hawana

Yajna (Sanskrit: यज्ञ, romanized: yajñá, lit. 'sacrifice, devotion, worship, offering') refers in Hinduism to any ritual done in front of a sacred fire, often with mantras. Yajna has been a Vedic tradition, described in a layer of Vedic literature called Brahmanas, as well as Yajurveda. The tradition has evolved from offering oblations and libations into sacred fire to symbolic offerings in the presence of sacred fire (Agni).Yajna rituals-related texts have been called the Karma-kanda (ritual works) portion of the Vedic literature, in contrast to Jnana-kanda (knowledge) portion contained in the Vedic Upanishads. The proper completion of Yajna-like rituals was the focus of Mimansa school of Hindu philosophy. Yajna have continued to play a central role in a Hindu's rites of passage, such as weddings. Modern major Hindu temple ceremonies, Hindu community celebrations, or monastic initiations may also include Vedic Yajna rites, or alternatively be based on Agamic rituals.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Wazazi wengi hawana Home Curriculum ( Mtaala wa Nyumbani)

    1. Wazazi wengi hawana home Curriculum. Wazazi wanapaswa kuwa na mtaala wa Nyumbani maalumu Kwa ajili ya kuwafundisha watoto wao stadi za maisha . 2. Kwa sababu ya kukosa mtaala wa Nyumbani wazazi huwaona watoto Kero Wawapo nyumbani jambo ambalo ni upumbavu WA Hali ya juu sana... Ndio...
  2. JamiiForums Tanzania Je wazungu hawana wivu kwa washindani wao wa kibiashara? Hebu ona hii

    🗣️ "Hongera sana Jeff Besoz kwa kufanikiwa kufika katika orbit katika jaribio la kwanza kabisa la rocket ya New Glenn" Ameandika Elon Musk . — Mmiliki wa kampuni ya SpaceX amempatia Hongera zake mmliki wa kampuni ya Blue Origin mara baada ya kufanikiwa kurusha rocket yao na kufankiwa kufika...
  3. JamiiForums Tanzania Trafiki wawili wakamatwa baada ya kunaswa kwenye video wakipokea Rushwa hadharani

    Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Jumanne Muliro amesema askari wawili wa Kikosi cha Usalama Barabarani walioonekana kwenye video wakifanya vitendo ambavyo ni kinyume cha maadili ya Jeshi la Polisi kwa maana ya kupokea rushwa, tayari wamekamatwa na wako mahabusu na hatua za...
  4. R

    JamiiForums Tanzania Tundu Lisu akishinda uchaguzi chadema watabaki Chadema, akishindwa wafuasi wake watahama chama kwani hawana uvumilivu

    Ni wazi kwamba Tundu Lisu ni mwenyekiti Mpya wa CHADEMA. Wakati huo Mbowe anakwenda kuwa mjumbe na mshauri wa chama. Mabaraza yote yamesimama na Lisu siyo kwa bahati mbaya, wamesukwa kufanya hivyo. Kitendo cha Lema kujitokeza mwishoni ni mkakati wa chama kupata attention zaidi ya umma. Leo hadi...
  5. W

    JamiiForums Tanzania Netanyahu kukataa mualiko ni Propaganda, Uapisho wa Rais wa Marekani haualiki viongozi wa Israel, Uingereza, Canada, Ufaransa, Ujerumani, n.k

    Mitandaoni kuna propaganda imekamata watu wengi sana kwamba Netanyahu amekataa mualiko 😂😂 , watu wengi sana wasiojua historia wamejaa kwenye mfumo. Marekani wamejiwekea utaratibu wao wa kipekee, Hafla hizi ni za ndani kwa ajili ya kuonyesha mchakato wa amani wa kubadilishana madaraka nchini...
  6. JamiiForums Tanzania Rais mpya wa Lebanon anasema magaidi wa hezbollah hawana nafasi katika nchi hio

