haya

Hidaj (Persian: هيدج; also Haiyeh (Persian: هَيا), also Romanized as Hayā and Khiya) is a city in the Central District of Abhar County, Zanjan Province, Iran. At the 2006 census, its population was 11,798, in 3,011 families.

View More On Wikipedia.org
  1. K

    JamiiForums Tanzania Hivi haya mashirika ya umma wao ajira zao huwa wanazitangazia wapi?

    Mko salama? Kwa kweli sielewi haya mashirika yenyewe huwa yanatangazia ajira zao wapi,mpaka nikahisi labda huko kwenye hayo mashirika watu huwa hawafi wala hawastaafu. Mashirika yenyewe ni haya. 1.Pssf 2.Nssf 3. Msd 4.wcf 5.Tanesco 6.Ewura 7.Latra 8.Tcaa 9.Tcra 10.heslb 11.CAG
  2. JamiiForums Tanzania Mliandika barua hamtashiriki mchezo wowote tofauti na june 15 haya tuone kama june 25 hamtaleta timu.Msimamo upo Yanga pekee

  3. JamiiForums Tanzania Nina wasiwasi na haya maamuzi ambayo Mungu aliyafanya, hapa alikosea

    Salaam Members! Tumekuwa tukisikia toka kwa wafuasi wake kua Mungu ni mwema sana kwa watu wake hapa duniani. Lakini Mungu huyu kuna maamuzi aliyafanya ambayo ni mengi na yanatia shaka kwanini aamue wachache wapate adhabu kwaajili ya wengine. Nina mifano miwili: Kitendo cha Mungu kumuumba...
  4. W

    JamiiForums Tanzania Yote haya ni kwasababu huu ni mwaka wa uchaguzi wa TFF na Yanga wameanza kujipanga mapema kuhakikisha wanachukua uongozi.

    Uchaguzi wa TFF upo karibu, kama sio mwezi wa 8 basi wa 9. Yanga wameanza kujipanga mapema sana kuhakikisha Karia harudii alichokifanya uchaguzi uliopita kwa kuengua wapinzani wake wote na kujipa uongozi. kwa mujibu wa Katiba ya TFF anaweza kuchaguliwa kwa terms mbili, Karia ameshamaliza...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Madhara ya TFF kufumbia Macho mabaya yote ya Yanga matokeo yake ndio haya tunaanza kuyaona

    Hivi karibuni watu walilalamika michezo ya Yanga kununua mechi na kuhonga wachezaji,kila mtu alikaa kimya na leo hii tunaona upuuzi unaoendelea... TFF na mamlaka nyingine za mambo ya Rushwa pia zilikaa kimya ila matokeo tunayoana sasa. Wangapi wanajua haya ya yanga ni kichaka cha kuficha mabaya...
  6. JamiiForums Tanzania Haya ni mawe gani?

    Haya mawe yamepatikana kwenye uchimbaji wa ujenzi..ni mawe gani? Yana thamani gani? Na soko lake ni wapi?
  7. JamiiForums Tanzania Yanga wameamua kuvaa roho ya fitna kama nguzo yao kuu ya habari

    Leo nimeona niamke na Neno la Uzima. Natumaini litaenda kuwabariki wasomaji wengi. Moja ya tabia mbaya ambazo mtu unaweza kuhusishwa nazo ni tabia ya kueneza fitna. Ni moja ya nguzo za shetani zenye nia ya kuleta taharuhi, kuharibu na kuficha ukweli. Ukweli unahusishwa na Mungu. Uongo...
  8. JamiiForums Tanzania Daah! Ila haya mambo

    Basi bhana leo nimerudi nyumbani baada ya kupiga sana mzigo kwa mwezi mzima katika taasisi fulani. Kabla sijafika nyumbani nikaona sio mbaya kama nikipitia maeneo fulani kupata moja moto moja baridi. Kiukweli ilifika point nikawa sijielewi kabisaa basi hapo nikaamua tu niende nyumbani. Baada...
  9. JamiiForums Tanzania Tunaoujua Mpira wa Tanzania na Sarakasi zake tukiwa tunasema Jambo muwe mnatusikiliza tafadhali, haya jiandaeni muda wowote na Press ya TUNACHEZA Dabi

    Waliosema hadi Kuapia Mizimu na Miungu yao sasa wanajiandaa kuja na Press Conference ya Kuwaambia Mashabkiki zao kuwa baada ya Kikoa na Maelewano baina yao na waliokuwa Wanatunishiana Misuli na kwa Maslahi mapana na Mpira wa Tanzania wamekubali kuweka Silaha chini na KUCHEZA hiyo Mechi ambayo...
  10. JamiiForums Tanzania Haya yote ni Nyerere ile sera yake “Kidumu cha Mapinduzi “. Kumbe mpaka kwenye jeshi inatumika mfano vita vya Kagera

    Ukifatilia makala ya vita vya kagera kuna video zinaonyesha wanajeshi wanataamka kidumu cha mapinduzi. Ni jambo la kujiuliza kwa nini hii sera kidumu chama cha mapinduzi hipo mpaka kwenye vyomba vya ulinzi.
  11. JamiiForums Tanzania Pamoja na "mob psychology" inayoendelea ambayo ina 50/50 kumbukeni haya

