haya

Hidaj (Persian: هيدج; also Haiyeh (Persian: هَيا), also Romanized as Hayā and Khiya) is a city in the Central District of Abhar County, Zanjan Province, Iran. At the 2006 census, its population was 11,798, in 3,011 families.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Haya matope usoni hii ni ishara gani.?

    Katika imani kuna mambo yanafanyika sana. Na leo hii naona msalaba kwa baadhi yenu kwenye paji la uso. Waislam wanafunga tu kwa kunuia hii kupakana matope usoni hii ni ishara gani.? Kwa nin kama ni kufunga isiwe kiifikra zaidi kuliko kupakaa matope, huu sio ushirikina kweli? Pili, hii tabia...
  2. JamiiForums Tanzania Hongera kwa Kupasua Robo Karne (2025): Ukitoboa 2050, Haya Ndio Maendeleo Makubwa ya Kisayansi na Teknolojia Unayopaswa Kuyategemea

    Fikiria miaka 25 ijayo: Je, maisha yatakuwaje ifikapo mwaka 2050? Teknolojia inakua kwa kasi kuliko wakati wowote katika historia ya binadamu. Leo, tunaona simu janja, magari yanayojiendesha, na akili bandia (AI) inayoweza kuandika, kuongea na hata kufanya kazi za kibinadamu. Haya ni mwanzo tu...
  3. JamiiForums Tanzania Hivi kwenye jela za Tanzania kuna raia wa haya mataifa ?

    Kama kichwa kinavyosema , je kwenye jela za Tanzania hapa kuna raia wa hizi nchi wanaotumikia kifungo? 1.Marekani 2.uingereza 3.Canada. 4.Saudi Arabia 5U.A.E 6.N.K Tafadhalini naomba mnijuze, Lengo la kuuliza hivi ni.kwa sababu kuna kautafiti kangu binafsi nafanya😊
  4. JamiiForums Tanzania Kutafuta views, followers na trending kusitufanye kuvuka mipaka ya maadili, huyu mtoto hakupaswa kukaririshwa haya matusi

    Tusitafute views kwa kuwahusisha watoto na vitendo na maneno ambayo hayazingatii Parental Guidance. Huyu mtoto anaongea matusi makubwa sana ambayo ni kwa watu wazima tu ndiyo wanapaswa kuyatamka.
  5. JamiiForums Tanzania Katika mazingira haya utafanya nini?

    Katika msitu mnene, ulikuwa ukikusanya miti kwa ajili ya kujenga makazi yako. Jua lilikuwa linachoma kwa nguvu, na baada ya siku ndefu ya kazi, mwili wako ulianza kuchoka. Ukajikunyata chini ya mti mkubwa na kusingizia kidogo kabla ya kuzama kwenye usingizi mzito. Ulipoamka, ulijikuta upo...
  6. JamiiForums Tanzania Haya andika jina lako la hapa jukwaani kwa Kijapan

    Tunaanza na mimi MEKATANOKATOKA Haya twende kazi....lazima tukutane na matusi...
  7. JamiiForums Tanzania Traffic usiku naomba mjilinde msiamini haya malori pls mtaisha

    Leoo nilikuwa nasubiria kaka na gari la kutoka Moshi Saakumi usiku..BAADA ya mda nkashangaa hapatikan Nkakaa mpaka saa mbili akanipigia aisee sorry ndio tunakuja tumepata ajali Hee kivipi mbona MASAA mengi akasema walikuwa wameshapita bagamoyo BAADA ya mda wakasimamishwa na traffic Traffic...
  8. JamiiForums Tanzania Hamas Wajuta wanasema wangujua haya matokeo dhidi ya Israel wasingevamia October 7th

    Moussa Abu Marzouk, mbele, anahudhuria mazishi ya Saleh Arouri, huko Beirut, Lebanon, Januari 4, 2024. (Picha ya AP/Hussein Malla) Kiongozi wa juu wa chama cha kisiasa za kigaidi cha Hamas Moussa Abu Marzouk alisema hangeunga mkono uvamizi na mashambulizi ya Oktoba 7, 2023 kusini mwa Israel...
  9. JamiiForums Tanzania Haya wale Wagumba Tukuka JamiiForums mmepewa Mbinu ya bure hii ichukueni upesi tafadhali ili muijaze dunia

    "Kama unataka mtoto unaweza kukaa siku 14 wewe na mwenza wako bila kukutana na huwa unatakiwa kuanza kuhesabu siku ya kwanza ambayo mke wako ataanza mzunguko wake wa mwezi huku wewe Baba ukijitunza kwa siku zote hizo ili mbegu zako ziwe nyingi na zenye nguvu" Dkt. Nathanael Mtinangi, Daktari...
  10. JamiiForums Tanzania A best way foward: Kwa yanayotokea na hatari iliyopo mbele yetu, tufanye haya kulikomboa Taifa letu.