    Mwamba anaitwa joseph aoun. Aliwahi kuhudumu kama jenerali katika jeshi la Lebanon.
  7. K

    JamiiForums Tanzania Wananchi wa Kijiji cha Nyangunge hawana maji baada ya vituo vya kuchotea kufungwa

    Nimeona Habari hii ITV, nikasema ngoja nishare na wanajukwaa. Inatoka uko Kijiji cha Nyangunge kilichopo katika Wilaya ya Bariadi Mkoani Simiyu, wananchi wa Kijiji hicho wanasema wamekosa huduma ya maji safi na salama kutokana na vituo vya kuchotea maji kufungwa zaidi ya miezi miwili Sasa...
  8. JamiiForums Tanzania Mfumo wa Jeshi la Polisi ubadilishwe, Unakandamiza na kunyanyasa Wananchi hasa wa daraja la chini

    Polisi anakukamata huna kosa au kwa kosa la kuhisiwa tu, ukianza kuhoji kuna nini anakukamata bila sababu, unatandikwa haswaa, unafika Kituoni. Unaambiwa saini hapa ukiuliza kwanini mbona sielewi na saini nini? Unapigwa haswa, na baada ya hapo unawekwa ndani, kisha ndugu wakija wanaambiwa...
  9. JamiiForums Tanzania Kwa sasa kuoa mabinti waliofika University ni hatari kubwa, wengi hawana bikra zote.

    Hivi ndivyo university students wengi wa kike wanavyoishi maisha yao siku hizi, wengi wanaishi maisha yasiyoendana na hali za kiuchumi za makwao. Na wengi wanaingia kwenye maisha ya namna hii kwa kupenda mserereko wa maisha mazuri bila kupitia clean process.
  10. JamiiForums Tanzania Akili inaniambia yote yanatokea sababu hawana sera za kumuuza MAMA 2025. Za kuambiwa changanya na zako!

    Habari, Nikiri kwa kusema yote yasemwayo kwa sasa yana asilimia kubwa ya uongo kuliko uhalisia. Na shida kubwa ni kutafuta neutrality ili watu waone mtu wao waliyemkubali na kumpenda alikuwa muuaji na katili. Tujiulize JPM amefariki 2021 why now kwamba alikuwa mkatili na mengineyo. Mwisho...
  11. M

    JamiiForums Tanzania KISAIKOLOJIA, VITA VYA UENYEKITI CHADEMA NI UTHIBITISHO KUWA HAWANA TUMAINI LA KUSHINDA NAFASI YA URAIS KTK UCHAGUZI MKUU 2025. KINYUME CHAKE WANGEACH

    Siasa ni mchezo mchafu. Vita vya kiti cha Uenyekiti chadema kati ya chawa wa pande mbili ni vita vilivyotengezwa na Tiss. Wakiwatumia vijana wao kuna yeriko. Ni vita vya kupigania pesa za rushwa kutoka kwa chama mtaala. Wakati mbowe akiwatumia vijana wake akina wenje, yericko kupoza nguvu ya...
  12. JamiiForums Tanzania Kwanini waimbaji wa injili wa kike hawana ndoa

    Ndoa ni jambo la heri na dini imesisitiza kila aliye na umri wa kuwa katika ndoa basi awe na mwenza Ila 90% ya waimba injili japo ya kuwa wana ijua dini na wanaweza ombea amani katika ndoa ila wao hawana ndoa, kwanini 1. Rose Mhando hana ndoa 2. Martha Mwaipaja hana ndoa 3 Bahati Bukuku hana...
  13. JamiiForums Tanzania Airtel hawana Voice of LTE(VoLTE)

    Wakuu, Voice over LTE ni huduma inayomuwezesha Mtu Kupiga simu wakati Simu ipo kwenye mtandao wa 4G au LTE bila disruption yoyote ile sasa ndugu zangu Airtel wao mpaka leo hakuna Hio huduma kiasi kwamba Ukipiga simu kwa Airtel lazima Internet idrop 3G au iondoke kabisa, Vodacom na Tigo wao naona...
  14. M

    JamiiForums Tanzania KERO Wakazi wa Kimara na kata zake hawana maji zaidi ya wiki sasa, DAWASA hamuelezi maji yatatoka lini!

