haya

Hidaj (Persian: هيدج; also Haiyeh (Persian: هَيا), also Romanized as Hayā and Khiya) is a city in the Central District of Abhar County, Zanjan Province, Iran. At the 2006 census, its population was 11,798, in 3,011 families.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Bei ya kilo ya Prickly pears tunda ni sh 31,000/ wale wa kule kwetu haya ni mengi sana karibuni.

    Nisha wahi kuja na post kuhusu haya matunda. Haya matunda yanalimwa comercialy na watu wa mbele hawa wanayapenda sana, Ni matunda tiba, Niliwahi leta uzi wake humu, coment zikawa ni kule kwetu haya ni mengi sana. Hii ni Jana nilikutana nayo Shoppers. Prickly pears ingawa pia kuna highbrid yake...
  2. JamiiForums Tanzania Siangaliagi SAFARI CHANNEL kwa sababu ya Mambo Kama haya ya kitoto kabisa

    Yaani mnatuonyesha vitu ambavyo hata kwenye mti karibu na kazini kwangu ninapopumzikia naviona Tena zaidi ya hivyo vya kwenye channel yenu.
  3. W

    JamiiForums Tanzania EQUITY Bank unafungua account na kupewa ATM Card ndani ya dakika 10 , Crdb na Nmb wameboresha huduma zao ?

    Ninahitaji kuongeza account kati ya benki hizo mbili Crdb na Nmb. Nakumbuka hapo zamani Crdb na Nmb process zilikuwa ndefu sana wiki 1 hadi 2 Mambo yamebadilika ????
  4. JamiiForums Tanzania Kwa wageni na waajiriwa wapya makazini, zingatia haya

    Hii ni Furahi day,ijumaa fulani tulivu japo haiwezi kuwa Kwa wote. Leo nije na kero moja,ambayo wengi hupuuzia au huumia ila hakuna namna. Hii moja Kwa moja inawahusu wageni kwenye shughuli zote za uendeshaji wa taifa hili. Nianze na wale ambao ndiyo Kwanza wanaajiriwa, 1.Usipende kutamani...
  5. JamiiForums Tanzania Nahisi maamuzi haya ni moja ya dhambi zangu, zitakazo nisumbua na kuni tesa kwenye maisha yangu

    I am just getting shits out of my chest, so Kama ime andikwa vibaya vumilia tu. hizi ni kumbukumbu mbali mbali za maisha yangu. Mwaka jana nili pata ajali nikiwa safarini, Mimi na wenzangu watatu. ajali hiyo ili sababisha maumivu makubwa kwa baadhi yetu, kuanzia dereva aliye pata shida ya...
  6. JamiiForums Tanzania Haya ni gemstones aina gani na je yanathamani?

    Habari wakuu? Naomba details za mawe haya ambayo mjomba angu aliefariki aliyaacha. Nimeambatanisha picha za aina mbali mbali za mawe alizoacha
  7. JamiiForums Tanzania Huyu Kocha Saed anyamaze asizidi kututia hasira. Anaongea sana. Haya maneno gani sasa?

  8. JamiiForums Tanzania Hawa koluna na wahalifu wengine nchi ya congo kwa sheria walizowekewa kuna siku watakimbilia nchi jirani kuendeleza kazi zao.

    Waziri wa sheria wa kongo Constant Mutamba.Kupitisha sheria ya kunyonga na kukamata wahalifu kongo kuna weza kusabisha asilimia kubwa au ndogo wengi wakaenda kufanyia nchi jirani. Ili swala nimekumbuka vikundi vya panya road hapa tanzania baada ya kuzibitiwa na mwisho wa siku vilikimbilia nchi...
  9. JamiiForums Tanzania Haya ndiyo mambo ya ajabu ya taasisi zetu - NIDA

    Binafsi nimejaribu kukitafuta Kitambulisho changu cha NIDA, bila mafanikio yoyote, ofisi za Kata hakipo, ofisi za serekali za mitaa hakipo, japo nilihama eneo, nikaendelea labda nilijikomfuzi, wapi sikufanikiwa kukipata, Dar ni kubwa mihangaiko ni mingi, nawashauri nida pale ambapo mtu alipeleka...
  10. JamiiForums Tanzania Haya maneno yanayosambaa kuhusu SGR ni kweli au ni uzushi?

