hela

  1. kuna faida zipo kutunza hela kwenye kibubu

    Nimeanza kucheza betting ya akili sasa hivi na deal na odds 1.27 mpaka 1.30 halafu mkeka wa accumulation mecchi 4 tu zilete odd ya 2.68 na zaidi na sio single bet mtaji ni laki 2 na natumia finobacci system.matokeo yanaenda vizuri nataka hela yoyote ndogo nitakayokuwa nakula niwe naitoa...
  2. Tupunguze kuomba hela hovyo ndoa zipo shida mizinga wanaume tunaogopa....

    DADA SANAMU YAKO NAJENGA HUMUHUMU JF "Unalaumu eti Mimi ukoo niliotokea hawaolewagi kumbe shida hata sio Ukoo ,Bali tabia yako mbaya wewe ukikutana na mwanaume siku ya kwanza nikuomba hela ,amekusalimia tu ameonyesha ka interest kidogo ushaomba vocha,amekusalimia kwatabasamu kaomba namba...
  3. Wana kigoma wamenambia Kama sina hela wala connection nimiliki uchawi nipate heshima

    Huu msemo nineukuta kigoma hapa maeneno ya ujiji, nilienda kutembelea njia za watumwa, Livingstone n.k nimeambiwa story ya mzee mmoja aliekuaa anaitwa juma njemba huyu jamaa nasikia alikua noma gwijii, akikwambia leo jioni haifiki ujue umeenda hivyo wala hakuna mjadala, lakini alikua hakupi...
  4. Dear Baby, Ukiniomba tu hela basi mimi na wewe tumemalizana..!!!

    Mwenzenu nina ""aleji"" ya kuombwa hela 1. Ukiniomba hela basi ujue sura yako inabadilika kutoka Kuwa Beyonce kwenda Masudi sura mbaya..!!!! 2. Ukiniomba hela basi ujue hilo tako lako loteee linayeyuka, nakua silioni tenaaa ....!!!! Dear baby, ukiniomba hela hiyo meseji sijibu ng'ooooooo...
  5. R

    Unatapanya hela na hali ya watoto wa masikini iko hivi mashuleni!

  6. Hivi mtu akikopa hela kwa dhamana ya nyumba halafu akajifanya amekufa je bank itaichukua hio nyumba?

    Naombeni tu nijue nini kitatokea kwa mfano nimekopea nyumba ambayo wanakaa wapangaji halafu nikalipa kidogo tuseme nusu halafu nikajifanya nimekufa nikajizika na kujiwekea kaburi..kisha nikasafiri mbali..wakija watu wa bank kunitafuta kwa wapangaji wakaambiwa huyu mtu ni marehemu na wakaenda...
  7. Aliyewadanganyeni Wanaume kuwa Wanawake wanataka tu Hela Kwenu nani? Kudadadeki zenu wanataka Hela na 'Mfurunduano' wa uhakika kama hivi asemavyo Diva

    Mtangazaji wa WasafiMedia "Diva" amempa sifa kedekede Mpenzi wake kwa kile anachodai Mpenzi wake ni mtu Tajiri anayejua Mapenzi.... Kupitia ukurasa wake wa Facebook Diva anaandika.........."Sema acheni mchezo mume wangu ana macho mazur nyie, akicheka sasa aaaah!. Kijana ana hela, ana jua...
  8. Kwa tanzania yetu nisaidieni kutaja vitu ambavyo ni vya ku enjoy ila havina gharama

    Kwa mazingira yetu yalivyo ni vitu gani vya kunoga ambavyo havimalizi hela yaani cost yake almost equal to zero. 1.kuogelea bahari ya hindi 2.kufuga bata lengo uwe unakula pilau na bata 3.gongo+mnazi (tembo) 4.x +punyeto 5.download movies kwenye wi-fi 6.audiomack 7.jamiiforum 8.mke mrembo...
  9. D

    Fanyeni kazi vijana hela zipo nje nje ukifanya kazi. Acheni ngonjera eti kuna serikali ya kuwajazia pesa mifukoni

    Vijana ni kama wamewehuka hasa kwa sasa wamebaki wanasubuli tu mwabukusi amesema nini leo ili iwe topic siku nzima Hawajui kuwa selikali inaweza kuamua kulifuta hata hili li TLS likizingua
  10. DOKEZO Inadaiwa kila aliyehudhuria Tamasha la Kizimkazi amelipiwa Nauli, Malazi na Posho kabambe, Hizi hela zimetoka wapi?