    Uongozi wa mamlaka ya maji safi jijini Dar-es-salaam hautoi taarifa ni lini huduma ya maji safi itarejea Kimara na kata zake zote kwa ujumla. Wanawake na watoto wanasumbuka kutembea umbali mrefu kusaka maji bila ya mafanikio. Tunaitaka mamlaka ya maji Dar-es-salaam (DAWASA) kutuelezea ni lini...
  15. JamiiForums Tanzania Kwanini PSSSF hawana ofisi wilayani?

    Hivi kwanini PSSSF hawana ofisi wilayani maana kuna watu wanasafiri umbali mrefu kufuata huduma mkoani kwa nn wasiweke mwakilishi hata mmoja wilayani
  16. JamiiForums Tanzania KERO Nikwamba wafanyakazi wa Tanesco hawana nyimbo zingine tofauti na nyimbo za matusi wanazoimba kila leo wakiwa site?

    Wakuu kheri kwenu nyote. Naandika haya ikiwa siyo mara ya kwanza wala ya pili kuwasikia hawa wafanyakazi wa Tanesco wanaweka nguzo za umeme pamoja na nyaya zake(cable). Vijana hawa haijarishi wapo kwenye makazi ya watu au maporini nyimbo zao ni zilele za matusi.Nauliza kwenu ninyi TANESCO...
  17. T

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded Wachimbaji wengi Migodini wanatumia Kemikali ya Zebaki bila kujua athari zake kiafya

    Imeelezwa Kemikali ya Zebaki inayotumika kukamatisha dhahabu ambapo inaelezwa ni kemikali 10 ambayo Shirika la Afya Duniani (WHO) inasababisha athari za kibinadamu na mazingira. Kemikali ya Zebaki ni nini? Kwa mujibu wa taarifa zinazopatikana Mtandaoni, Zebaki ipo katika metali ya kimiminika na...
  18. JamiiForums Tanzania Watu hawana aibu wala haya kabisa yaani kwenye nyumba za ibada watu wanaombana namba na kutongozana? Nimechukia aisee

    Daa watu wengine sijui wameumbwa vp jamani leo hii kiukweli nimejikuta nimechukia sana aisee tupo kwenye ibada wakati mchungaji anatoa mahubiri kuna watu huku nahisi hawa ni gen z back bencha wanaanza kuombaba namba na kuanza kutongoza eti usiku mida ya saa mbili tukutane element daaa nimechukia...
  19. JamiiForums Tanzania Waislam wana nia ila hawana mipango. Kinachoendelea Syria ni ushahidi tosha

    Ni rahisi muislam kushawishika na kua na nia, kuatayari kujitolea au kupigania dini bila ya kua na mpango unaoeleweka. kwa sababu hiyo, watu wenye mipango wanawatumia sana waislam kwa kigezo cha itikadi kutimiza mipango yao. Ukiweza kushika kisha cha kiongozi wa kiislam akawaaminisha waislam...
  20. JamiiForums Tanzania Wakati naleta Uzi kuwaomba viongozi wa juu CHADEMA kususia uchaguzi na siasa nilisema kuwa viongozi wa chini hawana ulinzi kama nyie

    Viongozi wa juu CHADEMA wana ulinzi wa aina 3. 1. Ulinzi kwasababu jumuia za kimataifa wanawafahamu. Si rahisi kumuua kiongozi wa mkuu wa chama cha upinzani kwakuwa wauaji nao wanahitaji misaada kutoka kwa watu ambao wameruhusu upinzani. Kiongozi wa upinzani ngazi za chini hata akiuwawa jumuia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…