Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi (PDPC) imesema kuwa mtu au taasisi yoyote itakayobainika kukiuka faragha au kutumia taarifa binafsi bila ridhaa ya muhusika au kinyume na taratibu zilizowekwa kisheria, itawajibishwa ipasavyo bila kujali hadhi au ukubwa wake.
Kauli hiyo imetolewa leo jijini Dar...
RC Chalamila amefafanua kwa kina sakata la kukamatwa kwa fedha taslimu shilingi bilioni 6 zinazodaiwa kumilikiwa na raia wa China, akisisitiza kuwa hatua za kisheria zinaendelea kuchukuliwa ili kubaini chanzo na uhalali wa fedha hizo.
Pia Soma:
Polisi wachunguza video ya 'Mchina' aliyekutwa na...
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, amesema Ofisi ya Mkoa kwa kushirikiana na TANESCO haitabaki kimya kufuatia kauli zilizotolewa na Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Tanzania (TEC) Padri Charles Kitima, kuhusu tukio la uvamizi alilodai lilihusisha kuzimwa kwa umeme na Shirika hilo...
Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania(JWTZ), linakemea tabia inayokithiri ya matumizi mabaya ya mitandao ya kijamii inayolihusisha Jeshi na Siasa kwa lengo la kupotosha Umma na kuzua taharuki.
Katika Taarifa iliyotolewa kwa Vyombo vya Habari na Kaimu Mkurugenzi wa Habari na Uhusiano wa JWTZ...
Huyu mwandishi Uchwara ,aliyefeli Kidato Cha Nne , Kwa makusudi Kabisa, ameamua kutumia Kipande Cha Viideo Cha MTU anayeitwa Askofu Kahemele wa KANISA la Angilikana aliyeonekana kwenye video hiyo akihamasisha Watu kwenda kupiga Kura , na kutumia Maneno na jina la Kanisa la RC, ili ionekane kua...
Jeshi la Polisi kwa kushirikiana na Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum tangu picha mjengeo wa tukio linaloonyesha mwanamke mmoja akimpiga mwenzake ilipoanza kusambaa, ufuatiliaji umefanyika na aliye fanya kitendo hicho amefahamika majina yake, eneo analofanyia kazi...
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais- TAMISEMI, Mohamed Mchengerwa amemtaka Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam na mamlaka zilizo chini yake kumsimamia kwa ukamilifu mkandarasi anayetekeleza ujenzi wa Barabara ya Banana-Kitunda-Kivule-Msongola kwa kiwango cha lami na kuchukua hatua za kisheria ikiwemo kuvunja...
Wakuu,
TLS yalitaka Jeshi la Polisi kuhakikisha Mwabukusi anakuwa salama kufuatia vitisho dhidi ya uhai wake.
Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) kimepokea kwa masikitiko makubwa taarifa ya
kutishiwa maisha kwa Ndugu Boniphace A. K. Mwabukusi, ambae ni Wakili Mwandamizi
(Senior Advocate)...
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
OFISI YA RAIS,
TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA
HALMASHAURI YA MANISPAA YA UBUNGO
Tarehe: 11-04-2025
TANGAZO
MKURUGENZI WA HALMASHAURI YA MANISPAA YA UBUNGO ANAWATANGAZIA WATUMIAJI WOTE WA VYOMBO VYA MOTO (MAGARI, BAJAJI, NA PIKIPIKI) KUWA KUANZIA TAREHE...
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo Chadema, Heche John, amesema kuwa yule aliyehusika kumpiga Katibu Mwenenzi wa Baraza la Wanawake wa Chadema (BAWACHA) Taifa, Sigrada Mligo, achukuliwe hatua za kisheria.
Pia, Soma: Ghasia Ndani ya CHADEMA: Mwenezi wa BAWACHA Taifa...
Haya mambo yanatakiwa yawe yanapelekwa hivihivi.
Huwezi kuathiri watu zaidi ya 200 , alafu wao ndio wawajibike kujitibia.