    Kwa wenye akili, dalili si nzuri kuhusu mustakabali wa Taifa letu katika miaka michache ijayo. It's obvious, tumezidiwa nguvu na maadui watatu aliotutangazia Mwalimu nyerere hasa ujinga. Kushindwa kupambana vizuri na adui ujinga kumeliweka Taifa letu kwenye hatari ya kupotea na kuangamia...
  11. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais Samia kamaliza kuwaadhibu Ummy na Makamba teuzi zinakuja. Nape yupo njiani kukamilisha genge la kukimbia na mabox ya kura

    Wakuu, Makamba na Ummy washamaliza kutumikia vifungo vyao, sasa hivi wapo vizuri na mama. Rais Samia kaonesha leo ni mtu wa visasi sana, ukionesha kitabia cha kumchallenge tu unafinywa fastaaa. Naona safari ya Tanga ilikuwa maalum kwaajili ya kutoa msamaha🌚. Pia soma: Pre GE2025 - Rais Samia...
  12. JamiiForums Tanzania Mabinti wa haya makabila wengi wao haupati upinzani mkubwa ukirusha kamba

    Wajaluo Wairaq Wanyaturu Wajita Wazaramo Wadigo Wamakonde Wahaya.
  13. JamiiForums Tanzania Kristo Yesu hakuleta Dini ya Ukristo ila alileta Imani hii ambayo ni ngumu sana

    Mathayo 6:1______________ Angalieni msifanye wema wenu machoni pa watu, kusudi mtazamwe na wao; kwa maana mkifanya kama hayo, hampati thawabu kwa Baba yenu aliye mbinguni. 2 Basi wewe utoapo sadaka, usipige panda mbele yako, kama wanafiki wafanyavyo katika masinagogi na njiani, ili watukuzwe na...
  14. JamiiForums Tanzania Yaani akina Okra, Baleke na Wengineo wanawadai Mamilioni bila aibu mnamzawadia Aziz K haya Mamilioni

    Klabu ya Yanga imempatia kiungo wao mshambuliaji, Stephane Aziz Ki na mkewe wake, Hamisa Mobetto Sh50 milioni kama zawadi katika sherehe yao. Hilo limebainishwa na Mtendaji Mkuu wa Yanga, Andre Mtine wakati wa sherehe ya aga dimba ya Aziz Ki na Hamisa iliyofanyika katika Ukumbi wa Super Dome...
  15. JamiiForums Tanzania Najihisi kuchoka na haya maisha ila nigerudisha siku nyuma ningefanya hivi.

    Wakuu I'm fed up with life Nimechoka na haya maisha Familia yangu ilikuwa sawa even my kids Ila wamei-block Biashara zangu wame-block Everything is down now. Kwa mtu yeyote anayejijua ni mchapakazi na mtu anayejitambua don't expose ur progress to anybody. hasa familia yako. Maaumzi yangu...
  16. JamiiForums Tanzania Hivi haya maduka ya dawa pembeni ya hospitali yanayotesa wagonjwa ni ya nani?

    Nakumbuka J.P.Magufuli alipiga marufuku haya maduka naona yanazidi kuongezeka anyway sio mbaya. Mbaya ni malalamiko yanayoendelea hosptitali Dk anaandika dawa anakwambia nenda pharmacy. Unaenda wanakupa dawa mbili, 4 anakwambia nenda nje kuna duka linaitwa xxx pharmacy utazipata hapo Swali ni...
  17. JamiiForums Tanzania Haya ndio mapenzi bhana, Ayo ya kwenu mbwembwe tu🤣

    Haya ndio mapenzi bhana, Ayo ya kwenu mbwembwe tu🤣
  18. JamiiForums Tanzania Kama kweli tunataka ligi isiwe na mapinde kama haya basi tuache unafki kwanza na double standards kemea kote

    Jana Yanga ameshinda kelele zimekua nyingi sana kutoka kwa mashabiki wa simba malalamiko yao yameanza kuanzia kwenye kupanga kikosi cha singida black stars na yameenda mpaka kwenye mambo ya gsm kuzamini timu zaidi ya mbili Tukubaliane kwamba malalamiko yao ni ya kweli lakin je walishawahi...
  19. R

    JamiiForums Tanzania Niliuziwa pasi feki ya phillips kwa shilingi elfu 45, epuka haya kuuziwa mbuzi kwenye gunia

    Mwezi uliopita nilienda kutafuta pasi dukani, pasi yangu pendwa ni PHILLIPS, nilipoambiwa bei ni elfu 45 nikawa na imani kitu nachonunua ni original kumbe nimuziwa chambi, nashukuru alieniuzia ni mwelewa alinitafutia nyingine duka lingine Nafika nyumbani nikalinganisha pasi yangu ya zamani na...
  20. R

    JamiiForums Tanzania Haya mapenzi ya Trump kwa Israel afanyiwe DNA test yawezekana ni myahudi, Maelfu ya mabomu ya MK-84 yaliyozuiliwa na Biden yamewasili Israel

    Wiki ya kwanza tu baada ya kurejea Ikulu, Rais wa Marekani Donald Trump aliharakisha usafirishaji wa shehena ya mabomu 1,800 aina ya MK-84, kila moja likiwa na uzito wa tani moja, mabomu hayo yamewasili rasmi Israel siku ya Jumamosi, tarehe 15 Februari 2025 kwenye bandari ya Israel. Uamuzi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…