hatua

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania TLS yathibitisha kutishiwa maisha kwa wakili Tito Magoti, Peter Madeleka pamoja na Ole Nguruma. Yaitaka Serikali Kuchukua Hatua Kali!

    https://youtu.be/3DxH0NUxzRY?si=xZRKgw9HtibCALQv Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) kimeibua taharuki kubwa baada ya kupokea taarifa za kutishiwa maisha kwa mawakili watatu maarufu nchini Tanzania, Tito Magoti, Peter Madeleka, na Onesmo Ole Ngurumwa. Kwa mujibu wa taarifa rasmi iliyotolewa na...
  2. JamiiForums Tanzania Hatua Za Kuchukua Pale Unapojiona Umechelewa Kuanza Uwekezaji.

    Habari njema Matajiri Wawekezaji, Karibuni kwenye mfululizo wa masomo yetu ya programu ya NGUVU YA BUKU, ambapo tunajifunza na kufanya uwekezaji kwa hatua ndogo ndogo na kujenga utajiri kwa uhakika. Kauli mbiu yetu kwenye NGUVU YA BUKU, ambayo pia ndiyo imani yetu ni KILA MTU ANAWEZA KUWA...
  3. JamiiForums Tanzania Mkeo akikupa taarifa ya mpangaji mwenzenu wa kiume kumuomba namba utachukua hatua gani?

    Kwa mfano kuna mpangaji mpya amewasili mnapoishi ila baada ya mwezi akamuomba namba ya simu mkeo kwa siri kwamba lengo wewe usijue tena alivyo mshamba akatumia kimemo na ushahidi upo wa kimemo na mkeo akamnyima na akaja kukusimulia wewe ila kwa kuogopa kugombanisha mpangaji na mkewe akakuomba...
  4. JamiiForums Tanzania Pamoja na kucheza na vibonde, Yanga yashindwa kuvunja rekodi za Simba na Pamba

    Embu tuweke kwanza pembeni rekodi za Simba za hivi karibuni, hivi kuna timu nchi hii ina historia ya kufunga magoli mengi mashindano ya Africa kama Pamba FC? Unakuwaje na kikosi kama ulichonacho ukijipa matumaini ya kutwaa ubingwa wa Afrika msimu huu, unacheza na timu ambayo hadi msemaji wake...
  5. JamiiForums Tanzania Wanaoongoza Kivuko cha MV Kazi (Magogoni -Kigamboni) leo 22/08/2024. Wachukuliwe hatua kali

    TEMESA na Mamlaka zote zinazohusika na Vivuko, Wanatakiwa kuwachukulia hatua kali sana, Waliokuwa wanaongoza MV Kazi leo 22-08-2024 Saa 12:50jioni. Kutoka Upande wa Dar (Magogoni) Kuelekea Kigamboni. Wamehatarisha sana maisha ya watu. Kivuko kimetoka Wakati kuna meli iliyokuwa inatoka...
  6. JamiiForums Tanzania Hii kauli Dotto Magari kuhusu Elimu. Anatakiwa achukuliwe hatua za kisheria kwa kupotosha na kutukana umma

    Hi Great Thinkers. Katika Pita pita zangu nimekutana na hii clip. In short siyo nzuri na haina afya yoyote. Yaani kwa huyu jamaa anataka kusema elimu haina msaada wowote licha ya mabilion ya pesa yaanyowekezwa ili watu wasome. Bila elimu hata hilo gari analolinga nalo sidhani kama lingepatikana.
  7. A

    JamiiForums Tanzania Cyber crime: Msaada wa ushauri wa Kisheria na Hatua za Kuchukua

    Kuna utapeli unaoendelea mitandaoni, unaohusisha baadhi ya watu fungua kurasa/pages/Accounts za Instagram kwa kutumia picha za watu wengine (innocent) huku pages hizo zikiwa na maudhui ya kudhalilisha. Kama kuna yeyote ambaye anaweza kushauri njia nzuri ya kisheria ya kuchukua against watu kama...
  8. JamiiForums Tanzania Mikoa ya Morogoro, Dodoma, Singida, Manyara, Arusha, Kilimanjaro na Tanga: Zifuatazo ni hatua za kufuata katika kuboresha mita yako

    TAARIFA KWA WATEJA KANDA YA KATI NA KANDA YA KASIKAZINI MABORESHO YA MITA ZIMEBAKI SIKU Kwa Mikoa ya Morogoro, Dodoma, Singida, Manyara, Arusha, Kilimanjaro na Tanga Zifuatazo ni hatua za kufuata katika kuboresha mita yako HATUA YA KWANZA: Pindi unaponunua umeme kwa simu au wakala wa kuuza...
  9. JamiiForums Tanzania Hatua ya jeshi la Polisi kumchukulia hatua RPC wa Dodoma kwa kauli yake inaacha maswali mengi sana.

    Habari wana Jamvi, Nimetafakari sana baada ya jesh la polisi kumchukulia hatua RPC Dodoma kufuatia kauli yake dhidi ya sakata la binti aliebakwa.Hakika niwapongeze kwa uharaka na weredi huu. Laki i. Kama kijana nilie kamilika kichwani siachwi bila kujiuliza maswali kadhaa. 1.Mbona hatukusikia...
  10. JamiiForums Tanzania Tupeane uzoefu ulichukua hatua gani na nini ulijifunza ulivyoyumba kiuchumi kurudi kwenye ubora wako

    Kuna kipindi niliwahi kuwa na biashara nzuri na wafanyakazi pamoja na usafiri wa kutembelea ulionipa heshima kila niendapo, ikatokea biashara ikayumba mambo yangu yakaharibika ikapelekea kuangukia kwenye madeni mpaka kuuza gari langu aisee heshima yangu ilishuka mpaka sakafuni kuna...
  11. JamiiForums Tanzania Kwa Kauli Hii ya Twaha Mwaipaya, Jeshi la Polisi Limechukua Hatua Stahiki

    Nimenukuu barua ya Polisi ya tarehe 11/ 08/ 2024 Hata mbuyu ulianza kama mchicha. Twaha Mwaipaya anataka GEN Z ya Tanzania iigize yaliyotokea Kenya. Kongole Tanpol kwa hatua mliyochukua.
  12. JamiiForums Tanzania Mzazi/Mlezi: Unachukua hatua gani za kiusalama kumlinda mtoto wako dhidi ya vitendo vya kiunyanyasaji wa kingono?

