haya

Hidaj (Persian: هيدج; also Haiyeh (Persian: هَيا), also Romanized as Hayā and Khiya) is a city in the Central District of Abhar County, Zanjan Province, Iran. At the 2006 census, its population was 11,798, in 3,011 families.

View More On Wikipedia.org
  1. R

    JamiiForums Tanzania Matokeo ya kuwa Aggressive Supreme of Power ndiyo haya tunayoyaona

    Kuteka, kuua, kupoteza watu na atrocities zote tunazoziona leo ni watu kutaka ku consolidate power na matokeo yake ni haya ya kukiuka haki za binadamu!
  2. D

    JamiiForums Tanzania Kwa haya anayoyafanya Samia kijijini Kizimkazi hayana tofauti na aliyokuwa akifanya Magufuli Chato

    Kwanza yeye ni Rais wa JMT kila mara yuko Zanzibar kuzindua miradi. Kijiji kidogo hicho mapesa yote ndani ya miaka 3 hela ililipelekwa pale ni nyingi sana. Hii ni kwanza ni aibu na kashfa kwa Rais wa nchi nzima. Tabia hii alianza Magufuli, kabla ya hapo huu ubaguzi usio na haya haukuwepo...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Kwa haya yanayotendeka ya mauaji ya watanganyika kwa kuwateka, sababu ya katiba ya UFALME, aliyoiacha Nyerere, siyo baba wa Taifa na si mtakatifu

    Nyerere alijua kabisa na alisema hadharani kuwa katiba hii ni mbovu, akiingia RAIS mpumbavu anaweza kuwa dikteita wa kufa mtu! Na bado akaiacha hivyo hivyo na sasa inazalisha madikiteita! Rais-Mfalme quotes Tangu angalau tuwe Jamhuri mwaka 1962, Rais wa nchi yetu amekuwa na mamlaka makubwa...
  4. JamiiForums Tanzania Kizazi cha ovyo tulichonacho ni matokeo ya malezi haya!

    Wee mzazi utambue kuwa uwezo wa kumudu maisha ni matokeo ya malezi uliyopitia! Kwanini unataka kumuharibu mtoto wako? Au na wewe ujielewi unataka uzo wako ufanane na wewe?
  5. M

    JamiiForums Tanzania Utakuwa unakatiwa simu mara nyingi, usipozingatia haya unapopiga simu kwa wateja (kwenye sales)

    Imekuwa kawaida kwa watu wa call center Kutoka taasisi mbali mbali kupiga simu kwa wateja Hasa pale taasisi inapoamua kufanya sales kupitia kupiga simu. Tunajua sales is a game of number sio? How many calls you make per day, give you reflections to your sales volume. Kama hujui haya mambo...
  6. B

    JamiiForums Tanzania Ukiwa Kama Mtanzania mwenye akili timamu unakubaliana na haya yanayoendelea?

    Tulipompata Rais wetu Mpendwa Magufuri kalibu kila mtu alilizika, na utendaje wake wa kazi,alijipambanua yeye ni Rais wa wanyonge na alichukia ufisadi na kila mtu aliona na hakucheka na majizi, tulitembea kifua mbele tukijivunia Rais wetu Mpendwa ingawa hakuwatendea wapinzani inavyostairi. Leo...
  7. JamiiForums Tanzania Haya Wakuu Wakuu wa Mikoa nchi za SADC nanyi mpo tayari? Kamalizaneni haraka na Waganga wenu wa Kienyeji sawa?

    Ukiwa Mkuu wa Mkoa wa nchi za SADC hautakiwi uwe Unajisahau sana au hata kuwa na Dharau kwa unaowaongoza.
  8. JamiiForums Tanzania Hivi ulishawahi kuishi kwa kudra za washikaji, haya maisha yasikie tu

    Miaka ya zamani kdg ndo nimemaliza chuo nikapata kazi kwenye NGO moja hv. Huko nikawa naponda sana mali, yaani ilikua ni gambe na mademu tu. Mara paaa NGO ikamaliza issue zake wakafunga virago, nikabaki sina kazi na hapo nilikua nimempa mimba binti mmoja hivi na ndo ilikua mimba ya mtoto wangu...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Sokoni zinapuuzwa biashara zote zisizozingatia mambo haya matatu

    Unavyotengeneza mbinu (strategies) mbali mbali za biashara. Basi bidhaa (product) inaingia, kuwa miongoni mwa mbinu (strategies) zako. Hapa tunapata kitu kinaitwa, setting product as a strategy. Kuna msemo unasema "at the heart of a great brand is a great product " Ili kupata uongozi sokoni...
  10. U

    JamiiForums Tanzania Usithubutu kuwambia msabato maneno haya, Basi, mtu asiwahukumu ninyi katika vyakula au vinywaji, au kwa sababu ya sikukuu au Sabato!

    Usithubutu kuwambia msabato maneno haya, Basi, mtu asiwahukumu ninyi katika vyakula au vinywaji, au kwa sababu ya sikukuu au mwandamo wa mwezi, au sabato; mambo hayo ni kivuli cha mambo yajayo; bali mwili ni wa Kristo. Wadau hamjamboni nyote? Ukitaka ukosane na Ndugu zetu Wasabato wewe...
  11. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Haya ni maringo ya Wakenya au ni kujiwekea standard juu dhidi ya majirani?