    1. Awamu ya tano ndio iliyoasisi yanayotokea awamu ya sita na yajayo awamo ya saba 2. Mlipandishiwa mishahara na kupandishwa vyeo. 3. Mlilaani ubabe, udikteta na umimi wa awamu ya tano (msijifanye mmeikumbuka awamu ya tano) 4. Mlisema "never never again" awamu ya tano ilipokufa ikaondoka zake...
  12. JamiiForums Tanzania Ushauri wa bure: Kwa niliyoyaona leo Dodoma na yanayoendelea Mitandaoni, Kama wewe ni Fisadi wa CCM fanya haya haraka sana

    Jiji la Dodoma leo limenishangaza hakika. Sijawahi ona watu wanaoipenda Chadema kama watu wa Dodoma. Mwanzo nilidhani Mwanza na Kanda ya Ziwa, Kuna wakati nilidhani Kanda ya Nyasa na Kanda ya Kaskazini. Ila kwa hakika leo naweza kusema, Dodoma ni ngome mpya ya Chadema. Hata Tone Tone ya leo...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Haya ya kwa wasiokuwa waislam. Waislam watu wa amani sasa

    Kuna kanisa leo kutwa nzima wanapiga kwaya tu tena kwa kutumia sauti za nje. Wenyewe wapo majumbani lkn wameweka flush, licha ya leo.kuwa eid Waislam watu wa amani sana, maana uvumulivu kwa dini nyengine haupo
  14. JamiiForums Tanzania Haya ndiyo yanayoikuta Israel kuelekea kushindwa vita na Hamas

    Yale yaliyotabiriwa awali na wachambuzi mahiri wa vita kati ya Hamas na jeshi la Isael sasa ndio yanakaribia kuwa kweli. Msemaji wa jeshi lsrael kwa mdomo wake wakati wa mahojiano na kipindi cha televishei ya BBC amesema kwa sasa jeshi lake lina upungufu wa askari 10,000 ili kuendelea na vita...
  15. JamiiForums Tanzania Karibu tufanye Biashara kama utapata haya material Kwa wingi

    Habari wakuu.. niko na shida ya Box flan ivi. Ni box ambazo zinatumika kufungia apple.. zinakuwa na layer 2 ndani na nje pia zinakuwa na matundu matundu flan. Wale wasambazaji wa Ma apple watakuwa wanajua aina hii ya Box kwa yoyote ambae anaweza kupata Box hizi kwa wingi hasa wale wanaofanya...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Mamilioni haya ya Ulega ninya nini sasa

    Mbunge wa Mkuranga ambae pia ni waziri wa ujenzi, Pesa hizi anazogawa hadharani kama njugu anazipata wapi? Je ni dalili ya ufisadi, rushwa na wizi wa mali ya umma? Mbona anajiamini sana katika kutapanya pesa. Baadhi ya vikao vyake anatangaza yeye ni kipenzi cha mamlaka hawezi fanywa kitu na...
  17. JamiiForums Tanzania Kama unataka taa za nje ziwe zina jiwasha zenyewe giza likiingia tumia hiki kifaa haya wale wa smart house hii inakuhusu

    Kifaa kinachowasha taa pindi jua linapozama au giza kuingia kinajulikana kama Photocell Sensor au Light Sensor Switch. 🔹 Jinsi Kinavyofanya Kazi: ✅ Hugundua mwanga wa jua – Kifaa hiki kina sensor inayotambua kiwango cha mwanga wa mazingira. ✅ Huzima taa wakati wa mchana – Ikiwa kuna mwanga wa...
  18. JamiiForums Tanzania Ukitaka Kuwa Mjanja Maishani, Haya Ndio Mambo 14 Ambayo Watulivu Huwaza Usiku na Kuyafanyia Kazi Wakiamka

    Maisha haya hayana ramani. Hakuna aliyewahi kuyaelewa kwa ukamilifu. Kadri tunavyoishi, ndivyo tunavyogundua kuwa yale tunayoyachukulia kuwa kweli—mara nyingi si kweli kabisa. Ni kana kwamba maisha yana kauli yao ya chinichini: “Utakapodhani umeelewa, ndipo tunapokudanganya.” Katika makala hii...
  19. JamiiForums Tanzania Hivi haya matukio ya namna hii hupangwa na CCM, serikali au wavaa kaunda suit?

    Habari zenu wanaJF wenzangu Leo naomba nianze na matukio matatu yalioanza kutokea katika chaguzi kuu tatu za Tanzania, ili kujua na kufahamu kuwa ni kina nani ambao huwa wanapanga mipango hii kila inapofikia karibu na uchaguzi mkuu wa Tanzania. Mwaka 2015, karibu na uchaguzi mkuu, vyama vya...
  20. JamiiForums Tanzania Video: DC Bomboko huku ni Kujidhalilisha, Si kila mtu ni mwoga. Haya sasa unajisikiaje?

    Ni aibu kwa huyu DC hata lugha yenyewe inamchanganya haijui. Anaishia kutishia tu na yupo kwenye paniki mode.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…