Hidaj (Persian: هيدج; also Haiyeh (Persian: هَيا), also Romanized as Hayā and Khiya) is a city in the Central District of Abhar County, Zanjan Province, Iran. At the 2006 census, its population was 11,798, in 3,011 families.
Siasa hadi kwenye miradi mikubwa unaposema tunawapiga mikwaju wewe kilaza ulikuwa na maana gani?
Kasongo amekuingiza chaka wewe ukajilipua eti nilikuwa sijui ndio nimejua kiwanda kinataka kujengwa Tanga ushuzi kabisa
Haya dangote amesema sasa mapendekezo yake ni kujenga Mombasa kenya kwasababu...
Hapo zamani biashara hasa za hardware walikuwa wanatumia sana kirikuu kubeba cement, mabati, nono, n.k. lakini sikuhizi tunazidi kuona kasi ya maguta yakichukua nafasi hii
wafanyabiashara wanaoenda kununua vitu kama maduka makubwa nao hawachezi mbali wameanza kuyaelewa maguta
Pia kirikuu...
a. hakikisha unanunua spark plugs original kwa ajili ya aina ya gari lako, kila gari ina spark plugs zake zimetofautiana joto, urefu, n.k. kama unatumia Toyota nenda kwa dealers wao wakupe aina ya pluga inayofaa kwa gari yako, plug moja inaweza kuwa ni elf 60 ila zinapiga kazi kwa kilometa laki...
Haya magauni ndio fashion ya siku hizi. Ni kama yamekaa kihuni/kimalaya zaidi. Unakuta mgongo wote uko wazi.
Mwanamke ukivaa hivi jua wanaume tunakuona malaya tu.
Niiteni mshamba ila hilo ni vazi la malaya
Zikianza project kama hizi specifically maeneo ya uswazi pekee ndani ya miaka 10 slums zote zitakuwa zimeisha maana Tanzania slums zinahesabika sana.
Halafu zile informal settlements ambazo nyumba zina shape nzuri tatizo zimechoka, zimechakaa, mabati ya kutu na miundombinu mibovu.
Serikali...
Kuna bajeti imepitishwa hadi sasa ya kuunda Katiba mpya?
Bunge la chama kimoja liunde katiba?
Wabunge vilaza wamekalia uchawa tu kusifiasifia tu matumbo yajae
Mambo ya tume ya ccm kuchunguza ni kupoteza muda tu wananchi wanahitaji katiba mpya wataepata lini?
Katiba hakuna waweke wazi watu wajue
Kwanini Huwa ni nadra Dar es Salaam na mikoa ya Pwani kuripotiwa matukio ya kikatili kama haya ,
Ni kwamba mikoa hii ina watu waliostaharibika ..? Au
N.B hapa nazungumzia wazawa wa Pwani na sio watu waliohamia hao hapana .
Rafki mpendwa
Leo nakuletea maneno matano yenye Nguvu ya kisaikolojia unayoweza kutumia katika Matangazo, mazungumzo Yako ujumbe wako nk
Ili uweze kuwashishi watu wachukue hatua
Twende pamoja
Neno la kwanza ni Neno WEWE Hili neno wewe Lina Nguvu zaidi kwenye
Ushawishi kwa sababu Binadamu...
Ni makadirio tu kulingana na cv zao nzito humu JF
Kuwaomba watu hawa wakutangazie biashara yako kwa kuiingiza kijanja kwenye post zao au kuwaomba wakusaidie field waliyobobea, waweza gharamika kiasi hiki
Chief-Mkwawa - 200,000 electonics na tech
Mshana Jr - 300,000 dawa za mitishamba na...
Kama unazaidi ya miaka 35 na bado unapambana na wanawake wanaotaka pesa ya kucha, kope, nywele, nguo, chakula, gesi, vocha, kodi ya pango, na bando; juwa hauko siriazi na maisha, badilika haraka hasana.
Mbunge wa Viti Maalum, Asha Baraka amemwomba Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba kutoa uwanja kwa ajili ya klabu ya Simba kama ilivyopewa klabu ya Yanga
Kweli pamoja na kero chungu nzima mbunge anaenda kuomba Simba apewe uwanja kama alivyopewa Yanga, hivi ndio vipaumbele vya wabunge wa CCM...
Watu wenye nyota ya ng'e ni watu wote waliozaliwa kati ya tarehe 23 oktoba mpaka tarehe 21 Novemba
Kama unataka kufanikiwa kwenye jambo lako hasa linalohusu uchumi na kuvutia pesa kwako jizoeshe kujitamkia maneno yafuatayo mara kwa mara, sema :
1. Ninapokea na ninaikubali hela yoyote au zawadi...
Katika hali isiyo ya kawaida, Kwa kauli na mienendo yake ya hivi karibuni, Anna Tibaijuka ameonesha wazi kukosa haya kwa kiwango cha kutisha, anafanya mambo ambayo hata mtoto mdogo hawezi kufanya.
Ni jambo la kusikitisha na la hatari kuona kiongozi wa umma mstaafu akitoa matamshi yanayochochea...
Hivi mtu unamtongoza anakukubalia unajaribu kumsogeza kunako 6×6 akija anakataa kwakuwa hutaki kumbaka unampetipeti anakaza zaidi unamuacha kumsubiria siku nyingine
Baada ya kumuacha anakutumia text
"nimejitahidi kuvuta hisia zimekataa yani Sina hisia na wewe kabisa"
Hivi hapo shida ni nini...
Wanafiki wa siasa eti wanasema Game is won on the stadium 🏟?
Wakati kwenye siasa game is not won by voters but who count the voters votes 🤔
Hongereni sana Morocco
Pia soma Senegal wapokwa ubingwa wa AFCON 2025 na CAF, apewa Morocco
Endapo Arsenal itatwwa ubingwa wa EPL mambo mengi yanaweza kutokea/kubadilika. Haya 👇ni baadhi tu.
1. Paul kagame atakuwa kibonge maana Arsenal ndo club aioendayo duniani.
3. Mashabiki wa manjesta unaited watazidi kukonda japokuwa uwezekano wa wa kumaliza kwenye top four ni mkubwa kwao.
4...
Namnukuu mchungaji aliyekuwa akihubiri kanisani leo mchana, "Tuko mbele 'zako' baba wa mbinguni".
Hivi mungu ana mbele ngapi? ni 'mbele zako' au 'mbele yako'.
Hebu tuwekane sawa maana mungu anaweza akawa na mbele zaidi ya Moja kwa sababu mara zote walokole wamekuwa wakisema "mbele za mungu"...
Katika mazuri machache aliyofanya dikteta Mobutu wa DRC (Zamani Zaire) ni kulazimisha wananchi wote kutumia majina asili ya makabila yao badala ya haya ya kigeni. Imesaidia sana kulinda utamaduni wao na inarahisisha kutambulika bila kujieleza sana.
Tanzania tukiendelea hivi tutapoteza kabisa...