hela

  1. Mangungu: Nitasajili Wachezaji bila kutegemea hela za MO

    ... ๐Ÿšจ ๐—ก๐—œ๐—ง๐—”๐—ฆ๐—”๐—๐—œ๐—Ÿ๐—œ ๐— ๐—ช๐—˜๐—ก๐—ฌ๐—˜๐—ช๐—˜ "Pesa za usajiri niko tayari kutoa mwenyewe kwa kushirikiana na wanachama na wapenzi wa Simba, kwa sasa natafuta Mkurugenzi wa ufundi ambaye atakuwa na jukumu la kusimamia mtandao wa usajili na upembuzi wa kina kabla ya mchezaji kusajiliwa.โ€ ยฉ๏ธ Murtza Mangungu...
  2. KERO Wilaya ya Nyang'hwale mkoa wa Geita hela za likizo za walimu mbona kimya?

    Habarini wadau. Naongea kwa masikitiko makubwa hela za likizo mpaka sasa wilaya nyang'hwale mkoa wa geita mambo ni kimya . Hivi nyie maafsa mnaohusika mbona hamna huruma jamani tumefunga tunaingia wiki ya pili lakini mpaka muda huu mmekaa kimya tukifatilia mnadanganya eti mtandao unasumbua...
  3. Unakuta sehemu ipo wazi ila Muhudumu anakudai hela kabla ya huduma

    Kama club Sawa tunaweza kukubali ila sehemu open mtu una akili zako nafika nipate huduma eti kabla sijakula au kunywa nadaiwa hela jamani mbona tunatiwa ubwege sana tunatoana class pasipo la msingi ingelikuwa kweli kuna matukio ya watu kukimbia kulipa au kudai Kwa bunduki kweli tungekubali...
  4. Wanaume tutafute hela. Hakuna mwanamke mgumu

    Ukitaka watoto wazuri wakike lazima ugharamie
  5. Kama bado haujafanya maamuzi ya kutulia na mwanaume ulienae/anaekutongoza basi usile hela zake

    Kuanzia unapotongoza mwanamke anakubebesha gharama zote ambazo alitakiwa kuwajibika mwenyewe au kugharamiwa na baba yake sasa hapa mwanaume akisalitiwa ndio yale yale ya msukuma na penny uko goba Imefika hatua hauwezi kutofautisha kati mke, mpenzi na kahaba maana along the way wote watataka...
  6. Mbona walevi wanapata pata hela kuliko wasiokunywa

    Asilimia zaidi ya nusu ya muda wangu natumia kukaa na walevi kila siku na zaidi ya asilimia 90 ya marafiki zangu ni walevi wa pombe za viwandani na hata za asili. Nilichokigundua kwetu sisi wanywaji tunakuwa na bahati sana ya kupata hela yaani mlevi hakai siku tatu au nne bila ya kupata hela na...
  7. Mwaka huu kutakuwa na njaa, heri ukose hela ila uwe na chakula ndani

    Chukua hii nakupa; japo hatupangiani maisha kila mtu anajua jinsi anavyoyaendesha ila kiukweli life ni gumu ndugu zangu na mwaka huu huku mashambani hali sio hali hasa Kwa upande wa zao la mahindi. Mikoa ambayo sio wazalishaji wakubwa wa chakula tumepata pata ila sio ya kuuza ni kwa ajili ya...
  8. Mnaotumia bidhaa za Appleยฎ Mnapigwa sana. Sijui hata mnavyotoa hela mnafikiriaga nini?

    Kampuni la Kimarekani Apple, maarufu kwa kuuza bidhaa za electronics na accessories zake, wanauza ivyo vitu bei ghali sana. Inawezekana ikawa ni value for money, ila kuna baadhi ya vitu ni wazi wanawaibia "loyal customers" wake, sema ndio ivyo hawaoni au wanajizima data. Tuachane na iPhone...
  9. Yale mawazo mazuri unayofikiria kipindi huna hela ndo mambo ya kuyafanya

    Ukiona jambo una litamani kuliifanya kipindi umefulia jua ndo kazi yako biashara yako na your purpose nimaanisha ukilifanya Kwa moyo wote bila kurudi nyuma unatoboa na unaweza kufahamika duniani kote.
  10. A

    KERO Baadhi ya shule za sekondari na msingi zinatoza wanafunzi hela ya mitihanii kila mwezi na huku wanalipa ada

    Kuna changamoto katika shule za sekondari na msingi kuwatoza wanafunzi hela ya mitihanii kila mwezi na huku wanalipa hela kwa ajili ya masomo kwa siku za kawaida na wasipokuwa na hizo pesa hawafanyi mitihani. Nimelishuhudia hili kwa shule za Tarime mkoani mara, hasa Mogabiri Secondary School na...
  11. B

    Kupiga vizinga (kuomba omba hela) na selfishness mentality ni moja ya sababu inayofanya wadada wengi wasiolewe, au wawe single mothers

