye michezo umepigwa mwingi mpaka unapwakuka. Hata haters wa mama kimoyomoyo wanakiri. ✓fainali mbili ✓mashindano ya afrika kufanyika hapa ✓viwanja kujengwa na...
  4. PreGE2025 Kweweta Aingia Vitani Kupigania Heshima Kilwa

    Katibu Mkuu Kiongozi wa Baraza Kivuli la Mawaziri wa ACT Wazalendo, Ndugu Idrisa Kweweta, leo Mei 18, 2025, amechukua rasmi fomu ya kugombea Ubunge wa Jimbo la Kilwa Kusini kupitia tiketi ya chama hicho, katika hafla ya kisiasa iliyojaa matumaini na hamasa ya mabadiliko. Fomu hiyo alikabidhiwa...
  5. Mjeshi kupigana na Mtu asiye na mafunzo, kutumia silaha kwa mtu asiye na silaha. Inabomoa heshima na hadhi ya Jeshi

    Habari za Sabato! Kuna Mambo yanachekesha kwa nje lakini kwa Ndani yanasikitisha Mno. Yanavua heshima. Mjeshi mwenye mafunzo ya kijeshi. Komando tena jasusi bobevu ATI kupigana na raia ambaye Hana mafunzo yoyote Yale. Tena zaidi wengine hufikia hatua unampiga mtu asiye na mafunzo lakini...
  6. Hapa CAF wameikosea heshima Simba

    Hii For the first time ever Hii Ina maana hawatambui Ile fainali yetu ya Abiola kapu 93?
  7. Upendo huwa upo hata baada ya kutendwa vibaya sana lakini HESHIMA ni kinyume chake

    TOFAUTI YA UPENDO NA HESHIMA Alisema Niccolo Machiavelli kwamba "Watu huwa wepesi kumdhuru au kumuangamiza mtu ambaye anayehitaji kupendwa sana kuliko mtu ambaye ametengeneza mazingira ya kuheshimiwa/ kuogopwa. Kisaikolojia ni kwamba upendo husababisha mtu ana-Relax ,mtu ukijua unapendwa sana...
  8. Hawa wakongwe JF wapewe heshima

    Nyani Ngabu mzee wa kijiji Hawa wakongwe umu wapewe heshima
  9. Mbowe apewe heshima yake anayostahili!!

    Freeman Aikaeli Mbowe ni mwanasiasa ambaye huwezi kuzungumzia siasa za Tanzania bila ya kutaja jina lake. Lakini naona Baada ya uchaguzi wa Januari 21 mwaka 2025, Kuna baadhi ya watu wanapambana kwa kila Hali kuonesha kuwa Mbowe alikuwa mamluki ndani ya CHADEMA na alikitumia chama kwa faida...
  10. M

    PreGE2025 Je, Mbowe kuchagua Heshima au Tamaa?

    Mwalimu Nyerere aliwahi kumwambia Mzee Yusuf Makamba kuwa achague moja, Heshima au Tamaa maana hivyo vitu viwili havikai nyumba moja. Sasa hii critical moment iko kwa Freeman Mbowe leo, mtu ambaye ana heshima kubwa nchini kama mtu aliyepigania mageuzi, aliyeongoza harakati za kisiasa za kukuza...
  11. M

    Kuna watu hupaswi kujibizana nao kwani wewe ndio utaonekana mjinga Na kupoteza heshima

    Kuna muda unaweza kutamani kumjibu ukidhani unalinda heshima yako kumbe ndio unaipoteza kabisa kwa sababu watu wataaanza kukushangaa kujibizana na aliyeshindikana. Kuna watu furaha yao ni wewe kuvurugwa ili mfokeane hivyo kwa namna mbalimbali watakuchokoza ili mjbizabe na hiyo ndio furaha yao...
  12. Kila mpenzi wangu akishika simu yangu, anazidisha mapenzi na heshima kwangu

