haya

Hidaj (Persian: هيدج; also Haiyeh (Persian: هَيا), also Romanized as Hayā and Khiya) is a city in the Central District of Abhar County, Zanjan Province, Iran. At the 2006 census, its population was 11,798, in 3,011 families.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Nabii aliyetabiri kifo cha JPM ametabiri haya Uchaguzi Mkuu 2025

    https://youtu.be/ZRtV1GTdV3c?si=FZ-HmvFAe2Ezv5Tr Nabii Rolinga alitoa unabii wa kifo cha JPM miezi 3 kabla na ikatokea to the dot. Msikilize unabii wake tena kuhusu Chaguzi Mkuu wa 2025 na kitakacho tokea. Bado Mungu anatumia watu wake. Tatizo ni kibri cha Watawala wa CCM...
  2. JamiiForums Tanzania Haya madada ma-giant yanecheza mchezo gani huko Korea,yamenivutia kweli

    Nimevutiwa nayo haswa hivi nataka nifunge safari kwenda Korea nikalipate hata moja nirudi nalo bongo,licha ya kuwa ma-giant ni marembo haswa,sio wanawake wetu wenye udumavu huu upwiru unatutesa mno
  3. JamiiForums Tanzania Hivi ndivyo maisha yalivyo kubali kataa

    Ukifika polini/mbugani utaona Simba wakiwala swala ili waishi japo swala nao Wana taka kuishi ila Wana kula majani amabayo nayo Yana taka kuishi Ukienda baharini utakuta samaki wakubwa Wana Wala samaki wadogo ili waishi japo samaki wadogo nao wanataka kuishi na wanakula wadudu wa baharini na...
  4. JamiiForums Tanzania Kuelekea 2025 uchaguzi, Sintopoteza mda kupanga foleni kupiga kura bila kwenye mazingira haya ya uiz wa kura unaofabywa na tume na ccm

    Habari ndo hiyo. Kwenye uchaguz serikali za mitaa nilienda nipogekura nikaahirisha baada ya kuona mgombea mlengwa ameenguliwa eti hajui kujaza form. Strangely huyo ni mgombea aliyekua mwenyekiti wakati wa rais kikwete
  5. M

    JamiiForums Tanzania Ndugu zangu CHADEMA juu ya madiliko haya kwa taifa la Marekani juu ya Afrika hata viongozi wa dini hawatasaidia zaidi ya kuweka tu

    Siasa Trump afikiria kupunguza balozi za Marekani barani Afrika Saleh Mwanamilongo Saa 2 zilizopitaSaa 2 zilizopita Marekani inapanga kupunguza kwa kiasi kikubwa mwelekeo wake wa kidiplomasia barani Afrika na pia kufuta ofisi za Wizara ya Mambo ya Nje zinazoshughulikia mabadiliko ya hali ya...
  6. JamiiForums Tanzania Yesu alisema mateso haya ni makubwa sana

    Bwana Yesu alipokuwa Gethsemane alisema,"Baba,kama ikiwezekana,sitaki kukinywa hiki kikombe cha mateso. Lakini Mapenzi yako yatimizwe,siyo utashi wangu.". Sasa hapa kuna ubishi kwamba hiyo haki ya kupiga kura kistaarabu Mamlaka iombwe au watu wanapaswa kuchakarika?
  7. JamiiForums Tanzania WATAALAM WA UCHUMI NAOMBA KUJUA HAYA MAMBO YAMEKAAJE.

    Happy Easter Wana Jf, Twende kwenye mada! Kila nchi Ina Hela yake na bila shaka Kuna sehem ambapo hizo Hela wanaziprint then serikali inaziingiza katika mzunguko. MASWALI Hivi kwann licha ya serikali au nchi fulan kuprint Hela zake yenyew haiwezi kuchukua zile Hela direct zilipo printiwa na...
  8. JamiiForums Tanzania Haya mnayoyaona ya wanachuo kupigania bwana ni matokeo ya kutegemea G.PA za" chupi"

    Tumeona kiongozi mkubwa wa serikali akionyesha kutopendezwa na Yale yaliyotokea vyuoni , baada ya wanavyuo kupigana na kudhalilishana mitandaoni huku ikisemekana wanamgombea bwana wao Mwijaku....laiti kama hawa wanafunzi wangekuwa wanatambua kilichowapeleka chuoni wasingekuwa na muda wa...
  9. R

    JamiiForums Tanzania Nilikuwa najiuliza sababu ya vita kati ya Ukraine na Russia ni ipi? Majibu generated by Artificial Intelligence (AI) ni haya

    The war between Russia and Ukraine is rooted in a complex interplay of historical, political, and geopolitical factors. Key causes include: 1. Russia's desire for a sphere of influence: Russia seeks to regain control of Ukraine and prevent its integration into Western institutions, which it...
  10. JamiiForums Tanzania Alipoona yuko mbali na haikutosha, hatimae Benjamin Netanyahu alikwenda Gaza na kupiga makele haya

    Israeli Prime Minister Benjamin Netanyahu visited northern Gaza on Tuesday, accompanied by the country's defense minister, head of the military and other senior officials, his office said. A statement released by the prime minister's office said Netanyahu received a security briefing in...
  11. JamiiForums Tanzania Wanaoporomoka na kuanguko katika maendeleo yao wengi ni husuda tu, fanya haya kujiepusha na husuda