    Habari! Bila shaka Wana JF wote tumepata habari ya kusikitisha juu ya binti aliyeingiliwa kingono na wanaume watatu baada ya kuhisiwa kuwa ametoka na mume wa mtu (mwanajeshi). Kwa muktadha ule, wale vijana walifanya unyama sana kwa yule binti tena wakaona wamrekodi na kurusha katika mitandao...
  13. D

    JamiiForums Tanzania Serikali chukueni hatua za dharura na haraka dhidi ya Kiboko ya Wachawi kinachoendelea hapa buza mtalaumiwa

    Serikali Kiboko ya Wachawi anahamisha masanduku yasiyojulikani kuna nini ndani yake yanapitishwa porini na waumini wake yeye amekaa mahali hapo porini kuzipokea. Kuna nini? Kwa nini mtu huyu bado ana pasipoti? Rais Samia utaingia kwenye mgogoro. Toa agizo huyu mtu akae ndani hadi baada ya...
  14. JamiiForums Tanzania LGE2024 Hatma ya Demokrasia Tanzania: Madhara ya Tamisemi Kusimamia Uchaguzi wa Serikali za Mitaa na Hatua Muhimu kwa Serikali na Upinzani

    Katika mfumo wa kidemokrasia, uchaguzi huru na wa haki ni kiini cha utawala bora na uwajibikaji. Katika muktadha wa Tanzania, uchaguzi wa serikali za mitaa una nafasi muhimu katika kuwezesha ushiriki wa wananchi katika mchakato wa maamuzi na kusimamia maendeleo katika ngazi za chini. Hata hivyo...
  15. JamiiForums Tanzania Barack Obama: Jinsi ya Kutojisikia Kukata Tamaa - Simama, Chukua Hatua, na Lete Matumaini!

    Barack Obama aliwahi kusema hivi: "The best way to not feel hopeless is to get up and do something. Don't wait for good things to happen to you. If you go out and make some good things happen, you will fill the world with hope, you will fill yourself with hope." Tafsiri hisiyo rasmi ni kuwa...
  16. L

    JamiiForums Tanzania Kwanini Jeshi la Polisi mnamuacha Mdude Nyagali anamdhalilisha Rais wetu pasipo kumchukulia hatua?

    Ndugu zangu Watanzania, Moyo wangu unaumia sana,unasononeka sana ,una uchungu sana ,una vuja machozi ya hasira kuona,kutizama,kusoma Mdude Nyagali akitumia lugha chafu kumdhalilisha Rais wetu.Kwanini jeshi la polisi Mnamuacha na kumtizama Mtu huyu akiendelea kumdhalilisha Rais wetu kiasi hiki...
  17. JamiiForums Tanzania Mwenda: Tupeni taarifa ya Maafisa wa TRA wasio waadilifu, tutachukua hatua

    Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Yusuph Mwenda amesema Mamlaka hiyo itawachukulia hatua bila kumpendelea wala kumuonea yeyote atakayehusika kukwepa kodi au kwa Afisa atakayeonesha kukosa uadilifu kwenye majukumu yake, amesema hayo Julai 15, 2024 wakati akizungumza na...
  18. L

    JamiiForums Tanzania Hatua ya China kuanzisha program ya watoto wa China na Afrika ni uwekezaji mzuri wa kudumisha urafiki kati ya China na Afrika

    Watu wengi wanaamini kwamba maisha yetu ya baadaye yapo mikononi mwa watoto wetu. Ndoto zao zitajenga dunia ambayo tutaishi kesho, na matendo yao, mawazo yao, na maadili yao yatajenga mwelekeo wa jamii. Kwa hiyo, tukiwa kama watu wazima, ni jukumu letu kuwaongoza katika mwelekeo sahihi. Pia ni...
  19. JamiiForums Tanzania Serikali ya Marekani ichukue hatua Kali kwa viongozi wa Iran kwa kuharibu kuua wanasiasa na viongozi wa Marekani

    Hili jambo halipaswi kufumbiwa macho na wapenda amani duniani kote. Wote tumesikia kuwa waliookuwa nyuma ya shambulio la kumuua rais mstaafu na mgombea urais wa Marekani D Trump ni serikali ya Kiislamu ya Irani. Sisi wapenda amani tunaomba serikali ya Marekani ichukue hatua Kali sana dhidi ya...
  20. JamiiForums Tanzania Hatua za haraka zisipochukuliwa hapo Slovenia kunaweza kutokea jambo kubwa

    Wale wajuzi wa mambo ya intelligence Waanaweza angalia kwa jicho jingine Fuatilua ziara za wakuu wa mihimili na ulinzi wanaopaswa nimejiridhisha pasina Shka kuna uzembe mkubwa kuliko hata wa waliotangulia. Kuna jambo linapangwa Hapo Slovenia mnaweza anza mambo ya Nani ashike kwa muda Britanicca
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…