    Kuna muda ni kama analeta kunizoea, ila akishika simu akiangalia social media ninavyotongozwa, anajua kumbe yuko na " Dhahabu" Yenye thaman sana. Unakua sometimes wapenzi wetu wanatuzoea af wanatuchukulia poa sana. Ila wakiona kua tunahitajika, akili zawakaa sawa. Sometimes she forget that...
  13. PreGE2025 Lissu: Uchaguzi hautafanyika wananchi mkakubaliana na msimamo wetu mkaandamana siku ya uchaguzi

    Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu amesema siku ya uchaguzi mkuu utakaofanyika baadaye mwaka huu, chama hicho kitaitisha maandamano ya kuuzuia uchaguzi usifanyike. Kauli hiyo ya Lissu, inajibu swali kuhusu mbinu ambayo chama hicho itaitumia kuzuia uchaguzi...
  14. Kwa nini Muhamad Wakristo wanamdharau, hawana hata Habari naye na hata heshima ipasavyo hawampi?

    Ukiacha kuwa Biblia haikuwahi kumzunguzia utasema ok. Ni sababu yeye alikuja miaka 600 plus baadaye. Lakini pia hakuwa na umuhimu katika Uyahudi na Ukristo. Yaani Biblia imemzungumzia hata mtu mpumbavu ikamwacha Mohamed. Nyie Wakristo kwa nini hata heshima hamumpi? Mnakaa kumtuhumu tu shutma...
  15. PreGE2025 Dkt. Tulia Ackson atunukiwa Tuzo ya Heshima ya Malkia wa Nguvu

    Kwa niaba ya Dkt. Tulia, tuzo hiyo imepokelewa na Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais -Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Zainab Katimba. Alizaliwa Novemba 23, 1976 kijijini Mabonde Tukuyu Mkoani Mbeya na kupata elimu ya msingi katika Shule ya Mabonde na baadaye kupata elimu ya...
  16. Uzi maalumu matukio ya Boda Boda!

    Part 1: Hawa boda boda nilikuwa nawachukulia poa sana ila kuna siku jamaa alifanya jambo positive sana kwangu nikaona kumbe zile speed zao muda mwingine wanawahi kusave maisha ya watu. Jamaa nilimuagiza apeleke dawa sehemu ambayo najua kwa gari huwa natumia 1hr na ikiwa public hata masaa 3...
  17. Malawi: Kupokea shahada ya Heshima hakumfanyi Mtu kustahili Cheo cha "Profesa" au "Daktari."

    Baraza la Taifa la Elimu ya Juu (NCHE) limewaonya vikali wananchi wa Malawi, likifafanua kuwa kupokea shahada ya heshima hakumfanyi mtu kustahili moja kwa moja kutumia cheo cha "Profesa" au "Daktari." Katika taarifa iliyotolewa jana, NCHE ilisisitiza kuwa shahada za heshima ni tuzo za ishara...
  18. R

    Utaratibu wa kutoa na kutumia degree za heshima ni huu kwa dunia nzima. Watu wanapenda kuitwa Doctors (Drs) na Professors ( Prof) kinyume na taratibu

    by Prof Shivji Do we have any guideline of this kind in Tanzania? With or without guidelines, what is stated in this press release is well known and respected in most international institutions of higher education. HUU HAPA NDIO UTARATIBU WA DUNIA NZIMA . 1. Awadees msitumie hizo titles before...
  19. Moderator:umenikose heshima kuanika ukweli ukaniunganisha kwenye kuchania kuhusu Bar kubwa na TRA

    Nilieleza uzi kuhusu: Kilicho fata ukapeleka kuunganisha mada watu wakwepe ukweli. Shida hipo wapi wakati naeleza kuhusu kodi na TRA
  20. Udaktari wa Heshima lini atapewa Mrisho Mpoto na Mboso?

    Wadau wa Kiswahili wanaweza kunielewa kwa nini nauliza hivi. Mrisho mpoto na Mboso katika kazi ya sanaa wanakuza na kuendeleza Kiswahili kwa kasi yenye ubunifu wa hali ya juu. Watu kama hawa ili waibukeni wengine lazima kuwa na nafasi ya kutambua mchango wao hasa wa kupewa degree yao ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…