    Hivi kwenye Nchi yenye kila aina ya dhiki kama hii, kukusanya Wasela na Maofisa kutoka Tanganyika na kuwajaza Kizimkazi, ili Washiriki Uzushi unaoitwa Tamasha la Kizimkazi, huku wakilipiwa kila kitu, Ni Ujasiri wa kutisha! Hivi hizi hela za kuchezea kwenye mambo yasiyo na Tija kama haya...
  11. Edwin Odemba Tafuta Hela Ukodishe Star TV Kwa Mzee Diallo

    Kwa sasa huwa naangalia Star TV vipindi 2 tu; Medani za Siasa na BBC ambacho Star TV wanakipitisha tu kwenye kituo chao. Star TV kwisha kabisa haina vipindi vyenye mvuto zaidi ya Medani za Siasa cha Edwin Odemba aka Chief Odemba Huyu nguli wa maswali ambayo ni multi task, multi discipline ni...
  12. Tanzania: Meta kuanza kuwalipa wazalisha maudhui wa Instagram na Facebook

    Agosti 6, 2024 Meta imesema kuanzia mwezi huu (Agosti 2024) itapanua zana za uchumaji wa mapato za watayarishi nchini Tanzania kwenye Facebook na Instagram. Hatua hii ni matokeo ya moja kwa moja ya michango taasisi ya JamiiForums na wadau wengine ambao ni watetezi wa Haki za Kidigitali na...
  13. Natumia njia Gani kati ya hizi kupokea hela?

    Kuna hela kidogo nimezipata mtandaoni Sasa Kuna hizi njia za ku withdraw kama Kuna anayejua inayosupport apa bongo anipe details 👇
  14. Tuliopigwa hela na BR investment mje hapa

    Habarini wana jamvi, hivi karibuni kama mwezi hivi uliibuka mtandao wa kuwekeza hela then unalipwa 20% ya fedha ulowekeza kila siku. Kama kawaida wa tz hatusikii watu wakajiunga. Mimi fursa ikanifikia kama wiki 3 zilizopits nikiwa najua kabisa mda wowwote naweza kupigwa. Basi nikatupia laki2...
  15. Naomba kuuliza Vijana walioenda Kongamanoni leo Dodoma walienda kwa Utashi wao au ni kwa Utashi wa Chakula na Hela kutoka kwa Team Chawa?

    Halafu inakuwaje wengi Wao niliwaona kama vile Nyuso zao zilikuwawa na hofu na pia kukosa Kujiamini kama Vijana?
  16. Naapa kutomkopesha Mtanzania hela mpaka naingia kaburini

    1. Mligo wa njombe 600000/= 2. Evodi wa kibaha 100000/= 3.Elibariki wa moshi kati ya 280000/= umenirudishia 15000/= 4. Dotto wa kibaigwa 45000/= 5. Mama Thadeo wa ilemela 68000/= Haya madeni yana miaka miwili na zaidi Mungu atanilipa. Ila mligo wa njombe ushapata adhabu yako hapahapa duniani...
  17. Baba Levo: Diamond Platinumz alitaka apewe Milioni 300 na Yanga SC aende Siku ya Wananchi, ila Yanga SC hawana Hela na wakashindwana hapo

    Tusichoshane nendeni Wasafi FM huko mkamsikie Wenyewe. Mnajifanya mna Hela zisizo na Kazi kumbe ni Masikini tu.
  18. Tafadhali naomba hili la Treni ya SGR kupatwa na Hitilafu za mara kwa mara za Bundi na Ngedere liwekwe katika Michezo ya Kubeti ili tuwe tunapiga Hela

    Manake naona sasa kila Siku tu lazima kuna Taarifa ya Treni ya SGR Kukwama njiani. Iwekwe katika Kubeti tule Fedha.
  19. L

    Mwambieni Haji Manara atoe ahadi nyingine inayopendwa hasa ile inayopendwa na Mende

    Binadamu anapenda sana starehe, hasa starehe ya kupata watoto.Ahadi ya hela sisi sio ishu, toa ahadi, sisi wengine tunapenda tabia ya mende. Toa ahadi endapo Yanga haitofunga mabao manne siku hiyo ya trh 8 basi utatoa ile apendayo mdudu Mende.
  20. Tumwambiaje Lamine Yamal mbadala wa Tafuta hela?

    Tumekuwa tukihimizwa kutafuta hela na tusiendekeze mapenzi, Sasa bwan mdogo wetu Yamal yashamkuta huko,demu kawekwa kwa mapaja na mwamba mwingine kijana kahamaki,... ingawa kiasi fulani kajipata je, tumwambiaje sasa maana hela tayar anazo na zinazidi kuja....
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…