    Habarini Utakuta ukimuuliza mdada kwanini hadi umri huo alio nao hajaolewa na yupo single, atakwambia hajaona mwanaume serious, baadhi ni kweli hawajapata wanaume serious, ila wadada wengine ni kwamba hata wao wenyewe hawapo serious kwenye hayo mahusiano wanayoingia. Wanaingia kwenye...
  12. TAKUKURU chunguzeni Wizara ya fedha (Hazina) huenda imetengeneza mfumo wa kuiba hela ya mafao ya watumishi wa umma

    Huko Mbeya tumeona watumishi wa TRA wakichepusha hela ya umma kuingia kwenye mtandao wa watu binafsi na kupiga hela. Huko Arusha tumeona mkutano wa Makonda mwananchi mlipa kodi (Halmashauri ya Arusha) akilalamika kodi zinachepushwa na kuingia katika mtandao wa wapigaji na wala haziingii serikali...
  13. G

    Kanuni ya "tafuta hela" kwa wanaume hailipi katika mapenzi. Tazama hapa

    Kuna mdau analalamika "Nimetafuta hela, nimezipata. Mwili umekubali na nimenona, lkn wanawake hawanitaki. Sababu ambazo wanawake wanazitoa ni kwamba nimenenepa sana, nina kitambi kikubwa". Swali analojiuliza ni kwamba:. Mtu anawezaje kupata hela halafu asinenepe? Hela na afya vyote anavyo lkn...
  14. G

    Mnaosema kuna fixed matches kwanini hamtumii hela zenu zote, kukopa na kuuza mali zenu ili mpige hela kirahisi kwa uhakika mtajirike?

    tunaishia tu kusikia mkitetea fixed matches zipo, kama zipo kwanini hamfaidiki nazo ? Hakuna mwenye uhakika na betting, na ingekuwa hivyo basi betting ingesha collapse siku nyingi. Hizi za wachezaji kujifungisha huwaga ni siri zao na watu wao wachache sana, hata wachezaji wengine ndani ya timu...
  15. Kuomba hela ni aibu, kuomba hela usipewe hiyo ni aibu ya pili na kukumbushia ombi la kuomba hela hiyo ni aibu ya tatu.

    Hii ni kwa wapiga vibomu wenzangu wote nawakumbusha hizi aibu tunazokutana nazo katika haraka zetu za kupiga watu wetu vibomu. Ongeza aibu nyingine kwenye harakati.
  16. Mo Dewji nakuuliza nivujishe Siri ya Bilioni 20 ulikoiweka na sasa unajipatia Hela za bure bila wana Simba SC kujua au niuchune tuendele kuwa Mazuzu?

    Hakika Wewe Mhindi ni Mjanja sijapata kuona. Kwahiyo mwenyewe ulidhani Siri itafichwa sana na wenye Ubobezi wa kutafuta Taarifa Ngumu Ngumu na za Hatari akina GENTAMYCINE hatutoijua? Nina uhakika nikilisanua hapa kwa ulichokifanya leo hii hii Amani inatoweka Simba SC na hata Serikali itatukamata...
  17. App za bure zinaingizaje hela?

    Naomba kuuliza app ikiwa ya bure inaingizizaje hela? Je mfano watu milioni 2 wame download app yangu na kuitumia..kila siku....naweza vuna kiasi gani?Kwa mwaka?...kutoka wwpi?
  18. Mnaonaje hela ya kuzoa takataka ikatwe juu kwa juu kama ile ya kodi ya nyumba katika luku?

    Sijui niseme halmshauri zetu zimeshindwa hili suala la uzoaji takataka kwani miji mingi naona ni michafu sana na pia wananchi wenyewe wabishi kutoa hela za taka wajumbe wa halmshauri ya kijiji wanalalamikia hili. So me naona japo ni suala dogo ambalo hata private sector inaweza kuifanya ikipewa...
  19. DOKEZO Responded Inakuwaje mradi unapewa hela zaidi ya walizoomba na haukamiliki?

    Nimepitia bajeti ya wizara ya Afya 2024/25 iliyosomwa bungeni May 14, nimekutana na kituko kwa baadhi ya miradi. Mmoja wa mradi wenye kituko ni Uimarishaji ya Hospitali za Rufaa - Mawezi. Mradi huu ulihitaji Sh bilioni 7 na ukapokea bilioni 12 lakini bado haujakamilika, upo 86%. Yaani kuna...
  20. Unafikiria jinsi ya kuwekeza na kutengeneza hela kila siku online? Jaribu hapa

    UTANGULIZI Ni kwa njia ya michezo ya kubahatisha yaani betting. Wengi watasema betting ni kamari, sawa, lakini kwa bahati mbaya au nzuri kila kitu maishani ni kamari especially kwa sisi ambao tunataka kuwekeza au kufanya biashara ili tutengeneze faida. Mifano hai ya kamali za maisha 1)...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