Leo katika pita pita zangu wakuu nikaenda, kuna boss(HR) mmoja wa Rafiki angu akaniagiza nimletee vifaa vya umeme,
Basi katika kuniharakisha Ikabidi niazime gari kwa mwana niwahishe vifaa vile,
kufika tu napaki chuma nashangaa,
Eti huyo boss wa anasema Yani hujaajiriwa na umeshaanza kuendesha...