    Mwezi huu maada ya mchakato wa mwaka mzima Kenya imeitangaza rasmi Eldoret kuwa jiji la 5 katika nchi hiyo, hata hivyo Wakenya wengi wamedhihaki na kukebehi uamuzi huo wakiita Eldoret kuwa bado ni kijiji tu! Hawa majirani zetu tuwaambie ukweli au tuwaache tu?
  12. J

    JamiiForums Tanzania Rais Samia mabadiliko haya ni ya kawaida tujitahidi tuwatumikie wananchi

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amewaapisha viongozi mbalimbali aliowateua jana huku akisisitiza kuwa mabadiliko hayo ni ya kawaida kwa ajili ya kuongeza ufanisi katika maeneo husika. Rais Samia ameyasema hayo leo Alhamisi Agosti 15,2024 wakati akiwaapisha viongozi...
  13. R

    JamiiForums Tanzania Prof Kabudi usiyarudie tena haya ya kujidhalilisha

    1. Kujidhalilisha kuwa umetoka, umeokotwa Jalalani 2. Mheshimiwa Mungu Jihadhali usije ukayarudia tena.
  14. JamiiForums Tanzania Haya 'Kuku Brain Bado Tunatengeneza Kikosi Sports Club' vipi tumeshauzindika tayari Uwanja wetu tutakaoutumia uliopo Jirani kabisa na Kawe na Lugalo?

    Kwani za chini chini ninasikia Jamaa ambao wameshatuweza ndani na nje jana wamemalizana nao ili uwe Nuksi nasi.
  15. JamiiForums Tanzania Nikisema Uongozi wa Simba SC ni wa Kihuni na wa Yanga SC unajitambua mnanichukia, haya malizeni na la Awesu Awesu

    Na kwa taarifa yenu kuna ya Wachezaji wengine akina Kagoma na Mashaka nao huko walikotoka Vilabu vyao Vimelalamika TFF na Wao watashinda Kesi kama ilivyoshinda KMC. Najua mtamalizana nao hawa Leo kabla ya Dirisha la Usajili kufungwa rasmi Kesho Saa 5 na dakika 59, ila hiki Kitendo kinatosha...
  16. JamiiForums Tanzania Ukiwa na hela (tajiri) zingatia haya, tafuta watu

    1. Una hela huna mpambe ni ajabu. Wewe unajisifu una hela huna mpambe, unapambana mwenyewe, husemwi, hisifiwi. Hizo ni pesa au maagizo ya mganga? 2. Unajisifu una hela, unakamatwa na mambo kesi ya uzurulaji, hata mambo hawakuogopi, unapanda karandinga la mambo. Hizo hela au hujielewi? 3. Una...
  17. JamiiForums Tanzania Nadhani kabla ya kuwalaumu NHIF ni bora kuyajua na kujiuliza haya

    Habari JF , binafsi ni mnufaika wa mfuko wa Taifa wa bima NHIF niseme sijawahi jilaumu kwa kujiunga humu kulingana na michango na huduma nazo zipata . Tumesikia mengi sana kuhusu NHIF na inawezekana kabisa kukawa na ubadhilifu kutoka kwa watumishi wa NHIF . Tumesikia bila ushahidi kuwa Serikali...
  18. JamiiForums Tanzania Kama ni kweli haya yameandikwa kwenye Quran basi ifike point wanadamu tujinasue katika itikadi hizi. Sio mkristo, sio muislam tuamke.

    Amkeni wanangu, tunachofanya ni kufaidisha kwa kuenzi misingi ya watu waliokuwa nayo kutokana na imani na mtazamo waliokuwa nao. Uko wapi mtazamo wako, ni kipi unachoamini? Yani chuki za mtu binafsi ndio uzienzi na wewe hadi hii leo karne ya 21. Mfia dini au mfia duni.
  19. JamiiForums Tanzania PreGE2025 BAVICHA yaanza kuogopwa na watawala, Polisi watumika kuwakamata ili kuzuia wasihudhurie siku ya vijana duniani itakayofanyika Mbeya

    Sasa ni dhahiri kwamba Uhai wa ccm uko mikononi mwa Jeshi la Polisi pekee, hii imedhihirika rasmi baada ya Jeshi hilo kuanza kuzuia Vijana wa Chadema kuhudhuria maadhimisho ya siku ya Vijana Duniani yanayofanyika Mbeya Ifahamike kwamba maelfu ya vijana wa Kitanzania wanakusanyika Mbeya kwa...
  20. JamiiForums Tanzania Ukiyaelewa maandiko haya vyema, hutaishi tena kwa mateso na unyonge

    Prof. Suleiman Daudi alikuwa genius sana. Aliweza kugundua vitu vya deep sana. Ukigundua alichokuwa anamaanisha Professor Solomon hapa utapunguza 50% -75% ya changamoto zako.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…