    Kutokana na mgao au ukosefu wa umeme mara kwa mara Kariakoo katika hizi siku za karibuni, kuna minon'gono inaendelea, je ni kweli? Au ni uzushi. Wanasema eti umeme wote unapelekwa kwenye SGR, Na ndio maana si ajabu kwa kariakoo siku hizi kukaa mpaka masaa 18 bila umeme. TANESCO
  11. JamiiForums Tanzania Kabla hujanunua hati fungani za serikali, zingatia haya

  12. JamiiForums Tanzania Mwanaume Kuwa Makini Na Haya Mambo Matatu

    Habari zenu? Niende kwenye mada! Ni furaha kwangu pale ninapokutana na mwanaume mwenye mienendo ya kiume. Kwakweli inachukua muda kukutana na mwanaume haswa. Kwakweli wanaume wengi tumepoteza sifa sana. Yaani ni kama hatujui thamani yetu. Haya ni mambo matatu ambayo tunayafanya daily na...
  13. B

    JamiiForums Tanzania Ushauri wa Bure: Lissu, akishachukua chama, aanze na haya yaliyomshinda Mbowe kwa miaka 21!

    1. Uchawa kama profession CHADEMA, ni marufuku! 2. Aanzishe vita dhidi ya ruzuku za vyama: Vyama vyote viendeshwe na wanachama, si huu upigaji wa pesa za wananchi kwa jina lingine lolote! "Pesa za ruzuku zielekezwe kwenye ajira mpya za vijana wanaohitimu masomo, itapendeza zaidi!" 3...
  14. W

    JamiiForums Tanzania Siijui formula ya kuoa lakini haya ni mambo nayodhani yemechangia nimepata mke mwenye ushirikiano tunaeishi kwa amani, waweza pata somo

    Wala siijui formula ya aina ipi ya mwanamke wa kuoa hata huyu nilite naye siijui kesho yetu hivyo nachoweka hapa ni theory tu lakini waweza kupata kitu. Sikuoa rafiki yangu, nilikuwa na marafiki wengi wa kike hata wa muda mrefu tuliowahi kuwa kwenye uchumba lakini haikuwahi kunijia akilini kuoa...
  15. JamiiForums Tanzania Vijiwe vya mafundi bodaboda vimejaa watoto ambao unaona kabisa ni umri wa kuwa shule; inakuwaje jiji letu linaridhika na mambo ya ajabu kama haya?

    Nimekodi bodaboda kutoka maeneo fulani ya jiji hili, lakini tulipokuwa safarini dereva wangu alitambua kuwa tairi moja la bodaboda limepungua upepo. Kwa hiyo, tulilazimika kujongea hadi kwa fundi ili kulitatua tatizo hilo. Tulipofika, kilichonivutia zaidi si fundi mwenyewe bali kijana mdogo...
  16. W

    JamiiForums Tanzania Fungua Milango ya Mafanikio: hizi ndizo njia kwa wanaume kujiondoa katika umaskini

    Pata Mwanamke Sahihi Sahau kuhusu slay queens na wanawake wenye sura na shape wasioweza kukuunga maono yako. Tafuta mwanamke atakayekuunga mkono kwenye maono yako na kukupa ahueni kwenye safari ya kusaka mafanikio. Mwanamke alie tayari kutimiza majukumu yake na yenu kwa pamoja, ni muhimu sana...
  17. JamiiForums Tanzania Nina maswali mengi mno juu ya 'Maelezo Tatanishi' haya kama Critical Thinker, ila naomba Kwanza nanyi muulize yenu ili atujibu mbashara

    Mwanaharakati na mhariri wa kujitegemea, Maria Sarungi, amesema baada ya kuachiwa jana usiku na watekaji, walimtaka asiongee na mtu yeyote na asizungumze chochote kuhusu tukio hilo. Maria amesema hayo leo, Jumatatu Januari 13, 2025, alipozungumza na waandishi wa habari jijini Nairobi kuhusu...
  18. R

    JamiiForums Tanzania Haya ni madini gani?

    Nimeliokota njiani
  19. JamiiForums Tanzania Kuwa mwanaume si Kazi rahisi, zingatia haya kulinda UANAUME wako

    1.Epuka kukubali kuguswa na mtu ,iwe begani au wapi pindi mpo kwenye stori na vema wakajua kuwa huwa hupendi. 2.Epuka kukumbatiana na mwanaume mwenzio pindi mnasalimiana,hata kama mmemisiana muda mrefu. Labda kama ni Baba mzazi au mwanao,japo huwa sioni ulazima. 3.Epuka kuwa mwepesi wa kukopa...
  20. K

    JamiiForums Tanzania Haya mazungumzo ndio ya kumkamata Slaa?!! Mbowe kweli anapewa msaada na dola kubaki CHADEMA?!! Mbowe aaminiwe ama amegeuka kua dalali wa watawala?!

    MODERATORS: Tafadhali msiunganishe Uzi huu kwani una umuhimu,unatoa insights kadhaa za miaka mitatu nyuma na yajayo. Kwa mustakabali mpana wa yanayojiri kwa Slaa,Mbowe,Lissu na CHADEMA kwa sasa,nakuomba ungana nami kwa dakika chache tutafakari na kuamua baada ya kusoma,kutazama na kusikiza...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…