Hata hivo tunachokiona ni Athari ya Nje, vipi huko Ndani?.
Soma Pia: DAR: Zaidi ya Watu 200 wadhurika ngozi wakidaiwa kula Chakula chenye Mafuta yenye Simu huko Temeke...
Kuelekea uchaguzi wa Serikali za Mitaa unaotarajiwa kufanyika Novemba 27, 2024, Jeshi la Polisi linawataka wananchi, wagombea na wafuasi wa vyama vya siasa kutii sheria bila shuruti ili kuepuka kuchukuliwa hatua za kisheria ikiwemo kukamatwa na kufikishwa mahakamani.
Aidha, Jeshi la Polisi Mkoa...
Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na wenye Mahitaji Maalum Dkt. Gwajima D ametangaza kumchukulia hatua za kisheria Masha Love na wanaochochea kuharibu maadili
Waziri ameandika; "Kwani huyu mashalove ambaye kila siku mnamtaja taja humu link yake Iko wapi tuone yaliyomo? Maana Kila...
Shirikisho la Soka la Lipya (LFF) limekosoa kitendo cha Nigeria kugomea kucheza mchezo dhidi ya Taifa hilo katika Kuwania Kufuzu Kombe la Mataifa ya Afrika 2025 uliopangwa kuchezwa Jijini Benghazi, jana Oktoba 15, 2024.
Taarifa ya LFF imesema wanalaani kitendo cha Shirikisho0 la Soka la Nigeria...
Hi Great Thinkers.
Katika Pita pita zangu nimekutana na hii clip. In short siyo nzuri na haina afya yoyote.
Yaani kwa huyu jamaa anataka kusema elimu haina msaada wowote licha ya mabilion ya pesa yaanyowekezwa ili watu wasome.
Bila elimu hata hilo gari analolinga nalo sidhani kama lingepatikana.
Kwanza, niwapongeze Wahudumu wa afya wenye moyo wa dhati na wanaozingatia taaluma na uadilifu kuhudumia wateja wao. Nakiri maisha ya wengi ikiwemo mimi binafsi yana mchango wa wahudumu wa afya.
Hata hivyo, nimekutana na matukio kadhaa ya makosa ya uzembe wa wazi wa baadhi ya wahudumu wa afya...
Moja kwa moja....
Nilimsikia mama mmoja anasema katika ulimwengu wa roho amechinja wachawi karibu mia, alipewa upanga na malaika. Sasa watu mia kuchinjwa rohoni ni upotevu mkubwa wa nguvu kazi.
Mwingine unamsikia anasema walikuwa wachawi, wanasababisha ajali, wanakinga damu. Wanajinadi kuwa...
Moja kwa Moja kwenye mada rejea headline hapo juu.
Kuna raia wanaweka pesa ndani kiwe kiasi kikubwa au kidogo inabidi serikali itengeneze kifungu cha kuweza kuwa bana hawa watu kwasababu wanapunguza mzunguko wa fedha mitaani.
Ndiyo maana hali inaonekana kuwa ngumu kitaani, tukirejea pale...
Katika kuelezea ubadhirifu ambao umebainishwa katika ripoti za CAG, Mbunge Luhaga Mpina ataka hatua zichukuliwe dhidi ya viongozi ambao wanahusika na makosa yao. Hii ni pamoja na kuwawchukulia hatua mawaziri.
https://youtu.be/6O75Oiw0xZs?si=eLt2cBTuY1bMzg0f
/
Hivi karibuni kumejitokeza wat wanajulikana kama Kamchape au Lambalamba wanaoendekeza imani potofu za kishirikina wakiidai wanao uwezo wa kufichua wachawi kitendo ambacho ni uhalifu.Watu hawa wameitokeza na kufanya uhalifu huo katika Mikoa ya Katavi, Kigoma, Rukwa na Songwe.
Mbinu wanayotumia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.