    Mambo ambayo hupaswi kufanya Mbele za Watu: ♦️ Usionyeshe furaha yako mbele za watu. ♦️ Usizungumzie watoto wako mbele za watu. ♦️ Usizungumzie afya yako mbele za watu. ♦️ Usizungumzie miradi yako kwa mtu yeyote. ♦️ Usizungumzie furaha yako mbele ya watu. ♦️ Usizungumzie mema ya ndoa yako kwa...
  12. JamiiForums Tanzania Huu ni utafiti mdogo niliofanya siku nyingi sana

    Salaam jamiiforum. 1.Idadi ya wasio kuwa na hofu ya Mungu inashamiri kwa kasi ya radi. 2.Namba ya wanaokwenda kanisani au Kwa maonesho ya mitindo ya mavazi pamoja na wanavyomiliki na siyo kuabudu inaongezeka kila siku. 3.Idadi ya wanaume wengi wanaonyimwa tendo la NDOA na wake zao ni kubwa...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Mazingira ya ajali ya Mkurugenzi wa TANESCO hata katika picha yanatia shaka sana. Polisi wajibu haya maswali

    Tanzania lazima tujenge utamaduni wa kuhoji, sio kukubali kila tunachoambiwa, na Polisi au hata na serikali. Niliposikia juu ya hii ajali kwanza nilihoji ikiwa ajali ilitokea saa nane usiku na Mkurugenzi na dereva wote wamekufa, Polisi walijuaje dereva alikuwa anamkwepa mtu wa baiskeli? Sasa...
  14. G

    JamiiForums Tanzania Ajali ya boss wa TANESCO najiuliza haya

    Ajali ilitokea usiku wa manane, dereva na abiria wakafa hapohapo. Tunaambiwa dereva alikuwa anamkwepa mwendesha baiskeli. Je nani alimuona huyo mwendesha baiskeli? Huyo aliyemuona alikuwa wapi? Soma Pia: Mkurugenzi Mtendaji wa Tanesco, Gissima Nyamo-Hanga na dereva wake wafariki dunia Je...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Hawa watendaji wa mitaa na kata wana mamlaka haya?

    Msaada tutani. Kumfungia mtu ofisini kama selo kama anadaiana na mtu,au hajatekeleza jambo fulani na kumuacha humo bila huduma muhimu mf choo?
  16. N

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CHADEMA; baada ya tamko la kutoshiriki Uchaguzi Mkuu, fanyeni haya

    SEHEMU YA KWANZA Salaam na heshima nyingi kwenu; Uongozi, Wanachama, Wapenzi na Wadau wote wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Waswahili husema; haraka haraka haina baraka, simba mwendapole ndiye mla nyama, polepole ndio mwendo lakini pia haba na haba hujaza kibaba... Kwanza...
  17. JamiiForums Tanzania Tukiwa tunafikisha ujumbe wa mabaya yanayofanywa kutoka haya maeneo ya kihistoria, msitaje hayo maeneo bali taja mamlaka hizo zinazofanya mabaya hayo

    Usiseme Iran inaandaa nuclear bali sema IRGC inaandaa nuclear. Usiseme palestine imerusha makombora bali sema hamas wamerusha makombora Usiseme Israel anapigana lebanon bali sema israel anapigana na hezbollah Usiseme Yemen inadungua meli za US bali sema wahuthi wanadungua meli za US Haya ni...
  18. S

    JamiiForums Tanzania The legacy of Mwalimu Julius Kambarage Nyerere

    THE LEGACY OF MWALIMU JULIUS KAMBARAGE NYERERE: The Powerful Lesson for Africa’s New Generation. ECKERNFORDE TANGA UNIVERSITY P.O BOX 5079, TANGA. Authors: Jilala Simon N. (Assistant Lecturers in Development Studies and History) and, S.T.Shemhilu, (Assistant Lecturer History) If...
  19. JamiiForums Tanzania Tundu Lissu ana hoja. Haya makaa ya mawe yanayosafirishwa maelfu ya Tani Kila siku kwenda nje ni utajiri ambao ungetunufaisha hapa Nchini

    Nimemsikiliza hotuba yake akiwa mbambabay kabla hajakamatwa akiwaeleza Wananchi hao kuwa makaa ya mawe yanayosafirishwa kwa maelfu ya tani Kila siku kwenda bandarini kupelekwa China , India na ulaya ni utajiri ambao ungetumika hapa hapa nchi hii ingeendelea sana kwa upande wa viwanda na kukuza...
  20. JamiiForums Tanzania Ukikusanya nchi nane (8) za Afrika Mashariki hazifikii GDP ya nchi ndogo kabisa ka Singapore

    Ukikusanya haya majinga manane(8) ya Afrika Mashariki ●Tanzania ●Kenya ●Uganda ●Rwanda ●Burundi ●Somalia ●D.R.C ●South Sudan Yote kwa pamoja hayafikii GDP ya kanchi kadogo kabisa ka Singapore. Mind you Singapore ina jumla ya ukubwa wa 735km² na population isiyozidi 6Mln wakati haya majinga...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…